Friday , 19 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu ataka mawakili wajiongeze, waache kulalamika

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amewashauri mawakili na wanasheria, watafute nafasi za kujiajiri wenyewe, badala ya kulalamika kuna uhaba wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Walioporwa fedha kwenye mabenki kurejeshewa

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki,...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuwatoa kifungoni wafanyabiashara fedha za kigeni

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itarejesha leseni za wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni, ili waendelee na shughuli zao. Anaripoti Regina...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amlilia kaka yake Mbowe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzania nchini humo-Chadema kufuatia...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wafanyabiashara sabasaba Dodoma wahitimishwa

  HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma, nchini Tanzania, limemaliza mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kati ya halmashauri hiyo na wafanyabiashara wa...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za dini zaibua dosari uchaguzi 2020, Samia ajibu

JUMUIYA ya Kikristo Tanzania (CCT), imesema taasisi za dini hazikushirikishwa katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, baada ya kukosa vibali, tofauti na...

Habari Mchanganyiko

Jumuiya ya Kikristo yamchambua Rais Samia

JUMUIYA YA Kikristo Tanzania (CCT), imezichambua siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, na kutaja mambo matano yaliyong’arisha siku hizo.Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Morogoro walilia jiji

  MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martin Shigella, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aipandishe hadhi Manispaa ya Morogoro, ili iwe jiji. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Papa Francis ateua maaskofu wawili Dar

  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewateua mapadre, Henry Mchamungu na Stephano Musomba, kuwa Maaskofu wasaidizi Jimbo Kuu la Dar es...

AfyaHabari Mchanganyiko

Rais Samia: Wimbi la tatu corona lipo Tanzania, Dar na Arusha…..

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania amesema, wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), limetua nchini humo. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa awa mbogo Tanzania kupigwa ‘bao’ uzalishaji Tanzanite

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, imeagiza Wizara ya Madini, ihakikishe taratibu za uuzaji madini ya Tanzanite, zinafanyika katika mgodi unaozalisha madini hayo, ili...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Dunia kuipa mabilioni tume ya umwagilijia kanda kaskazini

  BENKI ya Dunia (WB), imekubali kuipatia Serikali ya Tanzania, kiasi cha Sh. 108 bilioni, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Kanda ya Kaskazini....

Habari MchanganyikoTangulizi

Bil 600 tozo ya simu kutumika hivi

  SERIKALI ya Tanzania, imesema zaidi ya Sh. 600 bilioni, zitakazotokana na kodi mpya ya mitandao ya simu, zitatumika katika utekelezaji miradi ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Serikali yatoa utaratibu kutoa maiti zenye madeni

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa utaratibu mpya wa kutoa maiti zinazodaiwa gharama za matibabu, hospitalini na kwamba kuanzia sasa kutakuwa na mfumo utakaowezesha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia awapa milion 10 wafanyakazi Dawasa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh.10 milioni kwa wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Aweso azipa siku 30 mamlaka za maji, aipongeza Dawasa

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, ametoa siku 30 kwa mamlaka zote za maji, kufanya ukaguzi kwa wateja wote wanaowahudumia ili kupata takwimu...

Habari Mchanganyiko

Tanzania kuzindua mfumo wa biashara, duka la kidigitali

  SERIKALI ya Tanzania, iko mbioni kuzindua nembo maalumu itakayotambulisha bidhaa zinazotengenezwa nchini, pamoja na mfumo wa kusambaza taarifa za biashara nchini humo....

Habari Mchanganyiko

Wenye maduka ya fedha wacharuka

  WAMILIKI wa maduka ya kubadilishia fedha ambao walikuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya Bunge kuhusu hatima ya mali na mabilioni ya fedha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mbunge CCM, mchumba ake kortini

  MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anatarajiwa kuburuzwa mahakamani kesho Jumanne, tarehe 6 Julai 2021, kufuatia kuibuka kwa mgogoro katika ndoa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Mabilioni yamwagwa taasisi za utafiti Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa taasisi mbalimbali zinazofanya utafiti katika...

Habari Mchanganyiko

Chanjo ya Covid-19 mbioni kuingia Tanzania, wananchi kuchanjwa bure

  SERIKALI ya Tanzania imesema imekamilisha muongozo wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene : Serikali imewadhibiti  majambazi 

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kudhibiti vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha ‘ujambazi’...

