BIASHARA Kuwa sehemu ya mabadiliko, mbio za baiskeli za Vodacom Twende Butiama 2024 August 1, 2024 Erasto Masalu Tanzania inapoelekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya Twende Butiama wametangaza kufunguliwa rasmi kwa usajili wa mbio za baiskeli…
HABARI MCHANGANYIKO Wakulima wa miwa Kilombero wamgeuka Mpina August 1, 2024 Erasto Masalu Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na…
HABARI ZA AFYA Samia apewa tano mapambano kupunguza vifo kina mama na watoto August 1, 2024 Erasto Masalu WANAWAKE wanaojifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, wameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuongea idadi ya hospitali na vituo vya afya hatua iliyosaidia kupunguza vifo vya kina…
HABARI ZA AFYA Wananchi Morogoro wapunguziwa mzigo vipimo vya CT-Scan August 1, 2024 Erasto Masalu WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro, wameondokana na mzigo wa gharama za kufuata vipimo vya CT-Scan mikoa ya jirani, baada ya Serikali kufikisha huduma hiyo katika hospitali ya mkoa. Anaripoti Mwandishi…