SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutumia Sh. 40 bilioni, kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji, kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbegu...
By Masalu ErastoMay 31, 2021MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Ester Bulaya, amehoji lini Serikali itapeleka maji katika vijiji vilivyopitwa na Mradi wa Maji wa...
By Masalu ErastoMay 31, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, Hospitali ya Halmashauri ya Rorya mkoani Mara, inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Desemba 2021. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...
By Masalu ErastoMay 31, 2021WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuuwa Elizabeth Mwaike. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa...
By Hamisi MgutaMay 29, 2021WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Wwatendaji katika Sekta ya Utalii waweke mikakati ya kuitangaza Mbuga ya...
By Mwandishi WetuMay 29, 2021SAKATA la kuzuiwa kwa mahindi yaliyodaiwa kuwa na sumu kuvu, katika mpaka wa Namanga mkoani Arusha, unaounganisha nchi ya Kenya na Tanzania,...
By Masalu ErastoMay 28, 2021WAKATI leo tarehe 28 Mei 2021, dunia ikiadhimisha siku ya hedhi, bado jamii inahitaji uelewa mpana kuhusu suala zima la hedhi salama...
By Masalu ErastoMay 28, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameshangazwa na kitendo cha Tarafa ya Mungaa, iliyoko katika Jimbo la Singida Mashariki, mkoani Singida,...
By Masalu ErastoMay 28, 2021ALIYEKUWA Mhasibu katika Bandari ya Kigoma, Madaraka Robert Madaraka, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, kwa tuhuma za utakatishaji fedha na...
By Masalu ErastoMay 28, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Maisaka mkoani Manyara, Bakari Yangu, amekwepa kifungo cha miaka miwili gerezani, kwa kulipa faini...
By Masalu ErastoMay 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la kuitaka Tanzania ibadili msimamo wake, wa kujitoa kwenye azimio linaloruhusu Mashirika Yasiyo ya...
By Regina MkondeMay 27, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imesema bajeti ya maendeleo katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
By Masalu ErastoMay 26, 2021BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeikopesha Serikali ya Tanzania Dola za Marekani 140 (Sh. 323.4 bilioni), kwa ajili ya utekelezaji mradi...
By Masalu ErastoMay 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema italifanyia kazi ombi la kurejesha fedha za tozo ya mauzo ya nje ya nchi (Exporty Levy), ya zao...
By Mwandishi WetuMay 26, 2021Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watano, wanaotuhumiwa kumuuwa aliyekuwa mlinzi wa Baa, Regan Sylvester. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 25, 2021KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Camillius Wambura, amesema ameanzisha operesheni maalum ya kupambana na wahalifu wanaotumia...
By Masalu ErastoMay 25, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amewaonya watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha (ujambazi), kwamba wasipoacha atawaonyesha ‘Show’....
By Hamisi MgutaMay 25, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa taasisi za elimu nchini, kufanya utafiti juu ya mabadiliko ya teknolojia, ili kubaini...
By Masalu ErastoMay 25, 2021KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imeishauri Serikali imalize kulipa madeni ya fedha za korosho, ilizonunua kwenye msimu...
By Masalu ErastoMay 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Uwekezaji, Geoffrey Mwambe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, watatue...
By Regina MkondeMay 24, 2021RAIS wa Zanzibar,Dk. Hussein Mwinyi ameagiza watu waliohusika katika ubadhirifu wa fedha za umma, uliofichuliwa kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
By Hamisi MgutaMay 23, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania, kutoa ushirikiano wa kutosha ili kufanikisha utekelezaji wa shughuli ya Sensa ya Watu na...
By Mwandishi WetuMay 22, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC), mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, yuko mafichoni, akitafakari hatma yake ya baadaye, Raia Mwema limeelezwa....
By Mwandishi WetuMay 22, 2021DEODATUS Balile, amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa miaka mitano ijayo, kwa kupata kura 57 dhidi Nevile...
By Yusuph KatimbaMay 22, 2021WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, wa Tanzania, Bernard Kamilius Membe, yuko mbioni kushinda shauri...
