Wednesday , 24 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Benki Ya EXIM wakabidhi msaada kwa Watoto yatima

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Meneja Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa benki hiyo Bi Gisela Swai (Kulia)...

Habari Mchanganyiko

Wawili wafa mgodini wakichimba dhahabu

  WATU wawili wamefariki duniani na wengine sita kuokolewa wakiwa hai baada ya duara walilokuwa wakichimba madini ya dhahabu kutitia katika Mgodi wa...

Habari Mchanganyiko

TRA: Ukusanyaji kodi umeongezeka kwa 17.4%

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ukusanyaji kodi katika kipindi cha robo ya kwanza ya 2021/2021, umeongezeka kwa asilimia 17.4, ikilinganishwa na...

Habari Mchanganyiko

NMB kurejesha milioni 246 kwa wananchi

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imetenga Sh.246 milioni zitakazotumika kununua na kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali wa promosheni ya Bonge la Mpango. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Naibu waziri Ole Nasha ahitimisha safari yake, azikwa Arusha

  WILLIAM Tate Ole Nasha, aliyekuwa Mbunge Ngorongoro na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji nchini Tanzania, amehitimisha safari yake ya...

Habari Mchanganyiko

MCT yashauri waandishi kujiunga JOWUTA

  BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limewashauri waandishi wa habari nchini kujiunga na Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), ili...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa atoa ujumbe kwa taasisi za dini

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hukumu kesi ya Sabaya hadi tarehe 15 Oktoba

  HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aitembelea LSF

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametembelea banda la Shirika Lisilo la Kiserikali, linaloshughulika na masuala ya msaada wa kisheria, Legal Service...

Habari Mchanganyiko

Wadau wanolewa matumizi sahihi ya mitandao

  SHIRIKA lisilo la kiserikali, linaloshughulika na masuala ya utetezi wa haki za kidigitali, Zaina Foundation, likishirikiana na Shirika la Haki Maendeleo, limewanoa...

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML yatoa milioni 800 kukarabati hospitali ya rufaa Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)...

Habari Mchanganyiko

Uhamiaji Tanzania yatangaza ajira 350

  KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji nchini Tanzania, Dk. Anna Makakala, ametangaza nafasi za ajira 350 za cheo cha Konstebo wa Uhamiaji kwa vijana...

Habari Mchanganyiko

CoRI waitaka Serikali ya Tanzania kuteua maofisa taarifa

  UMOJA wa asasi zinazotetea haki ya kupata taarifaTanzania (CoRI) umeitaka Serikali ya nchi hiyo kuteua maafisa taarifa katika ofisi zote za umma,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Walioitwa kujiunga na polisi hawa hapa

  JESHI la Polisi nchini Tanzania, limetangaza orodha ya majina 1,475 waliomba kujiunga na jeshi hilo. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo … (endelea). Vijana...

Habari Mchanganyiko

Tanesco yapanguliwa, January ateua vigogo

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limeendelea kusukwa upya baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kuteua vigogo kuwa wajumbe wa bodi ya...

Habari Mchanganyiko

Fahamu madini yaliojaa katika simu yako ya zamani usioitumia

NDANI ya simu ya iPhone yenye almasi yaweza kukurejeshea kiasi cha dola za Kimarekani 95 milioni, lakini ikiwa kipande hiki cha johari hakina...

Habari Mchanganyiko

Asasi za kiraia Tanzania zazindua mwongozo wa ulipaji kodi

  ASASI za Kiraia nchini Tanzania (AZAKI), zimezindua mwongozi wa ulipaji kodi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ea Salaam … (endelea). Mwongozo huo umezinduliwa...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi ITV afariki ajalini, mwenzake…

  MWANDISHI wa habari wa ITV na Redio One, Mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, Gabriel Kandonga amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe …...

AfyaHabari Mchanganyiko

Mtambo achangia ujenzi zahanati kijiji Dondo, wananchi…

  MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo) mkoani Pwani ametoa Sh.500,000 kuchangia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Dondo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Kampeni ya ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’ yawavutia wakulima wa Korosho Lindi na Mtwara

  CHANGAMOTO ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati na makato...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu aipongeza GGML kuajiri Watanzania 5,000

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku asilimia zaidi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

DPP afuta kesi ya Lissu na wenzake

  KESI ya jinai Namb. 208/2016 iliyohusu mashitaka ya uchochezi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu...

Habari Mchanganyiko

Askari polisi 7 wa Tanzania walioingia Malawi watimuliwa

  ASKARI saba wa Jeshi la Polisi Tanzania wamefukuzwa kazi baada ya kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi kinyume cha utaratibu wa jeshi....

Habari Mchanganyiko

Huawei Yawapiga msasa watalaam 19 wa Tehama kuendana na mabadiliko ya Tehama.

