HABARI MCHANGANYIKO Mtendaji afungwa miaka 60 kwa ubadhirifu wa fedha za H’shauri October 26, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, jana imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela afisa mtendaji wa kijiji cha Paramawe, Richard Kiwela (45), kwa makosa matatu, ikiwemo kuibia Halmashauri ya…
HABARI MCHANGANYIKO Waziri: Miradi ya PPP ni muhimu katika Bajeti ijayo October 26, 2024 Erasto Masalu SERIKALI imejipanga kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na sekta binafsi ili kukuza uchumi kwa kiasi kikubwa katika mwaka wa fedha cha 2025/26. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Wazalishaji mbegu feki wadakwa Magu, DC Nassari atoa ujumbe kwa wakulima October 25, 2024 Erasto Masalu VIJANA wawili wamekamatwa na vyombo za ulinzi na usalama wilayani Magu mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuzalisha na kusambaza mbegu feki za mahindi zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Kijaji awataka kila mwanafunzi awe na mti wake mmoja October 25, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wananchi wa Tanga kuweka kipaumbele suala la usafi katika maeneo wanayoishi pamoja na…
HABARI MCHANGANYIKO Sekta nne kuimarisha uhusiano wa Tanzania, Pakistan October 24, 2024 Erasto Masalu TANZANIA na Pakistan, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa nchi hizo mbili, wakizingatia vipaumbele na manufaa ya wananchi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam wailteta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini October 24, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake…
HABARI MCHANGANYIKO Tume ya Madini yarekodi mafanikio makubwa, mazingira wezeshi yatajwa kukoleza kasi October 24, 2024 Erasto Masalu TUME ya Madini Tanzania imeendelea kurekodi mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo makusanyo ya maduhuli yanayochochewa na mazingira wezeshi ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia…
HABARI MCHANGANYIKO Wadau wa kilimo wanufaika na ugunduzi wa mbegu za Tari October 24, 2024 Erasto Masalu WAKULIMA, wazalishaji wa mbegu na wasindikaji wa bidhaa za kilimo wameeleza kunufaika na ugunduzi wa mbegu zilizofanyiwa Utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika mazao ya karanga,…
HABARI MCHANGANYIKO TMA yakamilisha uboreshaji wa rada mbili za Hali ya Hewa October 24, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekabidhiwa rasmi ya rada zake mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na Dar es salaam zilizokuwa zinafanyiwa uboreshaji na kampuni ya Enterprises…
HABARI MCHANGANYIKO Wananchi waaswa kuacha kudanganyika na ushirikina October 23, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amewaasa wananchi kuacha kudanganyika na imani za kishirikina kwa imani za kupata mafanikio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Nzega,…