Habari Mchanganyiko

RC Mtaka: Napokea malalamiko 130 ya ardhi kila siku

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka amesema, kwa kipindi cha siku 30 alizoanza kufanya kazi katika ofisi hiyo, amekuwa akipokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapya yaibuka sakata la ndoa ya mbunge CCM

  MWANAMKE anayedai kuwa ni mchumba, aliyezaa na kuishi na mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anamtuhumu Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tuishi kwa kuacha alama

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kila mmoja kwenye nafasi yake, kuhakikisha anatumia muda alionao kufanya mambo yatakayoacha alama pindi...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Mhandisi Mfugale alifariki ghafla

  WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale (67), alifariki...

Habari Mchanganyiko

THRDC yaomba kamati ya kitaifa ya NGO’s

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iunde kamati ya kitaifa, kwa ajili ya kuratibu na kutangaza shughuli ...

Habari MchanganyikoTangulizi

THRDC yalia na changamoto za kodi, TRA yajibu

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iondoe changamoto za kikodi zinazokabili Asasi za Kiraia nchini (Azaki). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mhandisi Mfugale kuzikwa Julai 5 Iringa

  MWILI wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale, unatarajiwa kuzikwa Jumatatu ya tarehe 5 Julai 2021,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yataja sekta sita kinara utoaji ajira

  SERIKALI ya Tanzania imetaja sekta sita zilizo kipaumbele katika kutoa nafasi za ajira nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Kisa corona: Majaliwa atoa masharti saba, ndege kusitishwa

  KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, amebainisha mambo saba ambayo wananchi wanapaswa kuyazingatia ili kuchungua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya corona...

Habari Mchanganyiko

Joto kali lauwa watu 130 Canada

  WATU zaidi ya 130 wameripotiwa kufariki dunia nchini Canada, baada ya kuathiriwa na joto kali lililoikumba nchi hiyo tangu Jumatatu ya tarehe...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amlilia Mhandisi Mfugale

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...

AfyaHabari Mchanganyiko

IMF yaiahidi neema Tanzania

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Abebe Aemro Selassie kutoka Shirika la Fedha Duniani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mfugale wa Tanroads afariki dunia

  MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawanoa wanachama wake, yawapa masharti

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (THRDC), umefanya semina ya kuwajengea uwezo wanachama wake wapya 70. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Msigwa: Tutatoa leseni kwa magazeti yaliyofungiwa, Kubenea atoa neno

  MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....

Habari Mchanganyiko

Mama Salma Kikwete alilia maji jimboni mwake, waziri amjibu

  MBUNGE wa Mchinga mkoani Lindi (CCM), Mama Salma Kikwete,ameiomba Serikali ipeleke maji safi na salama kwa wananchi wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Mawio, MwanaHALISI, Mseto yapewe leseni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema magazeti yote yaliyofungiwa na kumaliza adhabu zao, wapewe leseni ili waendelee na majukumu yao. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tunawagonjwa wa corona zaidi 100

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, zaidi ya wagonjwa 100 wa maambukizi corona (COVID-19), wamebainika nchini humo na wanaendelea na matibabu....

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza: Ulimwengu umejaa unafiki, kujipendekeza

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amesema ulimwengu umejaa unafiki,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mamia wamuaga Padri Karugendo

  MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, LHRC zafurahia uongozi wa Rais Samia

  SIKU 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinaelezwa kutoa ahueni katika Mshirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) nchini humo....

Habari MchanganyikoTangulizi

Ndoa ya Mbunge, mtoto wa Mbunge yaingia mdudu

  NDOA ya Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava na mchumba wake, Caroline Pallangyo, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Arumeru Mashariki,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaongeza kasi mapambano ya mihadarati

  SERIKALI ya Tanzania, imeongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari Mchanganyiko

Zambia kuwakosesha ajira 30,000 Tanzania

  IWAPO Kanuni za Usafirishaji Mizigo Mizito na Kichele za nchini Zambia zitaanza kutumika, zaidi wa Watanzania 30,000 wana hatihati ya kukosa ajira....

Habari Mchanganyiko

TRA yaaanza mchakato somo la kodi lifundishwe shuleni

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wanafanya mazungumzo ya kuwezesha somo la ulipaji kodi...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aagiza mabaraza ya biashara yafufuliwe

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya, kufufua mabaraza ya biashara katika maeneo yao. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Farid: Nilitishwa

  SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa tahadhari wimbi la tatu la Covid-19

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...

error: Content is protected !!