  KAMPUNI ya Huawei Tanzania  kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta ya umma...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Alhad akerwa na maaskofu wa mitaani

  SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na Kikristu zinatofautiana...

Habari Mchanganyiko

Mapadre Mchamungu, Msomba wawekwa wakfu uaskofu Dar

  MAPADRE Stephano Msomba na Henry Mchamungu wamewekwa wakfu wa kuwa maaskofu wasaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania....

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Benki ya Exim wafanya usafi ufukwe Ocean Road

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha mikopo wa benki hiyo, Zainab Nungu (katikati) wakishiriki zoezi la usafi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Vituo chanjo ya Corona vyaongezwa, Msigwa awapa neno wasiochanjwa

  SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

NBC yazindua kampeni ya NBC Shambani  kwa wakulima wa korosho Mtwara na Lindi

  SEPTEMBA 18, 2021:  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara...

Habari Mchanganyiko

Jaji mstaafu Othuman Chande apewa shavu ICC

  ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi...

Habari Mchanganyiko

Makamu mkuu mstaafu UDSM afariki dunia

  ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Wakurugenzi Dawasa yazinduliwa, yapewa kazi

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara 45,000 wageukia umachinga Dar

  MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amesema zaidi ya wafanyabiashara 45,000 waliokuwa kwenye mfumo rasmi mkoani Dar es Salaam wamegeukia umachinga...

Habari Mchanganyiko

Makala atoa mwezi mmoja kwa machinga kupangwa upya

  MKUU wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla ametoa muda wa mwezi mmoja kwa madawati ya uwezesha wananchi kiuchumi yaliyopo katika...

Habari Mchanganyiko

Mrema apata pigo

  MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amepatwa na msiba wa mkewe Rose Mrema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia kuendeleza kilimo Tanzania

  SERIKALI ya awamu ya sita nchini Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kundeleza kilimo cha mazao ya chakula na biashara....

Habari Mchanganyiko

150 mbaroni kwa makosa ya jinai

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watuhumiwa zaidi ya 150 wa makosa ya jinai, 17 makosa ya...

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC, Manispaa Ilala watoa elimu ya biashara kwa wajasiriamali

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Septemba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rugemalira aachiwa huru

  MFANYABIASHARA James Rugemalira leo tarehe 16 Septemba, 2021 ameachiwa huru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP)...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Exim wachangia matibabu mtoto mwenye matatizo ya moyo

  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Fedha Benki ya Exim Bw Issa Rajabu (kushoto) akikabidhi msaada wa fedha taslimu kwa Muhasibu wa Taasisi ya...

Habari Mchanganyiko

Aweso atua Bukoba, aagiza milioni 420 za mkandarasi zilipwe

  WAZIRI wa Maji nchini, Jumaa Aweso amejionea hali ya mradi wa maji wa Kemondo-Maruku wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera huku akitoa maagizo...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijaji awapa ujumbe watumishi wizara ya habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, Dk. Ashatu Kijaji ameitaka menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi...

Habari Mchanganyiko

GGML yatoa mafunzo ya Covid-19 kwa waandishi wa habari 60 

KAMPUNI  ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu mkoani Geita (GGML) kwa kushirikiana na Ofisiya Mkuu wa Mkoa huo, imetoa mafunzo kwa waandishi wa...

Habari Mchanganyiko

Royal tour’ ya Rais Samia yaanza kumiminia watalii, KITS wachangamkia fursa

  WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na masuala ya utalii...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti uchunguzi soko la Kariakoo kutua kwa Rais Samia

  RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro atuma salamu kwa magaidi wa Msumbiji waliojificha Dar 

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania , IGP Sirro, amesema wanazifanyia kazi taarifa za uwepo wa watuhumiwa wa vitendo vya  ugaidi waliokimbilia nchini, ...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kisa agizo la RC Dar…wamachinga waangua kilio, wamkumbuka JPM

  WAFANYABIASHARA wadogo maarufu kama ‘wamachinga’ wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi wake wa kutaka kuwaondoa katika maeneo ya pembezoni mwa barabara katika soko...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 174,222 wapandishwa vyeo

  SERIKLI imesema hadi kufikia tarehe 1 Septemba, 2021 jumla ya watumishi wa umma 174,222 wamepandishwa vyeo na kubadilishiwa mishahara yao. Pia imesema...

Habari Mchanganyiko

Aweso atangaza vita na wakandarasi wababaishaji

  WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ametangazia vita kwa wakandarasi na wahandisi ambao watakwamisha miradi ya maji inayotekelezwa serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Mapacha waoa mwanamke mmoja… wanatarajia kupata mtoto

  STORI za mapacha kushare au kuvaliana nguo, kusomea taaluma moja, kufanya kazi ya aina moja, kufunga harusi siku moja na wakati mwingine...

error: Content is protected !!