HABARI MCHANGANYIKO Wananchi wampongeza Rais Samia kwa huduma za msaada wa kisheria bure Nanenane August 4, 2024 Erasto Masalu WANANCHI wanaopata msaada wa kisheria za mama Samia Legal Aid zinazoendelea kutolewa kwenye maonyesho ya Nane nane mkoani Morogoro wameelezea namna walivyonufaika na huduma hizo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro ……
HABARI MCHANGANYIKO Gwajima: Walezi wa kuaminika wapatiwe vitambulisho August 3, 2024 Erasto Masalu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Gwajima amemuagiza Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dk. Nandera Mhando kuhakikisha walezi wa kuaminika katika jamii wanaojulikana kama…
HABARI MCHANGANYIKO Mwalimu aliyemchapa mwanafunzi kwa madai ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ahukumiwa gerezani August 2, 2024 Erasto Masalu MWALIMU wa shule ya sekondari ya Kings iliyopo Goba jijini Dar es Salaam Yusuph Mirambi (43), amehukumiwa kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani na kulipa faini ya Sh. Milioni mbili…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Treni ya SGR yabuma tena Morogoro August 1, 2024 Erasto Masalu WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi akizindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na abiria kutokea mkoani…
HABARI MCHANGANYIKO WaterAid yawafuta machozi wananchi Hanang August 1, 2024 Erasto Masalu SHIRIKA la WaterAid limekabidhi mradi wa uboreshaji wa huduma za miondombinu ya maji na usafi wa mazingira Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliogharimu Sh million 425 na unalenga kuwafikia wanufaika…
HABARI MCHANGANYIKO Wakulima wa miwa Kilombero wamgeuka Mpina August 1, 2024 Erasto Masalu Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na…
HABARI MCHANGANYIKO Mtatiro na mwenzake watoa angalizo uchaguzi wa TLS July 31, 2024 Erasto Masalu WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, ukitarajiwa kufanyika kesho Ijumaa na kumpata Rais wa kukiongoza chama hicho miaka mitatu, wakili Julius Mtatiro na Ally Kileo wamewachambua…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Dk. Tulia azindua PBZ Mbeya aonya mikopo ‘kausha damu’ July 30, 2024 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amezindua rasmi tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) mkoani Mbeya huku akiwaomba wananchi kutumia taasisi rasmi…
HABARI MCHANGANYIKO Ujenzi wa bandari ya uvuvi Kilwa wafikiwa 63%, kukamilika Feb 2025 July 30, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa umefikia asilimia 63 na unatarajiwa kukamilika mwezi…
HABARI MCHANGANYIKO Mchengerwa: Kuaminiana kumepunguza migogoro ya wafanyabiashara July 30, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchini Ofisi ya Rais Tawala ya Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kuimarika kwa ushirikiano na kuaminiana kati ya sekta za umma na binafsi kumeongeza…