MENEJA Mkuu wa Kampuni ya Chef Asili Co.LTD mkoani Dodoma Lupyana Chengula, amesema kuwa ili wajasiriamali waweze kufanikiwa kwenye fursa zao za biashara...
By Danson KaijageNovember 17, 2017WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, imewaomba wataalamu wa masomo ya kompyuta kuzingatia mafunzo wanayofundishwa ya mafunzo ya makosa ya mtandao, itasaidia kuondoa...
By Bupe MwakitelekoNovember 15, 2017WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia, imeipiga marufuku Taasisi ya Haki za Binadamu kufanya utafiti wa unyanyasaji watumishi wa ndani wa kitanzania wanaofanya...
By Bupe MwakitelekoNovember 14, 2017MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa...
By Masalu ErastoNovember 14, 2017KAIMU Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Benedict Kitalika amesema jeshi la polisi linaendelea kummshikilia Dk. Louis Shika kwa kuwa...
By Bupe MwakitelekoNovember 13, 2017BAADA ya kudumu kwa mgogoro wa Ardhi kwa muda mrefu katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kati ya wafugaji na hifadhi,...
By Masalu ErastoNovember 12, 2017WANANACHI wametakiwa kuhudhuria semina zinahusua uwekezaji wa hisa ili wapate elimu itakayowasaidia kupata ufahamu kwa undani kuhusu biashara hiyo endelevu, anaandika Angel Willium....
By Bupe MwakitelekoNovember 10, 2017WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia imeahidi kutumia tafiti zinazofanywa na wanafunzi wazawa ili kugundua matatizo ya wananchi na njia za kuweza kuyatatua,...
By Bupe MwakitelekoNovember 8, 2017TAASISI ya Maendeleo ya Binadamu ya Chuo Kikuu cha Aga Khani, imewaomba wadau mbalimbali kufunya uwekezaji wa muda mrefu kwa watoto wa chini...
By Bupe MwakitelekoNovember 7, 2017UMOJA wa Ulaya (EU), umetoa msaada wa Euro Milioni 50 ambazo ni sawa na takribani Sh. bilioni 130 kwa ajili ya miradi ya...
By Masalu ErastoNovember 2, 2017BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limepaza sauti na kusema kuwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita hofu kwa waandishi wa habari na tasnia...
By Faki SosiNovember 2, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imepokea hati ya upekuzi wa nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu anayekabiliwa na tuhuma za...
By Faki SosiNovember 1, 2017WAFANYABIASHAFA wakubwa nchini, wamejipanga kuendelea kujenga viwanda vikubwa na vidogo katika maeneo mbalimbali nchi ili kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa...
By Moses MsetiNovember 1, 2017VYAMA vya wakandarasi vya Contractors Association of Tanzania, Tanzania Civic Engineering Contractors na Association of Citizen Contractors, wameiomba serikali iendelee kutoa fursa za...
By Bupe MwakitelekoOctober 31, 2017TAASISI ya Utamaduni wa Ngoma za Asili ( Tulia Traditonal Dances) imewaomba wadau mbalimbali waliosaidia kufanikisha tamasha lao kufanya hivyo tena kwa mwaka...
By Bupe MwakitelekoOctober 30, 2017RAIS John Magufuli ameagiza zitolewa Shilingi bilioni tisa kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Jiji la Mwanza, anaandika Moses Mseti....
By Moses MsetiOctober 30, 2017HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imeombwa kuweka wazi na kuanza mapema ujenzi wa soko kuu jipya la kisasa, anaandika Christina Haule. Soko hilo...
By Christina HauleOctober 30, 2017MWENYEKITI wa Kamati ya Mipango Miji katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo ameiomba iundwe kamati maalum kwa...
By Christina HauleOctober 30, 2017TUME y a Haki za Binadamu na Utawala Bora Nchini, imelionya Jeshi la Polisi na kulitaka kuagiza askari wa jeshi hilo kurudisha mali...
By Bupe MwakitelekoOctober 27, 2017MAWASILIANO ya barabara kati ya jiji la Dar es Salaam na mikoani imerejea leo baada ya magari kuanza kupita katika daraja la Kiluvya...
By Masalu ErastoOctober 27, 2017WAZIRI wa Nishati na Madini, Merdad Karemani amemtoa ‘kafara’ meneja uendeshaji wa mtambo wa kufua umeme wa Kidatu mkoani Morogoro kufuatia nchi kuingia...
By Hamisi MgutaOctober 26, 2017MVUA zinazoendelea kunyesha kuanzia jana mchana zimeanza kuleta madhara baada ya daraja la Kiluvya linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kukatika....
By Hamisi MgutaOctober 26, 2017WAZEE wa Baraza la Mahakama Kuu ya Tanzania wametoa maoni yao yanayotarajiwa kutoa tawsira ya hukumu ya kesi ya msanii wa maigizo Elizabeth...
