BIASHARA Mzuka wa Expanse Kasino| nazidi kunoga August 26, 2024 Erasto Masalu Meridianbet wanakuambia mzuka unazidi kunoga huku kwenye Expanse, promosheni, yenye kutoa Mamilioni kwa wachezaji wote. Jiunge na Meridianbet kasino upate bonasi ya ukaribisho ya 300%. Kupitia shindano la michezo ya…
BIASHARA EXIM BIMA FESTIVAL 2024: Burudani yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili August 26, 2024 Erasto Masalu Mwezi Septemba, Benki ya Exim Tanzania inawakaribisha Watanzania wote na wadau mbalimbali kujumuika pamoja kwa ajili ya jambo muhimu na la kipekee; Afya ya Akili. Ikiwa inasherehekea miaka 27 ya…
ELIMU Dk. Rweikiza atangaza donge nono watakaopata DIV I na II shule ya Brilliant August 25, 2024 Erasto Masalu MBUNGE wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikzia, ametangaza kwamba kwenye mtandao wa shule za St Anne Marie Academy unaominilikia pia shule ya Brilliant ya Kimara Mbezi kwa Msuguri jijini…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA yaja na mkakati wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka August 25, 2024 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dk. Andrew Komba amesema taasisi hiyo imejipanga kuongeza uwezo wa maghala kuhifadhi nafaka kati ya tani 700,000 na milioni…
HABARI MCHANGANYIKO Wasomi wafagilia utekelezaji wa mradi wa EACOP August 25, 2024 Erasto Masalu WASOMI na wataalamu mbalimbali nchini wameelezea kuvutiwa kwao na utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wakisema umekidhi vigezo vyote vinavyotakiwa kimataifa. Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet inatoa pesa leo bashiri sasa August 25, 2024 Erasto Masalu Suka jamvi lako leo kwani kuna mechi kibao za ushindi ligi mbalimbali zinaendelea Jumapili hii. Atalanta, Bayern, Newcastle wote wapo dimbani kwaajili ya kukupa pesa. Ingia na ubeti sasa. Ligi…
HABARI ZA MICHEZO Furahia Jumamosi yako kwa kubashiri na Meridianbet August 24, 2024 Erasto Masalu Jumamosi ya kutafuta mkwanja mrefu ndio imefika hivyo, basi ndugu mteja wa Meridianbet nakwambia hivi tengeneza jamvi lako la ushindi leo uibuke Milionea sasa. Kama kawaida ligi pendwa Duniani, EPL…
BIASHARA Cheza sloti ya Piggy Party, shinda mamilioni August 24, 2024 Erasto Masalu Umewahi kuona Nguruwe akisakata Rhumba au Mbweha akiyakata huku akinywa bia, hahahah basi haya yote unayapata kwenye mchezo wa Piggy Party kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sloti hii ya…
MAKALA & UCHAMBUZI Mpango wa kuwahamisha wafugaji Ngorongoro umeshindwa mapema August 24, 2024 Erasto Masalu MAELFU ya wafugaji kutoka jamii ya Wamaasai kutoka vijiji 25, vilivyosajiliwa kisheria, ndani ya tarafa ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameandamana wiki hii, kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu. Anaandika Navaya…
SIASA TANGULIZI Tundu Lissu ajitosa sakata Ngorongoro August 24, 2024 Erasto Masalu WAKILI wa Mahakama Kuu, Tundu Lissu, ametaka ufuatiliaji wa haraka kwenye kesi iliyofunguliwa jijini Arusha na mwananchi mmoja, kupinga uhamisho wa wananchi wa Ngorongoro, mkoani Arusha. Akiandikia mawakili wenzake kupitia…