September 18, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mkwanja wa kumwaga upo Meridianbet wikiendi hii

 

Wikiendi hii mkwanja upo wa kutosha pale Meridianbet kupitia michezo ambayo itakwenda kuchezwa kwenye ligi mbalimbali barani ulaya haswa zile kubwa tano barani humo.

Ligi kuu nchini nchini Uingereza, Italia, Hispania, Ufaransa, Ujerumani, pamoja na Ufaransa zote zitakwenda kuchezwa na michezo mikali itakuepo ya kuhakikisha unaweza kuondoka na maokoto ya kutosha.

EPL

Arsenal mapea kabisa atakipiga dhidi ya Brighton, West Ham wao watakua nyumbani kuikaribisha Manchester City, Brentford Vs Southampton, Leicester City watakipiga dhidi ya Aston Villa pale katika dimba la King Power.

LA LIGA

Vinara wa soka ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watakua nyumbani kuhakikisha wanaendeleza wimbi la ushindi dhidi ya Real Valladolid, Athletic Club wao watakua nyumbani kumenyana na Atletico Madrid, Huku klabu ya Valencia wakiwa nyumbani kumenyana na Villarreal kwenye dimba la Mestalla.

BUNDESLIGA

Ujerumani leo pia moto unakwenda kuwaka kweli ambapo mabingwa watetezi klabu ya Bayer Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Rb Leipzig, Weder Bremen watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Borussia Dortmund, Vfb Stuttgart watakipiga dhidi ya klabu ya Mainz.

SERIE A

Baada ya kupata ushindi mnono kwenye mchezo uliomalizika klabu ya Napoli leo itatafuta ushindi wake wa pili mfululizo dhidi ya klabu ya Parma kunako ligi ya soka nchini Italia, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Lazio dhidi ya Ac Milan ambao wametoka kupoteza mchezo wao wa mwisho waliocheza.

LIGUE 1

Ligi kuu ya soka kutoka nchini Ufaransa nayo sio haba kwani leo itakwenda kushuhudia michezo kadhaaa mikali ikipigwa katika madimba tofauti tofauti ambapo Brest watacheza dhidi ya Saint-Etienne, Toulouse watacheza dhidi ya Olympique Marseilleya kocha Roberto De Zerbi.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author