HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Nishati safi ya kupikia yapigiwa chapuo Jumuiya ya Madola October 23, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, ametoa rai kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola, kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya nishati…
HABARI MCHANGANYIKO Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumaliza kero ya foleni Dar October 22, 2024 Erasto Masalu SERIKALI inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya Shilingi trilioni 2.7) kujenga barabara zenye…
HABARI MCHANGANYIKO Samia Love ilivyokusanya, kuonyesha fursa kwa vijana Mbeya October 20, 2024 Erasto Masalu Swali la umeifanyia nini Tanzania ndilo lililobeba ajenda kuu katika baraza la vijana la Samia Love lililofanyika jijini Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Baraza hilo, lililokutanisha mamia ya…
HABARI MCHANGANYIKO Gambo alia na soko la Tanzanite, amuomba Rais Samia aingilie kati October 18, 2024 Erasto Masalu MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Gambo, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati suala la biashara ya madini ya Tanzanite kwa kuyaruhusu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Serikali, TLS yaivalia njuga vita ya ukatilii wa jinsia October 18, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imesema ili kukomesha ukatili wa jinsia na kwa watoto, itaendelea kushirikiana na jamii ili kufichua matukio hayo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Naibu Katibu Mkuu Wizara…
HABARI MCHANGANYIKO CP Wakulyamba aibukia Simiyu, atoa wito kwa wananchi October 18, 2024 Erasto Masalu WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda maeneo yanayohifadhiwa kisheria pamoja na kuhakikisha udhibiti wa Wanyamapori hao unafanyika kwa njia mbalimbali ikiwemo…
HABARI MCHANGANYIKO Kamati Tendaji ya SOFF yakutana kuidhinisha mpango kazi ya kutekeleza miradi Tanzania October 16, 2024 Erasto Masalu KAMATI Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza katika ukumbi wa hoteli ya Morena,…
HABARI MCHANGANYIKO TRA yazindua ofisi ya walipa kodi binafsi October 15, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA) imezindua ofisi ya walipa kodi binafsi na wenye hadhi ya juu 158 ilikuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kamishina…
HABARI MCHANGANYIKO Mwenge wa uhuru wazindua mradi wa maji Kahangara -Magu October 12, 2024 Erasto Masalu MWENGE wa Uhuru leo Jumamosi umezindua mradi wa maji Kahangara wilayani Magu uliokarabatiwa kwa thamani ya Sh milioni 508.3 huku ukitarajiwa kunufaisha wakazi 6,445 wa kata ya Kahangara. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO DC: Ilala hali ni shwari uandikishaji October 12, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijijni na Vitongoji wilayani humo, linaendelea vizuri na idadi…