HABARI MCHANGANYIKO LHRC walaani mauaji na ukatili wa polisi Simiyu August 23, 2024 Erasto Masalu KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani matukio ya ukatili na mauaji yaliyotekelezwa na Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu na kusisitiza kuwa huo ni…
HABARI MCHANGANYIKO Wizara kuanzisha kitengo maalumu usimamizi wa nishati safi August 23, 2024 Erasto Masalu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amesema wizara hiyo itaendelea kutoa kipaumbele ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini kwa namna mbalimbali ikiwemo kuanzisha kitengo maalum…
Uncategorized Cheza Expanse kasino na utajirike August 23, 2024 Erasto Masalu Expanse Kasino ni sehemu nzuri sana ya kutajirisha watu wengi, haswa kwa wale wanaocheza kasino ya mtandaoni wanajiweka kwenye nafasi ya karibu Zaidi na utajiri. Zaidi kabisa ujisajili na Meridianbet…
HABARI ZA MICHEZO Pesa yako ipo hapa na Meridianbet August 23, 2024 Erasto Masalu Ikiwa hii ni wiki ya pili ya kurejea kwa ligi mbalimbali Duniani, Ijumaa ya leo kuna mechi kibao za kukupatia pesa kuaniza kule Ufaransa, Hispania na zingine kibao. Ingia Meridinabet…
HABARI MCHANGANYIKO JJAD Kagera Farmers kuongeza uzalishaji kahawa ya Robusta August 23, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI inayojihusisha na kilomo cha kahawa JJAD Kagera farmers imeishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia bei ya kahawa kupanda bei hadi kufikia…
HABARI ZA AFYA Global Medicare kuleta madaktari wa Congo JKCI August 23, 2024 Erasto Masalu MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya kujifunza namna taasisi hiyo ilivyopiga hatua katika tiba ya moyo…
BIASHARA Guinness yaongoza shamrashamra za msimu wa EPL nchini August 22, 2024 Erasto Masalu WADAU wa soka Tanzania wamejiandaa vilivyo kwa ajili ya raundi ya pili ya mechi za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wikendi hii, kwa hisani ya Guinness, Bia Rasmi na Bia…
BIASHARA Cheza Sloti ya Zombie Apocalypsie kuvuna mapesa August 22, 2024 Erasto Masalu Huu ni moja kati ya michezo migni ya Meridianbet rahisi kucheza na kushinda, kwa kubonyeza kitufe cha Spin tayari mchezo utafunguka na utaweka dau utakalo ili kuwa mtaji wako wa…
SIASA TANGULIZI Mbowe amtaka Samia kuunda tume utekaji watu 200 August 22, 2024 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka yake kwa mujibu sheria ya uchunguzi mahsusi kuunda tume ya kimahakama ya majaji…
HABARI MCHANGANYIKO Waongoza watalii wafunguka maandamano wakazi Ngorongoro August 22, 2024 Erasto Masalu BAADHI ya waongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, jijini Arusha, wamewataka watu wanaohamasisha wakazi waishio hifadhini humo kuandamana kuacha kwani kitendo hicho kinachafua taswira ya nchi. Anaripoti Mwandishi…