SERIKALI ya Tanzania, imeitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhakikisha inasimamia vyema mfumo wa mtandao, ili kuhakikisha maudhui mtandaoni yanasalia yenye manufaa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, kuwa makini dhidi ya wanamgambo wa kundi la...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla amepiga marufuku wananchi mkoani humo kuingia kwenye vyombo vya usafiri...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeanzisha mikakati ya kumaliza changamoto za mawasiliano, katika maeneo ya pembezoni mwa nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021WAKULIMA 2,176 katika Mkoa Morogoro, Iringa na Jombe, wamenufaika na mafunzo stadi katika kilimo na ufugaji, yaliyotolewa kupitia mradi wa Tajirika na...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Dk. Leonard Chamuriho amewataka mafundi sanifu 15,260 ambao wamehitimu katika vyuo mbalimbali nchini kujisajili kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka watu wanaopinga tozo ya miamala ya simu, waeleze njia mbadala itakayowezesha Serikali kupata fedha...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MANASE Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa,...
By Regina MkondeJuly 23, 2021WANAWAKE wawili na watoto wao wa familia ya Marehemu Amiri Mrisho wa Dar es Salaam wamemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), imeshaingia...
By Regina MkondeJuly 21, 2021WAKULIMA wa Mkoa wa Njombe, wamefikisha kilio cha bei kubwa za pembejeo serikalini, wakitaka ipungue. Anaripoti Mwandishi Wetu, Njombe … (endelea). Wakulima...
By Masalu ErastoJuly 21, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya bandari ili kuvutia idadi kubwa ya watumiaji zikiwemo nchi za...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, linawashikilia watu 275 kwa tuhuma za mauaji, yaliyotokea nchi nzima kuanzia Mei hadi Julai 2021. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh.100 milioni kwa ajili ya ujenzi wa paa la kisasa la kuzuia jua na mvua...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Anold Kihaule,...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021WATUMISHI watatu wa Serikali na wengine watano, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujihusisha...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021, inamfikisha mahakama Maliselo Kapampa Saveli...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021MKUU wa Mkoa wa Mara (RC), Ally Hapi amesema, mkoa huo hauna mpango wa kuanzisha makambi ya wanafunzi kwa ajili ya kuwaandaa...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leonard Kapongo, amefariki dunia jioni ya jana, tarehe 17...
By Regina MkondeJuly 18, 2021JESHI la Polisi Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam, limesema chanzo cha tukio la mauaji ya watu wawili katika Baa ya Lemax...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2021MENEJA WA Baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remi mkoani Dar es Salaam, Godlisten Augustine, amesimulia tukio la mauaji ya watu wawili...
By Regina MkondeJuly 18, 2021POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25), kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu 40 kwa makossa mbalimbali ya unyan’ganyi wa kutumia nguvu...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2021JESHI la Polisi Kanda ya Magharibi, limewakamata waganga wa kienyeji 16, wanaotuhumiwa kufanya shughuli zao kinyume cha sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2021KODI ya mitandao ya simu imeibua mjadala, baada ya kupingwa kila kona na baadhi ya watu, kwa maelezo kwamba itaumiza wananchi hasa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2021KODI ya mitandao ya simu imeibua mjadala, baada ya kupingwa kila kona na baadhi ya watu, kwa maelezo kwamba itaumiza wananchi hasa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2021VITA dhidi ya dawa za kulevya imelipuka upya nchini Tanzania, baada kuanza kufahamika kwa mtandao wa watumishi ndani ya taasisi za umma,...
By Kelvin MwaipunguJuly 15, 2021INAELEZWA kila mtu anazaliwa tajiri, pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 15, 2021WAKATI dunia ikiendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Taasisi ya My Legacy nchini Tanzania, imetoa wito kwa wananchi...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2021ALIYEKUWA Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa, ametajwa kuwa na mchango mkubwa katika kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Upungufu...
By Regina MkondeJuly 14, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia maendeleo visiwani humo....
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Manispaa ya Ubungo, wametoa siku saba kwa wananchi wanaotiririsha majitaka...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema, Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa Jumatano ijayo tarehe 21 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene, amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kueleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji majukumu yake mapema,...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla, amesema kama juhudi za kuudhibiti moto katika Soko Kuu la...
By Regina MkondeJuly 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wakuu wa mikoa (RC) kwa kushirikiana na Jeshi la Zima Moto na Uokoaji katika meneo yao, kufanya ukaguzi...
By Regina MkondeJuly 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, wafanyabiashara takribani 224, wameathirika na tukio la Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, kuungua moto. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 12, 2021BENKI ya NMB imeanzisha huduma maalum kwa wateja wao kujiwekea akiba kila wanapofanya mialama. Anaipoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na Jumuiya za Kiislamu Tanzania kutafuta chanzo cha...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na wafanyabiashara wa Soko...
By Jonas MushiJuly 11, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NACTE), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu, iliyofanyika Mei 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amepiga marufuku mabasi ya abiria ‘daladala’, kusimamisha abiria, ili kudhibiti maambukizi ya mlipuko wa ugonjwa...
By Hamisi MgutaJuly 10, 2021SERIKALI imewaagiza wakuu wa mikoa (RC) na wa wilaya (DC), waandae mikakati ya kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu, la ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2021WAFANYAKAZI wa Kampuni ya CZ Information and Media, wanatarajia kumpeleka mahakamani mmiliki wa kampuni hiyo , Cyprian Musiba, kwa madai ya kutowalipa...
By Hamisi MgutaJuly 10, 2021BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania- NACONGO, limeomba kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kutafuta...
By Hamisi MgutaJuly 10, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaJuly 10, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, wamewashauri mawakili na...
By Hamisi MgutaJuly 9, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, ameagiza wamiliki wa mabasi yaendayo mkoani, wafuate utaratibu wa kupakia na kushusha abiria...
By Hamisi MgutaJuly 9, 2021BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO), limepata viongozi wapya kupitia uchaguzi wake uliofanyika jana tarehe 8 Julai 2021, jijini...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2021