By Faki SosiOctober 26, 2017MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepokea ushahidi wa mganga wa tiba mbadala Josephine Mushumbusi aliyekuwa akimtibu Steven Kanumba matatizo ya moyo,...
By Faki SosiOctober 25, 2017JINAMIZI la kisiasa limezidi kumkalia kooni mwenyekiti wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Antony Diallo baada ya kuibuka tuhuma...
By Moses MsetiOctober 25, 2017Na Saed Kubenea DK. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa amri ya kuzuia uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, kwa...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2017UHURU wa vyombo vya habari hapa nchini umezidi kuingia matatani baada ya leo serikali kulifungia gazeti la kila siku la Tanzania Daima kwa...
By Faki SosiOctober 24, 2017JESHI la Polisi Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kufanya msako kuwasaka watu waliofanya mauaji ya askari polisi aliyeokotwa juzi akiwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 24, 2017MKUU wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua askari wanaodaiwa kuwapiga wananchi katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es...
By Hamisi MgutaOctober 24, 2017MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka askari aliyerekodi ushahidi wa Josephine Mushumbusi kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Elizabeth Michael...
By Faki SosiOctober 24, 2017MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika...
By Faki SosiOctober 23, 2017MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael...
By Faki SosiOctober 20, 2017WAFANYABIASHARA wa soko la kuku mkoani Singida wameiomba Serikali kuangalia na kuboresha upatikanaji wa masoko ya uhakika hapa nchini, anaandika Christina Haule. Ombi...
By Christina HauleOctober 20, 2017OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba amewaomba Watanzania kutumia kampuni hiyo kwa mawasiliano kwa kuwa hivi sasa huduma...
By Bupe MwakitelekoOctober 20, 2017MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth...
By Faki SosiOctober 19, 2017WAJAWAZITO nchini wametakiwa kuwa na utamaduni wa kupima afya zao na kuhakikisha wanapata chanjo ya ugonjwa wa malaria ili kujikinga wao pamoja na...
By Moses MsetiOctober 19, 2017SERIKALI ya Jamhuri ya Ireland kupitia Shirika la Maendeleo nchini humo (IrishAid), limetoa msaada msaada wa Euro 350,000 sawa na Sh. milioni 750...
By Moses MsetiOctober 18, 2017WATU wenye ulemavu nchini wameiomba serikali na taasisi mbalimbali binafsi kuwasaidia eneo la kujenga ofisi ya kudumu. Anaandika Angela Willium Wamesema wanahitaji ofisi kwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 17, 2017HALI ngumu ya kiuchumi imesababisha ukubwa wa mtaji wa kampuni kubwa zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kushuka kutoka...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017DUKA kubwa (Supermarket) la Nakumatt lililopo jijini Dar es salaam, limelifungia, baada ya kukosa bidhaa za kutosha kwa muda mrefu pamoja na kudaiwa...
By Bupe MwakitelekoOctober 16, 2017HATIMAYE mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Anaandika Faki Sosi....
By Faki SosiOctober 13, 2017RAIA wa Denmark Ricki Thomson (49), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kosa ka kukutwa fuvu...
By Faki SosiOctober 13, 2017KWA takribani miezi 23 tangu Rais John Magufuli aingie Ikulu, Mapato ya serikali kwa mwezi yameshuka kutoka trilioni 1.4 Desemba 2015 hadi kufikia...
By Bupe MwakitelekoOctober 10, 2017WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na huduma za benki ili kuwawezesha kupata mikopo ambayo itawasaidia kufanya shughuli za ujasiliamali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi, anaandika...
By Moses MsetiOctober 10, 2017JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa kuhusiana na vifo vya watu 10 vinavyodaiwa kutokana na unywaji wa gongo,...
By Charles WilliamOctober 5, 2017CHAMA cha wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania (TAS) kimemuomba Rais Dk. John Magufuli kutoa tamko la kukemea vikali vitendo vya ukatili kwa watu...
By Christina HauleOctober 5, 2017WATUMISHI wa umma pamoja na wananchi katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wameiomba serikali na mashirika yanayotoa huduma za jamii kusogeza huduma zake...
By Moses MsetiOctober 5, 2017WAFUGAJI katika wilaya ya Mvomero Mkoani hapa wametakiwa kufuata maelekezo wanayopewa na maofisa kilimo na mifugo juu ya ufugaji wa kisasa ili kupunguza...
By Christina HauleOctober 5, 2017WATU watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo la dawa ya kuleya aina ya bangi, anaandika Christina Haule....
By Christina HauleOctober 4, 2017JESHI la polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumkata mkono mlemavu wa ngozi /albino katika kijiji cha Nyarutanga kata...
By Christina HauleOctober 4, 2017