HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia aanza ziara Ruvuma leo September 23, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu anaanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma Jumatatu ambayo ataihitimisha siku ya tarehe 28 mwezi huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruvuma … (endelea). Mkuu wa Mkoa…
HABARI MCHANGANYIKO Wananchi Ngombo wilayani Malinyi waiangukia serikali isiwaondoe September 23, 2024 Erasto Masalu WANANACHI wa Kijiji cha Ngombo katiika Kata ya Biro wilayani Malinyi mkoa wa Morogoro wameiomba serikali kufikiria upya uamuzi wake wa kutaka kuwahamisha katika kijiji chao cha asili ambacho wamekuwepo…
HABARI MCHANGANYIKO Machifu wampongeza Rais Samia kwa kuenzi utamaduni September 22, 2024 Erasto Masalu VIONGOZI wa Kimila kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Tamasha la Utamaduni la Kitaifa pamoja na kuongeza thamani ya viongozi wa mila iliyoonekana kushuka kwa…
HABARI MCHANGANYIKO Mkotya awa Mwenyekiti Mgombezi Amcos September 21, 2024 Erasto Masalu WAKULIMA wa Chama cha ushirika cha msingi cha wakulima wadogo wa mkonge (Amcos), Mgombezi, wamemchagua mwanahabari Khamis Mkotya kuwa Mwenyekiti. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga … (endelea). Uchaguzi huo umefanyika leo…
HABARI MCHANGANYIKO Maonyesho ya viwanda vidogo kufanyika Dodoma September 21, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imewaalika wananchi na wadau mbalimbali kuhudhuria mkutano wa kukusanya maoni kuhusu Sera mpya ya biashara ndogo ndogo (SMEs) utakaofanyika mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yalisemwa…
HABARI MCHANGANYIKO Tamasha la utamaduni kitaifa lafunguliwa Songea September 21, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila na desturi za kitanzania na kuwarithisha watoto na vijana ili kujiepusha na tamaduni za kigeni zisizofaa…
HABARI MCHANGANYIKO EACOP kutoa fursa za ajira kwa vijana 143 wa Tanzania, Uganda September 19, 2024 Erasto Masalu MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) utatoa ajira kwa vijana wazawa 143 kutoka nchini Tanzania na Uganda waliofuzu mafunzo ya kozi maalum ya nishati za…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mbarawa akoshwa na TPA ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay September 19, 2024 Erasto Masalu Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) kwa utekelezaji wa ujenzi wa bandari mpya na ya kisasa ya Mbamba Bay inayojengwa pembezoni mwa Ziwa…
HABARI MCHANGANYIKO Magari yenye mfumo mbovu wa breki yakamatwa Songwe September 17, 2024 Erasto Masalu WAMILIKI wa vyombo vya moto nchini wametakiwa kuhakikisha madereva wa vyombo hivyo wanafuata sheria za usalama barabarani na kuacha mara moja tabia ya kuendesha magari ya abiria na mizigo bila…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Malasusa: Utekaji, mauaji yafike mwisho September 17, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amelaani matukio ya utekaji na mauaji ya raia na kusema kanisa halitaki kusikia uhalifu huo tena. Anaripoti Restuta…