HABARI MCHANGANYIKO AZAKI zataja sifa 10 za viongozi wa kuchaguliwa October 12, 2024 Erasto Masalu ILANI ya asasi za kiraia (AZAKI), imetaja sifa 10 za kiongozi anayeweza kuisaidia nchi kimaendeleo, ikiwamo anayesimamia na kuheshimu Katiba, kulinda haki za binadamu na kuliunganisha taifa. Anaripoti Restuta James,…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Chalamila aipongeza Puma kupunguza matumizi ya nishati chafu Dar October 11, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uamuzi wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania kutoa mitungi 1,000 ya gesi katika mkoa huo kwa ajili ya kuwapatia Mama…
HABARI MCHANGANYIKO Wapelelezi wa mikoa wajifungia kujadili uchaguzi October 11, 2024 Erasto Masalu WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa (RCOs), wamejifungia jijini Dodoma kujadili na kujikumbusha wajibu wao katika kuihudumia jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Hayo yameelezwa leo tarehe…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Mwinyi afungua S!te 2024, ampongeza Rais Samia ongezeko la watalii October 11, 2024 Erasto Masalu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa jitihada kubwa za kuongeza mapato yatokanayo na sekta ya utalii…
HABARI MCHANGANYIKO Waratibu mikopo ya 10% halmashauri Magu wapatiwa mafunzo October 10, 2024 Erasto Masalu JUMLA ya makatibu 25 wa kamati za huduma ya mikopo ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu pamoja na maofisa maendeleo ya jamii 10 ngazi ya wilaya, wamepatiwa…
HABARI MCHANGANYIKO Walioua kwa deni la 300,000/- watiwa mbaroni October 9, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya Juma Saidi Mfaume (40), mkazi wa Mbagala, Mlandizi kisa deni la shilingi 300,000. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO Msajili awanoa wakuu wa taasisi za umma October 8, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imetoa maagizo tisa kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TPA yaahidi kuongeza ufanisi katika bandari zake October 7, 2024 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Boni Yai aruka kihunzi, asema ameshuhudia mengi gerezani October 7, 2024 Erasto Masalu BAADA ya kusota gerezani siku 19 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ hatimaye amepata dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za wateja wake October 7, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa…