MWILI wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya tarehe 5 Julai 2021,...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021SERIKALI ya Tanzania imetaja sekta sita zilizo kipaumbele katika kutoa nafasi za ajira nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJune 30, 2021KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, amebainisha mambo saba ambayo wananchi wanapaswa kuyazingatia ili kuchungua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya corona...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021WATU zaidi ya 130 wameripotiwa kufariki dunia nchini Canada, baada ya kuathiriwa na joto kali lililoikumba nchi hiyo tangu Jumatatu ya tarehe...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...
By Masalu ErastoJune 29, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (THRDC), umefanya semina ya kuwajengea uwezo wanachama wake wapya 70. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 29, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....
By Bupe MwakitelekoJune 29, 2021MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi (CCM), Mama Salma Kikwete,ameiomba Serikali ipeleke maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema magazeti yote yaliyofungiwa na kumaliza adhabu zao, wapewe leseni ili waendelee na majukumu yao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....
By Mwandishi WetuJune 28, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amesema ulimwengu umejaa unafiki,...
By Kelvin MwaipunguJune 28, 2021MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 28, 2021SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....
By Mwandishi WetuJune 28, 2021NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...
By Mwandishi WetuJune 28, 2021IWAPO Kanuni za Usafirishaji Mizigo Mizito na Kichele za nchini Zambia zitaanza kutumika, zaidi wa Watanzania 30,000 wana hatihati ya kukosa ajira....
By Mwandishi WetuJune 27, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wanafanya mazungumzo ya kuwezesha somo la ulipaji kodi...
By Mwandishi WetuJune 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya, kufufua mabaraza ya biashara katika maeneo yao. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Hamisi MgutaJune 26, 2021SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...
By Yusuph KatimbaJune 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Regina MkondeJune 25, 2021BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...
By Masalu ErastoJune 25, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya mfumo wa kielektroniki, wa kufuatilia usambazaji wa dawa katika hospitali, vituo vya afya na...
By Regina MkondeJune 24, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla, amewataka wananchi mkoani humo kuchukua tahadhari ya maambukuzi ya corona (COVID-19), kwa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimishi ya kilele cha dawa za kulevya duniani tarehe 26 Juni...
By Danson KaijageJune 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, yupo Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema, mwenendo wa utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita, katika kutenga fedha za miradi ya maendeleo,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unatarajia kuzindua mpango mkakati wa Asasi za Kiraia (Azaki), wa utekelezaji Mpango wa...
By Regina MkondeJune 22, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amefafanua jinsi kodi ya lini ya simu itakavyolipwa na watumiaji huku akiwaomba...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), kimeiomba Serikali ya Tanzania, kuwachukulia hatua watu waliohusika katika tukio la mauaji ya...
By Regina MkondeJune 22, 2021Bajeti 2021/22 kupitishwa? Spika Ndugai atoa onyoMJADALA wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka 2021/22 ya Sh.36.3 Trilioni, unahitimishwa leo Jumanne, tarehe...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021WATU watano wamefariki dunia, katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo basi dogo la abiria ‘Costa’ iliyotokea eneo la Nanenane mkoani Morogoro jana...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili Tanganyika, wa kumfuta uwakili, Mwanaharakati...
By Regina MkondeJune 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Tabora, limedai mauaji ya mtoto Nyanzobhe Mwandu (4), yaliyotokea tarehe 16 Juni 2021, yalipangwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 21, 2021SIKU mbili baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Kherry James amesema ‘sintokuwa mtawala bali mtumishi wa...
By Regina MkondeJune 21, 2021MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God (EAGT), Nason Manyere, amewashauri Watanzania kujiunga na bima ya afya, ili kuepukana na mzigo...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Mwaikabe Waitara, amewataka wakandarasi wazawa nchini kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa kuomba na...
By Mwandishi WetuJune 19, 2021SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha Sh. 21.8 bilioni, kutoka benki ya makabwela – National Microfinance Bank (NMB) – ikiwa ni sehemu...
By Masalu ErastoJune 19, 2021MKUU wa mkoa wa Morogoro, Martin Shigela amewata maofisa ugani kutumia taaluma yao kivitendo kwa kuweka mashamba darasa na kuwapa elimu wakulima...
By Christina HauleJune 18, 2021WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) akisema, hajaridhishwa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro na wenzake wawili, wamesomewa mashtaka mawili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa kampuni za Wilmar International ya Singapore, Kuok Khoon Hong....
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia shtaka la uhujumu uchumi raia sita wa China, wanaofanya kazi katika Kampuni ya Meli...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, amemtuhumu Spika wa Bunge la...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth...
By Regina MkondeJune 18, 2021RAIS wa kwanza wa Zambia, Keneth Kaunada amefariki dunia, leo mchana Alhamisi, tarehe 17 Juni 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kaunda mwenye miaka...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021MASHEIKH wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wameanza kufanyia uchunguzi wa afya zao, baada ya kutoka mahabusu,...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021MASHEIKH 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wameeleza namna Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na aliyekuwa Rais wa...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeziagiza Taasisi za Dini na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), kufuata taratibu za kupata misamaha ya kodi, katika misaada...
By Mwandishi WetuJune 17, 2021