By Yusuph KatimbaMay 22, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshauri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, aenziwe kwa kutimiza ndoto yake ya uanzishwaji somo...
By Masalu ErastoMay 21, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho kulifanya eneo la Mlima Nkongore mkoani Mara, kuwa hifadhi ya Taifa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC …...
By Masalu ErastoMay 21, 2021MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Latifa Juakali ameishauri Serikali ianzishe huduma ya bima ya afya, kwa wanafunzi wa elimu ya juu na...
By Mwandishi WetuMay 21, 2021MBUNGE wa Mbogwe mkoani Geita (CCM), Henry Maganga, ameiomba Serikali iwafutie madeni wafanyabiashara, wenye madeni yanayotokana na ukosefu wa elimu juu ya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya warsha ya kuwajengea uwezo viongozi wa kanda wa Chama cha Wanasheria wa...
By Regina MkondeMay 21, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, sio sera ya Serikali kuwaonea waandishi wa habari wanaotekeleza majukumu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameziagiza wizara, taasisi na mashirika ya umma yanayodaiwa na vyombo vya habari, hadi tarehe 30 Juni...
By Mwandishi WetuMay 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kasim Majaliwa, ameombwa kusaidi Idara ya Habari Maelezo kuhakikisha inatenda haki kwa Magazeti yaliyofungiwa ikiwemo Mawio na MwanaHALISI....
By Mwandishi WetuMay 20, 2021WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, Dk. Medard Kalemani, amesema takribani Sh. 28 bilioni, zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 3,832, ambao...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu meneja wa Teknolojia...
By Mwandishi WetuMay 20, 2021SERIKALI imeagiza Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), irudie upya utafiti iliyoufanya kuhusu uvuvi wa samaki aina ya Kambamiti. Anaripoti Nasra...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2021NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinawachunguza baadhi ya viongozi wa Soko la Kimataifa...
By Masalu ErastoMay 19, 2021ABDALLAH Chikota, mbunge wa Nanyamba (CCM), mkoani Mtwara (CCM), ameiomba Serikali iweke bei elekezi ya zao la korosho katika mfumo wa soko...
By Mwandishi WetuMay 19, 2021MAHAKAMA ya Rufaa nchini Tanzania, imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kufuta...
By Mwandishi WetuMay 19, 2021MBUNGE wa Maswa Mashariki (CCM), Stanslaus Nyongo, amehoji lini serikali itaanza ujenzi wa barabara kwa kiwamgo cha lami ya Maswa hadi Lalago....
By Masalu ErastoMay 19, 2021GRACE Tendega, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), ameitaka serikali ya Tanzania, kuona umuhimu wa huduma za afya kwa wazee, watoto na...
By Masalu ErastoMay 19, 2021WATUMISHI wa Mungu, wameitwa duniani siyo kubomoa bali wanatakiwa kujenga ili watu waweze kumcha Mungu na kuachana na maovu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 19, 2021SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limewaomba radhi wateja wake kutokana na ukosefu wa huduma ya ununuzi wa luku kwa njia ya mtandao...
By Mwandishi WetuMay 19, 2021WIKI mbili baada ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, mkoani Tabora, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kwa kusirikiana na...
By Masalu ErastoMay 18, 2021MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa na Serikali, kupinga uamuzi wa Mahakama...
By Regina MkondeMay 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imetenga Sh.500 milioni kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa....
By Masalu ErastoMay 18, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanania, imetenga fedha kwa ajili ya kujenga maegesho ya Kayenzi na Kanyinya. Anaripoti Nasra Bakari, DMC...
By Masalu ErastoMay 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imerejesha mfumo wa zamani wa ununuzi wa mazao ya kimkakati, ili kuondoa changamoto za mfumo wa soko huria. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 18, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amehoji kwanini uhalifu na wizi mtandaoni unashamiri, wakati kuna mfumo wa kusajili laini za simu kwa kutumia alama...
By Mwandishi WetuMay 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema atawaondoa Makamanda wa Jeshi la Polisi wa Mikoa (RPC), watakaoshindwa kudhibiti vitendo vya uhalifu, hasa...
By Mwandishi WetuMay 18, 2021