HABARI ZA MICHEZO Mkwanja wa kumwaga upo Meridianbet wikiendi hii August 31, 2024 Erasto Masalu Wikiendi hii mkwanja upo wa kutosha pale Meridianbet kupitia michezo ambayo itakwenda kuchezwa kwenye ligi mbalimbali barani ulaya haswa zile kubwa tano barani humo. Ligi kuu nchini nchini Uingereza, Italia,…
BIASHARA Sloti ya 40 Lucky Sevens inaweza kukutajirisha August 30, 2024 Erasto Masalu Meridianbet unawekeza mtaji mdogo na baadae matunda yake unakuwa bilionea wa maisha yako kwa kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni unaitwa 40 Lucky Sevens unahusu matunda ambapo na unatoa ushindi…
BIASHARA Ukicheza kasino ya BlackJack 2, utajiri ni kugusa tu August 30, 2024 Erasto Masalu Blackjack 2 ni moja ya mchezo wa kadi rahisi sana kucheza na kuibuka mshindi, wakati huo unafurahia mhcezo kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, hakikisha tu umejisajili na kama bado gusa…
BIASHARA Fanya hivi kushinda mamilioni ya kasino leo August 29, 2024 Erasto Masalu Ile promosheni yenye mibonasi na zawadi kibao ya kasino bado inaendelea, jisajili na Meridianbet kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni, huku ukifurahia ushindi mkubwa kwa njia rahisi. Shindano la…
HABARI ZA MICHEZO Real Madrid, Chelsea, Ajax uwanjani leo kukupa mkwanja August 28, 2024 Erasto Masalu Alhamisi ya leo inaweza kua siku kubwa kwako kwa kushinda mamilioni kupitia michezo mikali ambayo itakwenda kuchezwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku miamba ya soka ikiwa inashuka dimbani katika michezo…
HABARI ZA AFYA Raia wa China aliyejifungua mapacha Dar ashukuru kwa huduma nzuri August 27, 2024 Erasto Masalu RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO Tanzania yawanoa wataalam wa Hali ya Hewa Afrika kuhusu matumizi ya Rada August 26, 2024 Erasto Masalu KATIKA kuwajengea uwezo wataalamu wa hali ya hewa kutoka Taasisi za Hali ya Hewa barani Afrika, Kitengo cha Elimu na Mafunzo cha Shirika la Hali ya Hewa Duniani kwa kushirikiana…
HABARI ZA MICHEZO Jumatatu ya kujaza mfuko wako ni leo August 26, 2024 Erasto Masalu Je unajua kuwa Jumatatu ya leo kuna mitanange kibao ya pesa ndani ya Meridianbet, hivyo basi kaa mkao wa kupiga mpunga endapo utabashiri mechi zako za uhsindi hapa. Leo hii…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Askofu Shoo kubadili Katiba, kubaki madarakani? August 26, 2024 Erasto Masalu DK. Frederick Shoo, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini yenye makao yake mjini Moshi, “huenda akabadili Katiba,” ili kuendelea kubaki madarakani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Taasisi ya kupambana na dawa za kulevya yateketeza ekali 1,165 za bangi August 26, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa…