MSANII wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa ‘C-Pwaa’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17 Januari 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). C-Pwaa...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki inayomiliki Chuo...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2021SERIKALI ya Tanzania, imekusudia kuwafungulia mashtaka ya uhujumu uchumu askari watatu wa Wanyama Pori kwenye Pori tengefu la Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tamisemi, David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Korona Jiji la Arusha, Kashinde Mandari kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Serikali inaendelea na mapamba dhidi ya wala rushwa na haitawaacha salama viongozi wala rushwa na mafisadi...
By Danson KaijageJanuary 15, 2021BENKI ya Dunia (WB), inatarajia kutoa kiasi cha Sh.3 bilioni kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa machinjio tatu za kisasa jijini Dodoma. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 14, 2021MAOFISA watatu wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha na wafanyabiashara watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa makosa sita ikiwemo...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , imesema itatumia mkopo wa dola milioni 425 (zaidi ya Sh.985.49 bilioni), kufanya...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2021MADEREVA na wamiliki wa Daladala, stendi ya Sabasaba jijini Dodoma, wamegoma kutoa huduma ya usafirishaji kwa madai eneo ni dogo, miundombinu mibovu licha...
By Danson KaijageJanuary 13, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefanya mabadiliko ya uongozi, sambamba na kuanzisha huduma inayotembea (Mobile PCCB), kwa ajili ya...
By Regina MkondeJanuary 13, 2021WATUMISHI 23 wa Kitengo cha Famasia cha Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa...
By Masalu ErastoJanuary 13, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Geofrey Mwambe amesema, kupanda kwa bei ya mafuta ya kula, kumesababishwa na mfumuko wa bei ya...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021MKUU wa Mkoa wa Shinyanga (RC), Zainab Telack, ameagiza maafisa kilimo mkoani humo, kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi gharani kwa wakulima wa...
By Danson KaijageJanuary 12, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limemtimua kazi ofisa wake kwa kukutwa na bangi, gongo, viroba pamoja na kujiunganishia umeme kinyume cha utaratibu. Anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021MBUNGE wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), kukamilisha kazi ya kufikisha maji...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania imesema, ipo tayari kupokea malalamiko ya wananchi ambao hawapatiwi huduma wanazostahili. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021WAFUASI wa Donald Trump, Rais wa Marekani wamevamia bunge la nchi hiyo, jijini Washington wakitaka rais huyo kubaki madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imechukua miradi ya kijamii 22 iliyokua chini ya halmashauri ya Temeke...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua rasmi safari ya meli mpya ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (Dawasa), imetangaza upungufu wa huduma ya maji kwa baadhi ya wananchi wa Jiji...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2021MWILI wa Rosemary, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere utazikwa Jumatano hii ya tarehe 6 Januari 2021, makaburi ya Kituo cha...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji nchini Tanzania, Mhandisi Nadhifa Kemikimba, ametoa siku 60 kwa mkandarasi SUMA JKT anayejenga tanki la maji eneo...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 85.5, waliopona milioni 60.4 na waliopoteza maisha milioni 1.8. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021WATU watatu, wamefariki dunia na wengine 66, kujeruhiwa katika ajali ya treni iliotokea jana Jumamosi jioni tarehe 02 Januari 2021, maeneo ya Kigwe...
By Danson KaijageJanuary 3, 2021ROSEMARY Julius Nyerere, mtoto wa saba wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais wa Kwanza Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021VIDEO iliyowekwa na Chuo cha Darul Uloom Haqqania, Pakistan kwenye mitandao ya kijamii ikiwasifu wanamgambo wa Taleban, imeitia hasira Serikali ya Pakistan. Anaandika...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021BABA Mtakatifu Francisko, ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania, Telesphor Mkude la kung’atuka madarakani. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama) nchini Tanzania, Dk. Faustine Ndugulile, ameipa miezi mitatu (siku 90), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WATU wanaomiliki ardhi mijini, mashambani na vijijini, wametakiwa kulipa kodi ya ardhi kabla ya Januari 2021, vinginevyo watafikishwa kortini. Anaripoti Regina mkonde, Dar...
By Regina MkondeDecember 27, 2020KRYSTYNA Marty, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali Uswizi amefanya mazungumzo na Qin Gang, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China kuhusu mahusiano...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza utoaji wa majibu ya vipimo vya ugonjwa wa corona ndani ya saa 24 badala ya saa 72. Anaandika Regina...
By Regina MkondeDecember 26, 2020MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mwanza, imewahukumu kunyongwa hadi kufa, kwa washitakiwa wanne waliotuhumiwa na Jamhuri, kumuua kwa makusudi, Alphonce Mawazo. Anaripoti Faki Sosi,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020KATIKA juhudi za kudhibiti kukua kwa ushawishi wa China katika Pwani ya Kusini mwa nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Japan, Yoshihidi Suga na mshirika...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020WIZARA ya Katiba na Sheria Tanzania, imemuomba Rais John Magufuli aongeze idadi ya majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, ili kuimarisha mfumo...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuchunguza madai ya wananchi kuhusu wizi wa data na vifurushi, unaodaiwa kufanywa na baadhi...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam imetaifa madini yenye gramu zaidi ya 800 ya mfanyabiashara Haji Hassan (52) na Jamas...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam, imeiamuru Kampuni ya Mwasiliano ya Halotel Tanzania, kulipa fidia Sh. 42 Bilioni. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...
By Hamisi MgutaDecember 23, 2020SERIKALI inatarajia kujenga shule mpya za Sekondari 1,000, kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), ili kuondoa changamoto ya upungufu wa madarasa...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (Salander), lililoko jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020KAULI ya Mohamed Salah, mshambuliaji wa Klabu ya Liverpool kwamba, alifedheheshwa kwa kutopewa nafasi ya unahodha wakati wa mechi yao na Midtjylland, Klabu Bingwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020VIONGOZI wa vituo vya huduma za afya vya umma, wametakiwa kuchukua tahadhari ya matumizi ya fedha kulingana na bajeti ya serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2020ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amstukiza mkandarasi wa ujenzi wa Soko la Tandale ili kujiridhisha kama ametekeleza maagizo ya...
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020WATU 41 wakiwemo wanafunzi 32 na walimu wawili, wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya shule...
By Regina MkondeDecember 21, 2020MATUKIO ya mauaji yanayotokana na wivu wa mapenzi, yameongoza katika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar Es Salaam…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe...
By Regina MkondeDecember 21, 2020MAHAKAMA ya Rufani nchini, imezuia utekelezaji wa hukumu ya kunyongwa hadi kufa, iliyokuwa imetolewa kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Kibeta, iliyopo wilayani...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020CHANZO cha kifo cha Antony Banzi, aliyekuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga kimetejwa kuwa ni ugonjwa wa koo. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020PROFESA Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, ameahidi kuwachukulia hatua mawakili wanaopotosha maamuzi ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeDecember 21, 2020ORODHA ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Tanzania Bara kwa mwaka 2021 yametangazwa. Anaripoti Mwaindishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020SERIKALI ya Rwanda imeridhishwa na utoaji huduma katika Bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania na kuahidi kuendelea kuitumia bandari hiyo ambayo imekuwa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020