HABARI ZA AFYA Serikali: Hakuna mgonjwa wa Mpox Tanzania August 3, 2024 Erasto Masalu Wizara ya Afya imesema kuwa mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa wa Mpox ambao awali ukijulikana kama homa ya nyani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Mwalimu aliyemchapa mwanafunzi kwa madai ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ahukumiwa gerezani August 2, 2024 Erasto Masalu MWALIMU wa shule ya sekondari ya Kings iliyopo Goba jijini Dar es Salaam Yusuph Mirambi (43), amehukumiwa kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani na kulipa faini ya Sh. Milioni mbili…
SIASA TANGULIZI Wananchi Morogoro: Hatuna deni na Rais Samia August 2, 2024 Erasto Masalu BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wamesema hawana deni na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa ahadi nyingi alizotoa amezitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Maelezo hayo ya…
HABARI ZA MICHEZO NBC yaahidi kunogesha ushindani zaidi Ligi Kuu Bara August 2, 2024 Erasto Masalu Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC, Benki ya NBC jana Alhamisi ilishiriki kikamilifu kwenye tukio la utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, TFF 2023/2024 huku…
BIASHARA TCB, ZEEA zaingia makubaliano kusaidia wajasiriamali kujikwamua kiuchumi August 2, 2024 Erasto Masalu Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo Ijumaa imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) ya kimkakati na Wakala wa Serikali wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar ( ZEEA) kwa lengo la kuanzisha mpango…
Uncategorized Sloti ya Forest Rock kasino fanya haya ushinde August 2, 2024 Erasto Masalu KASINO ya Meridianbet inakupeleka hadi kwenye msitu wenye wanyama pori ambao, watakupa ushindi muda wowote unapokutana nao. Jisajili Meridianbet kisha ingia upande wa Kasino ya Mtandaoni. Katika Kasino ya Mtandaoni…
KIMATAIFA Kiongozi wa Hamas kuzikwa leo Qatar August 2, 2024 Erasto Masalu QATAR leo inatarajiwa kufanya mazishi ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, baada ya mauaji yake yaliyotokea huko Tehran Iran, katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel Haniyeh atazikwa katika maziara ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Treni ya SGR yabuma tena Morogoro August 1, 2024 Erasto Masalu WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi akizindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na abiria kutokea mkoani…
BIASHARA Cheza mchezo wa Wild Corrida kasino uShinde mamilioni August 1, 2024 Erasto Masalu Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na Ureno. Jisajili Meridianbet upate bonasi ya ukaribisho ya 300% Mchezo…
HABARI MCHANGANYIKO WaterAid yawafuta machozi wananchi Hanang August 1, 2024 Erasto Masalu SHIRIKA la WaterAid limekabidhi mradi wa uboreshaji wa huduma za miondombinu ya maji na usafi wa mazingira Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliogharimu Sh million 425 na unalenga kuwafikia wanufaika…