MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Jamhuri William ametoa wito kwa wadau waliopo mkoani humo na halmashauri ya wilaya ya Mufindi kuendelea...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewafikisha Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam watuhumiwa watatu kati ya wanne...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya wa Wizara ya Afya, Dk. Jamala Adam Taib na...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020WAHAMIAJI haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini Tanzania kinyume na taratibu, wamekamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu Wahamiaji hoa wamekamatwa na vyombo...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020, ataweka wazi sura ya baraza lake jipya la mawaziri. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020MAXENCE Melo, Mkurugenzi wa Mtandao wa Jamii Forums, amehukumiwa kutotenda kosa la kuzuia Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wao kwa mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020SOULEYMAN Keita, kiongozi wa kundi la waasi la Ansar Dine la Iyad Ag Ghali nchini Mali na wenzake 18, mwishoni mwa wiki wamehukumiwa kifo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020WATU tisa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa madai ya kuhusika katika mauaji ya Fatuma Ngozi, aliyekuwa diwani mteule wa Kata...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima afya zao mara kwa mara ili kudhibiti magonjwa mbalimbali ikiwemo kisukari ambao hadi sasa umeathiri zaidi ya watu milioni...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimelaani matukio ya ukatili wa kijinsia yanayoendelea nchini huku kikiitaka Serikali na wananchi kutafuta mwarobaini wa changamoto...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020MWILI wa waziri wa zamani wa Serikali ya Tanzania, Dk. Cyril Chami utazikwa Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 kijijini kwao Kibosho, Moshi Mkoa...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2020WAKAZI wa Mji wa Geita wanafurahia kuwa sehemu ya mradi wa bustani ya kupumzikia inayoanza kujengwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...
By Hamisi MgutaNovember 5, 2020MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza ongezeko la bei ya rejareja ya petroli kwa Sh.25 na Sh.12...
By Regina MkondeNovember 4, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi namba 458 ya mwaka 2016 inayomkabili Mkurugenzi wa Jamii...
By Faki SosiOctober 30, 2020IMEELEZWA kuwa mabadiliko ya kimaisha na kiuchumi ya wakazi na mkoa wa Singida hayatokani na kilimo cha zao la alizeti pekee bali yapo...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2020KUELEKEA uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imendesha semina kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2020NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Allan Kijazi ameutaka uongozi wa mkoa wa Lindi, wilaya Kilwa na vijiji vyake,...
By Christina HauleOctober 26, 2020MWILI wa Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elisha Elia (39), umeangwa jijini Dar es Salaam kisha kusafirishwa kwenda Tukuyu...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2020MWANDISHI wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elisha Elia amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Masalu ErastoOctober 24, 2020TUME ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Kanda ya Dar es Salaam- Temeke imeiamuru kampuni ya Quality Group Limited kuwalipa waandishi wake wa habari...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2020WAKAZI wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani, wametakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaOctober 15, 2020WATU 12 wamefariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha tarehe 13 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Kelvin MwaipunguOctober 15, 2020NAIBU Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo, maafisa ugani na watafiti kuendelea kujipanga kimkakati kutoa elimu ya matumizi sahihi...
By Christina HauleOctober 14, 2020MKURUGENZI wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor, ameiomba Ofisi ya Mkurugenzi...
By Faki SosiOctober 12, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka watoto kuvunja ukimya na kupaza sauti mara tu waonapo dalili za kufanyiwa ukatili ili kuwawezesha kufikia...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2020KIKOSI dhidi ujangili kutoka Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) kimefanikiwa kumdhibiti fisi aliyemuua mtoto Kwangu Makanda (11) na kujeruhi watu wawili katika...
By Christina HauleOctober 7, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefuta maboresho yaliyotangazwa na wizara ya elimu nchini humo ya mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2020WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imeufuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi na...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2020MAGARI matatu likiwemo la abiria (daladala) yamegongana katika taa za barabara eneo la Serengeti – Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo...
By Hamisi MgutaOctober 5, 2020MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC),Aboubakar Kunenge amezindua safari ya kwanza ya treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda Mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020CHAMA cha Wanahabri Wanawake Tanzania (Tamwa) kimezindua mradi wa ‘rushwa ya ngono miongoni wanahabari wanawake katika vyombo vya habari’ kwa kuangalia tatizo hilo...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020LOATA Ole Sanare, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amewataka wazazi kufanyia kazi kwa vitendo maazimio mbalimbali yanayotolewa katika vikao vya kamati za shule...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimeanza utekelezaji wa mradi wa ‘Wanawake Wanaweza’ uliofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wanawake (UN-Women)....
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission kutoka nchini Australia wametoa msaada wa gari la wagonjwa lenye...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020WIZARA ya Maliasili na Utalii imepunguza bei za wanyama wa mbegu kwa asilimia 90 ili wananchi waweze kumudu gharama za ufugaji wanyamapori katika...
By Christina HauleSeptember 25, 2020HELLEN Kijo-Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), amewashauri wadau wa Tasnia ya Sheria kupaza sauti...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020FATMA Karume, mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania amesema, hajazaliwa kwa ajili ya kufanya kazi mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020WANAWAKE wametakiwa kusaidiana katika mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 23 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020SHIRIKA la linalojishughulisha na Kulinda na Kutetea Haki za Wanawake Tanzania (TASUWORI), limeeleza kuwa tayari kuunganisha vijana 300 kutoka kwenye vikundi tisa vinavyofanya...
By Christina HauleSeptember 23, 2020ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), amewahakikishia walimu kuwa Serikali inaendelea kulipa malimbikizo yote wanayodai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2020FATMA Karume, mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amefukuzwa katika Kampuni ya Uanasheria ya IMMMA aliyoshiriki kuianzisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2020KRZYSZTOF Buzalski, Balozi wa Poland nchini Tanzania ameungana na wadau wa masuala ya usafi, kusafisha ufukwe wa Kawe jijini Dar es Dalaam. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2020SERIKALI ya Tanzania, imetumia zaidi ya Sh.60 bilioni kugharamia miradi ya mbalimbali ya maendeleo Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewasomea mashtaka watu wawili kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni kutoka Mamlaka...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2020MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifo, watu watano waliopatikana na hatia ya kumuuwa kwa makusudi, Dk. Sengodo Mvungi,...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2020MAONYESHO ya tatu ya teknolojia za uchimbaji madini mkoani Geita yanayofanyika kati ya tarehe 17 hadi 27 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2020JEROME Luanda, Msaidizi wa Bernard Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo anashikiliwa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
By Regina MkondeSeptember 17, 2020KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dk. Zainabu Chaula amesema, jitihaza zinapaswa kufanyika ili kuhakikisha kujifunza maarafi na ujuzi wa kisasa...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2020