HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA SIASA TANGULIZI Serikali yakana wagonjwa kubebwa kwenye matenga Tunduru September 27, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amekanusha wagonjwa kusafirishwa kwa pikipiki wakiwa wamewekwa kwenye matenga kupelekwa hospitali, wilayani Tunduru. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO Mwalimu matatani madai ya kuua mwanafunzi September 26, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Adrian Tinchwa (36), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa na Mkazi wa Kanoni, wilayani Karagwe, mkoani humo kwa tuhuma za kumshambulia na…
HABARI MCHANGANYIKO Hakimu, wakili wa serikali waja juu wakili Chuwa kuchelewesha kesi September 26, 2024 Erasto Masalu HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Aaron Lyamuya, ameelezea kukerwa na tabia ya wakili wa utetezi kwenye kesi ya jinai, Edward Chuwa kutaka kesi…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Biteko aliomba kanisa ulinzi wa amani September 26, 2024 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amelitaka kanisa kulinda amani nchini, huku akiwahimiza viongozi wa dini kusimamia misingi ya malezi na makuzi ya kwa watoto, ili…
HABARI MCHANGANYIKO JKT yawatangazia vijana nafasi za mafunzo ya kujitolea September 25, 2024 Erasto Masalu JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetoa wito kwa vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani kuomba nafasi za kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kujitolea katika…
HABARI MCHANGANYIKO PPAA yatathmini moduli ya kuwasilisha malalamiko/rufaa kielektroniki September 24, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeanza kufanya tahmini ya kutumia Moduli ya kupokea na kuwasilisha malalamiko na rufaa kieletroniki katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma Kieletroniki (NeST).…
HABARI MCHANGANYIKO Kalungwana kortini kwa wizi wa Mita za DAWASA September 24, 2024 Erasto Masalu EMMANUEL Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)…
HABARI MCHANGANYIKO TEMESA kushirikiana na sekta binafsi uendeshaji wa karakana, vivuko September 24, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Ufundi na Umeme wa Tanzania (TEMESA) imepanga kuendesha vivuko, karakana na mitambo ya kukodishwa kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, ubunifu,…
HABARI MCHANGANYIKO TPA: Ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay kuleta ajira, kukuza uchumi September 24, 2024 Erasto Masalu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi mkubwa wa kimkakati ambao…
HABARI MCHANGANYIKO Viongozi wa kimila 103 wapewa mafunzo kuhusu mradi wa EACOP September 24, 2024 Erasto Masalu JUMLA ya viongozi wa kimila 103 kutoka makundi ya watu wa asili (VEG-IP) wanaopitiwa na Mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wamenolewa na…