HABARI MCHANGANYIKO Ulinzi mkali kesi ya ‘Boni Yai’ October 1, 2024 Erasto Masalu Askari Magereza wameweka ulinzi mkali kumlinda Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo (CHADEMA), Boniface Jacob ‘Boni Yai’, anayekabiliwa na mashtaka mawili, katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Anaripoti Faki…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi wakamata shehena ya mafuta ya kula baharini October 1, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi, Kikosi cha Wanamaji Dar es Salaam, limekamata mafuta ya kula lita 20,400 na watuhumiwa 11, waliokuwa wanayasafirisha kwa njia za magendo kutoka bandari bubu ya Zanzibar kuelekea…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Spika Tulia, Oryx wahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia Mbeya October 1, 2024 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Dk. Tulia Ackson amehamasisha Mama lishe na wananchi kutumia nishati safi ya gesi ili kutunza mazingira na kuokoa muda…
HABARI MCHANGANYIKO Masauni ataka magereza kuchangamkia kilimo September 30, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amehimiza maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi katika Jeshi la Magereza nchini, ili kuliongezea uwezo wa uzalishaji wa mazao ya kilimo,…
HABARI MCHANGANYIKO Kitabu cha maisha ya JK chaanza kuandikwa September 30, 2024 Erasto Masalu MTENDAJI Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Institute, Kadari Singo, amesema wameanza mchakato wa kuandika vitabu viwili, cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashid…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Familia: Ndoto ya miaka 40 kuandika kitabu cha Sokoine imetimia September 30, 2024 Erasto Masalu FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Sokoine, imesema imetamani kuandika kitabu cha historia ya kiongozi huyo kwa zaidi ya miaka 30. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mbivu, mbichi waliotumwa na afande ni leo September 30, 2024 Erasto Masalu HUKUMU ya kesi ya jinai ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es saalam (jina limehifadhiwa), inatarajiwa kutolewa leo katika…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yatangaza neema kwa wakulima September 28, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza neema kwa wakulima, akiielekeza Wizara ya Kilimo, kuanzia msimu ujao wa mavuno, kuwalipa wakulima moja kwa moja na vyama vikuu vya ushirika badala ya utaratibu…
HABARI MCHANGANYIKO Wataalamu waja na teknolojia mpya mbegu za mihogo, viazi September 28, 2024 Erasto Masalu WATAFITI wa kilimo wamejipanga kuzalisha mbegu za muhogo na viazi vitamu, nchini kwa njia ya haraka kwa kutumia teknolojia ya kitalu tanulu (Tunnel system). Watafiti hao ni wa Taasisi ya…
HABARI MCHANGANYIKO Mwanafunzi ahukumiwa viboko 12, fidia laki tano kwa kubaka na kulawiti September 27, 2024 Erasto Masalu MWANAFUNZI Hija Hamis Msumi (16), anayesoma kidato cha tatu na mkazi wa Nyanjati, Rufiji, amehukumiwa kuchapwa viboko 12 na kulipa Sh. 500,000 kama fidia, baada ya kutiwa hatiani kwa kumbaka…