HABARI MCHANGANYIKO Majaliwa aipongeza DAWASA kuchagiza matumizi nishati safi October 7, 2024 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi…
HABARI MCHANGANYIKO Tanzania mwenyeji wa mkutano wa mafunzo ya uangazi wa Hali ya Hewa Duniani October 7, 2024 Erasto Masalu TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Mafunzo ya WMO kwa wataalamu wa…
HABARI MCHANGANYIKO NSSF yatumia fursa ya Maonesho ya Madini Geita kutoa elimu ya Hifadhi ya Jamii October 7, 2024 Erasto Masalu MAONYESHO ya Saba ya Teknolojia ya Madini yamefunguliwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ambapo Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) unatumia…
HABARI MCHANGANYIKO Magu washiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mwanza October 6, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari leo tarehe 6 Oktoba, 2024 amewaongoza viongozi na watumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo kuupokea Mwenge wa Uhuru ambao umetokea mkoani Geita na…
HABARI MCHANGANYIKO Wanaomiliki silaha kinyemela waitwa polisi October 4, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi nchini, limewataka wamiliki wa silaha kinyume cha sheria, kuzisalimisha kabla ya tarehe 31 Oktoba 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya Msemaji wa…
HABARI MCHANGANYIKO DC Magu awafunda wenyeviti vijiji, vitongoji kuelekea uchaguzi serikali za mitaa October 4, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Joshua Nassari amewataka wenyeviti na vitongoji na vijiji katika wilaya hiyo kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa amani, utulivu na kudumisha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TEF yataka mazungumzo ya serikali, Mwananchi Communications October 3, 2024 Erasto Masalu JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali na kampuni ya Mwananchi Communications, wakae meza moja, ili kufungua leseni za maudhui mtandaoni, ziliyositishwa kwa siku 30 kuanzia jana. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO Halmashauri Magu, GPN kutengeneza viungo bandia kwa gharama nafuu October 2, 2024 Erasto Masalu HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Peace Network (GPN) pamoja na Tanzania Home Economics Organization- TAHEA), inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa utengenezaji wa…
HABARI MCHANGANYIKO TRA yavunja rekodi ikikusanya trilioni 3.1/= Septemba October 2, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya Sh. 3.1 trilioni mwezi Septemba, ikivunja rekodi yake ya makusanyo kwa mara ya kwanza kufikia kiasi hicho cha fedha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Kabendera kukata rufaa kesi yake dhidi ya Vodacom October 1, 2024 Erasto Masalu MWANDISHI wa Habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, amesema anakusudia kukata rufaa katika Mahakama ya Rufaa nchini kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam, ambayo…