ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Asembless Of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amekemea tabia ya mila za kudharau wanawake na kudhani...
By Mwandishi WetuApril 27, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza kampuni ya uchimbaji madini ya Tembo Nickel Corporation Ltd, kufanya upya tathimini ya fidia kwa wananchi wanaozunguka Mgodi...
By Mwandishi WetuApril 27, 2021JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, leo Jumanne, tarehe 27 Aprili 2021, amefikisha siku 40, tangu alipofariki dunia 17 Machi 2021....
By Regina MkondeApril 27, 2021JIBRIL Omar Hassan kutoka nchini Niger, ndio mshindi wa kwanza mashindano makubwa ya Qur’an Afrika 2021, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al – Hikma Foundation, Tanzania. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 25, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Manyara, inamshikilia Mwendesha Mashtaka wa mkoa huo, Wakili Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuApril 25, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amesema, zaidi ya watu 49, wanashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
By Hamisi MgutaApril 25, 2021KUFUATIA tishio la Kimbunga JOBO, Ofisi ya Waziri Mkuu imeeleza kusitisha usafiri wa anga, baharini na shughuli mbalimbali kando na ndani ya...
By Hamisi MgutaApril 25, 2021MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imeeleza kwamba, kasi ya kimbunga JOBO imeendelea kufifia katika muda wa saa sita zilizopita. Anaripoti...
By Hamisi MgutaApril 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. John Kedi Mduma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na...
By Hamisi MgutaApril 25, 2021MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kimbunga ‘JOBO’ kipo umbali wa kilomita 200 mashariki mwa kisiwa cha Mafia. Kimbunga hicho...
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2021MAHAMAT Idriss Déby Itno, ameapishwa kuwa rais mpya wa Jamhuri ya Chad. Amechukua nafasi ya baba yake, Idris Deby (68), aliyeuawa Jumanne...
By Hamisi MgutaApril 24, 2021DAKTARI Stergomena Tax, Agosti 2021, atamaliza muda wake wa utumishi wa miaka nane wa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
By Mwandishi WetuApril 23, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesisitiza ifikapo Desemba 2022, vijiji vyote vya Tanzania Bara, vitakuwa vimefikishiwa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 23, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), linalojiendesha kwa hasara kwa miaka mitano sasa, litafumuliwa na kukabidhiwa kwa watu wenye weledi wa kusimamia....
By Hamisi MgutaApril 22, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN),...
By Mwandishi WetuApril 21, 2021AKAUNTI za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), zilizofungwa Agosti 2020, zimefunguliwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 21, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kuhakikisha wanakamilisha kazi iliyosalia ya ujenzi wa nyumba...
By Hamisi MgutaApril 20, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekemea tabia ya wasanii kuvunja sharia hasa kusambaza picha za utupu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeApril 20, 2021JESHI la Polisi Tanzania, limeeleza kwamba lilimkamata mwigizaji Kajala na mwanaye Paulina kwa tuhuma za kusambaza picha za utupu za msanii wa...
By Mwandishi WetuApril 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Chaula baada ya...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, amesema wanaojadili kwamba Hayati John Magufuli alikuwa dikteta, wanachosha akili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya …...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kunyesha mvua kubwa kwa siku tano kuanzia leo Jumapili, tarehe 18 Aprili 2021, katika...
By Mwandishi WetuApril 18, 2021PETER Konki, Askofu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), amewataka wanasiasa nchini humo, kuacha kujipendekea kwa Rais Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuApril 18, 2021JOSEPH, Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli, amewashukuru Watanzania akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan kwa ushirikiano walioutoa...
By Mwandishi WetuApril 18, 2021VIJANA 854 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokiuka taratibu kwa kuanzisha mgomo na kufanya maandamano kwenda Ikulu kwa madai ya kutaka...
By Mwandishi WetuApril 18, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, ujuzi wa vijana utaangaliwa zaidi badala ya kuangalia viwango vya elimu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 17, 2021MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema, imemwachia kwa dhamana, aliyekuwa mkurugenzi mkuu...
By Mwandishi WetuApril 17, 2021DAKTARI Edward Hoseah, ameapishwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), akimrithi Dk. Rugemeleza Nshala, aliyemaliza muda wake. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeApril 17, 2021DAKTARI Rugemeleza Nshala, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika aliyemaliza muda wake, amemtaka mrithi wake, Dk. Edward Hoseah, ailinde heshima ya...
By Regina MkondeApril 17, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeishauri Serikali nchini humo na vyama vya siasa, kuiga mfano wa Chama cha...
By Regina MkondeApril 17, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amemshauri Rais Mteule wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, kuwaunganisha mawakili...
By Masalu ErastoApril 16, 2021DAKTARI Edward Hoseah, Rais Mteule wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema, uchaguzi wa nafasi hiyo ulikuwa na ushindani mkubwa na Watanzania,...
By Regina MkondeApril 16, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021, unaohusisha uchimbaji wa wazi na...
By Mwandishi WetuApril 16, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi, imeeleza kwamba itakaa meza moja na Wizara ya Madini pia Kampuni ya Barrick ili kujadili ujenzi wa Barabara...
By Danson KaijageApril 16, 2021WAKILI Flaviana Charles, mgombea pekee mwanamke kati ya watu watano waliojitosa kusaka kiti cha Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS),...
By Mwandishi WetuApril 15, 2021Serikali ya Tanzania imewaita mezani viongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa ajili ya kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya...
By Masalu ErastoApril 15, 2021RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) anayemaliza muda wake, Dk. Rugemeleza Nshala, amesema mgombea yeyote atayechaguliwa kuwa rais wa chama...
By Regina MkondeApril 15, 2021WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wamewachambua wagombea urais wa chama hicho kwa mwaka 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Arusha … (endelea)....
By Regina MkondeApril 15, 2021RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), anayemaliza muda wake, Dk. Lugemeleza Nshala amesema, uchaguzi wa viongozi wa chama hicho 2021,...
By Mwandishi WetuApril 14, 2021DAKTARI Edward Hoseah, Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema atashangaa wanachama wa chama hicho wasipomchagua, kwani anawafaa katika...
By Regina MkondeApril 14, 2021WAKATI baadhi ya wagombea wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wakijinadi kuthibiti mapato na matumizi kwenye chama hicho, Kaleb Gamaya ambaye...
By Regina MkondeApril 14, 2021UONGOZI wa Gazeti la Tanzania Daima, umefanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021KERO ya kujaa maji eneo la Jangwani, Dar es Salaam ambapo husababisha adha kubwa ya usafiri kwa wananchi, ipo mbioni ‘kutibiwa.’ Anaripoti...
By Regina MkondeApril 13, 2021INOCENT Bashungwa, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amewataka wanahabari kutulia wakati akifuatilia kitendo cha udhalilishaji kilichofanywa na Lusubilo Mwakabibi, Mkurugenzi...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021WAISLAM wenye madhehebu ya Answaar nchini Tanzania, wameanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan leo tarehe 13 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 13, 2021HALI mbaya ya hewa, wimbi la mkaundi ya nzige yaliyovamia nchi hiyo pamoja na mvua za kiwango cha chini, zimelifanya Taifa la Somali...
By Mwandishi WetuApril 12, 2021WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amekutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea kuzungumzia tasnia...
By Mwandishi WetuApril 10, 2021RIPOTI ya Haki za Binadamu Tanzania Bara (LHRC), kwa mwaka 2020 imeeleza, uhuru wa kujieleza umeendelea kuminywa kutokana na utungaji, marekebisho na...
By Mwandishi WetuApril 9, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kufanyia kazi uamuzi uliotolewa na mahakama za kitaifa...
By Regina MkondeApril 8, 2021BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kukataza ubabe katika kufungia vyombo vya habari. Anaripoti Yusuph Katimba,...
By Hamisi MgutaApril 8, 2021