Suka jamvi lako leo kwani kuna mechi kibao za ushindi ligi mbalimbali zinaendelea Jumapili hii. Atalanta, Bayern, Newcastle wote wapo dimbani kwaajili ya kukupa pesa. Ingia na ubeti sasa.
Ligi kuu ya Uingereza EPL leo hii Wolves atamualika kwake Chelsea ambayo imetoka kupoteza mchezo wake wa kwanza nyumbani. Mechi ya mwisho kuonana The Blues walipoteza wakiwa kwao. Je leo hii pale katika dimba la Mollineux Enzo Maresca na vijana wake watafanya nini?. Suka jamvi lako hapa.
Pia majira hayo hayo ya saa kumi Newcastle United baada ya kupata ushindi mwembamba mechi iliyopita, watakuwa na kibarua cha kushinda leo dhidi ya AFC Bournemouth ambao walitoa sare mchezo uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Magpies kwa ODDS 2.40 kwa 2.69. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
Tusua na Meridianbet mechi za leo ambazo zina ODDS za kijanja. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Na mechi ya mwisho leo Uingereza ni hii ya Liverpool chini ya kocha mkuu Slot ambapo watakipiga dhidi ya Brentford katika dimba la Anfield. Timu zote zimetoka kuhsinda mechi zao zilizopita na pia mechi hii imepewa ODDS 1.20 kwa 11.76. Jisajili sasa.
LALIGA nayo inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mitanange mizito, Real Madrid baada ya kuanza na sare ligi, leo hii atacheza dhidi ya Real Valladolid ambao walishinda mechi yao ya kwaza. Madrid watamkosa Bellingham lakini wana wachezaji kibao akiwemo Mbappe. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii. Tengeneza jamvi lako sasa.
Wakati saa 2:15 usiku Deportivo Alaves atakuwa mwenyeji wa Real Betis ambapo mara ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Lkaini leo hii mwenyeji anapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.38 kwa 3.14. Je pesa yako unampa nani leo?. Weka ubashiri wako mechi hii.
Na mtanange mzito utapigwa saa 4:30 usiku leo ambapo Atletico Madrid atatunishana misuli na Girona huku ikikumbukwa kuwa timu zote zimetoka kutoa sare mechi zao zilizopita. Kila timu inahitaji alama tatu leo ijiweke nafasi nzuri. Lakini je nani atashinda?. Beti na Meridianbet sasa.
Sio ligi hiyo tuu, bali unaweza ukabashiri na mechi za SERIE A, ambapo Torino atakuwa akichuana vikali na Atalanta ambao wametoka kushinda mechi yao ya kwanza. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake ya kwanza. 3.52 kwa 2.16 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Nao Fiorentina watawaalika Venezia FC kusaka pointi tatu muhimu siku ya leo. Mgeni amepanda daraja msimu huu na ametoka kupoteza mechi yake ya kwanza. Je leo anaweza kufanya nini akiwa ugenini?. Mechi hii imepewa ODDS 1.40 kwa 7.25. Beti kijanja hapa.
Baada ya Napoli kupigika vibaya akiwa ugenini leo atakuwa nyumbani Armando Maradona kumenyana dhidi ya Bologna huku nafasi ya kushinda akipewa Naples akiwa na ODDS 1.96 kwa 3.92. Mechi ya mwisho kukutana Bologna alishinda. Je Conte ataweza kulipa kisasi?. Bashiri hapa sasa.
Mechi nyingine ni hii ya AS Roma dhidi ya Empoli huku mabingwa wa ubashiri wakiipa mechi hii ODDS 1.47 kwa 7.05. Mwenyeji alitoa suluhu mechi iliyopita, huku mgeni wake akitoa suluhu pia. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Jisajili hapa.
BUNDESLIGA kama kawaida leo mechi mbili zitapigwa, FC Bayern chini ya kocha mpya Kompany watatupa karata yao ya kwanza dhidi ya VFL Wolfsburg ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi ya leo wakiwa na ODDS 5.09 kwa 1.54. Mara ya mwisho kukutana, Bayern alishinda. Leo nani kinara?. Suka mkeka wako hapa.
Mechi nyingine ni hii ya FC.ST Pauli ambaye amepanda daraja dhidi ya FC Heidenheim ambao wao walimaliza nafasi ya 8 msimu uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 2.01 kwa 3.62. Wewe pesa yako unaiweka wapi?. Bashiri kijanja hapa.
Lakini pia ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 mechi kibao za kukupa pesa zipo nyingi RC Lens uso kwa uso dhidi ya Stade Brest 29 ambapo nafasi ya kushinda ikienda kwa mwenyeji akiwa na ODDS 1.88 kwa 4.01. Beti mechi hii.
Pesa ipo pia mechi ya OGC Nice dhidi ya Toulouse majira ya saa 12:00 jioni huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.08 kwa 3.67. Je mwenyeji ataanzaje ligi nyumbani?. Tengeneza jamvi hapa.
Vilvile mechi nyingine ya kuhakikisha unaondoka na kibunda ni hii ya Olympique Marseille dhidi ya Stade Reims majira ya saa 3:45 usiku huku nafasi ya kushinda ikienda kwa mwenyeji ndani ya Meridianbet kwani ana ODDS 1.44 kwa 4.46. Beti sasa.
ZINAZOFANANA
Ligi ya Mabingwa kukupatia mkwanja leo hii
Mwanamke ajitosa ubosi kamati ya Olimpiki
Manula apigwa na polisi baada ya mechi Libya