HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI BAKWATA yataka serikali kuchunguza mauaji na utekaji September 16, 2024 Erasto Masalu BARAZA Kuu la Waislamu nchini (BAKWATA), limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi huru kuhusiana na matukio ya utekaji nyara na mauaji ya raia, vitendo vinavyodaiwa kutekelezwa na vyombo vya dola.…
HABARI MCHANGANYIKO Wananchi Ntobeye waonywa kujichukulia sheria mkononi September 15, 2024 Erasto Masalu WANANCHI wa kata ya Ntobeye Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameonywa na Jeshi la Polisi kujichukulia sheria mkoani na kufanya mauaji ya watu kwa imani za kishirikina wilayani humo.…
HABARI MCHANGANYIKO Uongozi wa Kanisa wakemea vitendo vya utekaji, uuaji na unyanyasaji September 15, 2024 Erasto Masalu UONGOZI wa Kanisa la Mlima wa Nuru Assembless of God (CAG) lililopo Chamelo Nzuguni “B”Jijini Dodoma limekea vikali vitendo nchini vya utekaji na watu kupotea na kukutwa wamekufa bila sababu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Dk. Biteko ahimiza wanawake kutumia mifuko ya uwezeshaji kiuchumi September 14, 2024 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza wanawake nchini kutumia fursa ya mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa ajili ya kukopa na kujiongezea vipato. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamo ya Chadema September 13, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 23 Septemba, 2024 na Chama cha Demokrasia na Maemdeleo (CHADEMA). Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea). Msemaji wa Jeshi la…
HABARI MCHANGANYIKO Tanzania kutengeneza mkakati wa muda mrefu wa kaboni September 13, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Ashatu Kijaji amesema Tanzania iko katika hatua za awali za kutengeneza mkakati wa muda mrefu wa kaboni. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ajali ya basi la AN Coach yaua 11, lajeruhi 44 September 6, 2024 Erasto Masalu WATU 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach lenye namba ya usajili T282 CXT kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Afande ‘aliyelipa’ wabakaji afikishwa mahakamani September 5, 2024 Erasto Masalu HATIMAYE Fatma Kigondo, Afisa wa Jeshi la Polisi, anayetuhumiwa kuwa ndiye “Afande” aliyetajwa na kundi hilo la vijana, lililomfanyia vitendo vya kikatili msichana mmoja, aliyepachikwa jina la “Binti wa Yombo,”…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Waziri Dk. Kijaji ahimiza usimamizi wa mazingira viwandani September 5, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuweka mifumo ya majitaka kuepusha yasitiririke ovyo na kuchafua mazingira na…
HABARI MCHANGANYIKO REA yahamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia September 5, 2024 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeendelea kuhamasisha wananchi, kutumia nishati safi ya kupikia ili kuwezesha utunzaji wa mazingira, kuboresha afya na ustawi wa jamii pamoja na kukuza uchumi…