Je unajua kuwa Jumatatu ya leo kuna mitanange kibao ya pesa ndani ya Meridianbet, hivyo basi kaa mkao wa kupiga mpunga endapo utabashiri mechi zako za uhsindi hapa.
Leo hii pale SERIE A kutakuwa na mechi mbili kali sana ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya mwenyeji Cagliari Calcio dhidi ya Como 1907 ambao wamepanda daraja msimu huu. Mwenyeji ametoka kutoa sare mchezo wake wa kwanza huku mgeni yeye akipigika vibaya sana.
Meridianbet mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wamempa nafasi kubwa ya kushinda Cagliari kwa odds 2.30 kwa 3.14 kwa mgeni. Je wewe beti yao unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Bashiri sasa.
Shangilia ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet kwenye mechi za leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mechi nyingine leo hii itakuwa pale usiku wa 3:45 ambapo Juventus atakuwa mgeni wa Hellas Verona. Ikumbukwe kuwa timu hizi zote mbili zimetoka kushinda mechi zao za kwanza kwenye ligi. Juve wana kocha mpya ambaye ni Thiago Motta.
Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu uliopita ambapo walitoka sare huku leo hii sasa Bibi Kizee akipendelewa kuondoka na pointi 3 ugenini kwa ODDS 1.76 kwa 4.80. Je nani kuondoka kifua mbele?. Jisajili hapa.
Ukiachana na ligi hiyo, pia leo hii LALIGA kutakuwa na mechi ya kukata na shoka Villarreal baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atatunishana misuli dhidi ya Celta Vigo majira ya saa 4:30 usiku.
Nyambizi wa Njano ndio wanaopigiwa chapuo kushinda mchezo wa leo wakipewa ODDS 1.84 kwa 3.92. Mwenyeji alianza na sare mchezo wake wa kwanza huku mgeni wake akishinda unono mechi yake iliyopita. Je leo hii unaenda na nani akupe pesa?. Bashiri kijanja hapa.
Vilevile ligi kuu ya Ugiriki SUPER LEAGUE leo utapigwa mchezo mmoja ambapo Olympiacos Piraeus atamenyana dhidi ya Athens Kallithea majira ya saa 2:30 usiku huku mechi hii tayari ikiwa imeshawekwa ODDS KUBWA na machaguo kibao Meridianbet.
Olympiacos ndio chaguo kubwa kwenye ushindi wa leo akipewa 1.10 kwa 20.58 odds. Ingia Meridianbet na usuke jamvi sasa.
ZINAZOFANANA
Ligi ya Mabingwa kukupatia mkwanja leo hii
Mwanamke ajitosa ubosi kamati ya Olimpiki
Manula apigwa na polisi baada ya mechi Libya