HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI Wastaafu bandari waipeleka Saccos yao Takukuru September 4, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imetumbukia kwenye kashfa, baada ya viongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Kukopa – Harbors Sacco’s Limited – kudaiwa kutafuna taribani Sh. 174 milioni,…
HABARI MCHANGANYIKO CP Kaganda atoa uzoefu Polisi Jamii Marekani, washiriki waipokea mbinu hiyo September 4, 2024 Erasto Masalu KAMISHINA wa Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu, CP Suzan Kaganda ametoa uzoefu wa masuala ya Polisi Jamii yanavyosaidia kulinda amani katika maeneo yanayofanyika bila jeshi la Polisi kuwepo.…
HABARI MCHANGANYIKO Ushirikiano wa nchi za kiafrika uthibitike kwa vitendo September 4, 2024 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema ndoto za Wanajumuiya wa Afrika (Pan Africanism) zimeanza kuthibitishwa kwa Waafrika wenyewe kuwekeza katika mipango ya maendeleo ya muda…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Dk. Biteko: Ubelgiji yaunga mkono ajenda ya nishati safi September 4, 2024 Erasto Masalu UBELGIJI imeunga mkono kampeni ya Nishati Safi ya kupikia na hivyo imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika matumizi ya nishati hiyo kwa maendeleo ya Bara zima la Afrika iliyoasisiwa…
HABARI MCHANGANYIKO Tanzania yawanoa wataalam wa Hali ya Hewa Afrika kuhusu matumizi ya Rada August 26, 2024 Erasto Masalu KATIKA kuwajengea uwezo wataalamu wa hali ya hewa kutoka Taasisi za Hali ya Hewa barani Afrika, Kitengo cha Elimu na Mafunzo cha Shirika la Hali ya Hewa Duniani kwa kushirikiana…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Askofu Shoo kubadili Katiba, kubaki madarakani? August 26, 2024 Erasto Masalu DK. Frederick Shoo, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini yenye makao yake mjini Moshi, “huenda akabadili Katiba,” ili kuendelea kubaki madarakani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Taasisi ya kupambana na dawa za kulevya yateketeza ekali 1,165 za bangi August 26, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA yaja na mkakati wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka August 25, 2024 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dk. Andrew Komba amesema taasisi hiyo imejipanga kuongeza uwezo wa maghala kuhifadhi nafaka kati ya tani 700,000 na milioni…
HABARI MCHANGANYIKO Wasomi wafagilia utekelezaji wa mradi wa EACOP August 25, 2024 Erasto Masalu WASOMI na wataalamu mbalimbali nchini wameelezea kuvutiwa kwao na utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) wakisema umekidhi vigezo vyote vinavyotakiwa kimataifa. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO LHRC walaani mauaji na ukatili wa polisi Simiyu August 23, 2024 Erasto Masalu KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani matukio ya ukatili na mauaji yaliyotekelezwa na Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu na kusisitiza kuwa huo ni…