SERIKALI nchini Tanzania inatarajia kuazimisha siku ya mtoto wa Afrika kesho tarehe 16 Juni, 2020 huku ikimarisha mfumo wa kisheria kwenye ustawi wa...
By Faki SosiJune 15, 2020IKIWA ni zaidi ya wiki tatu ya maandamano kutokana na polisi wa Minnesota, Marekani kumuua raia mweusi wa taifa hilo George Floyd, tayari...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia leo Jumamosi tarehe 13 hadi 15 Juni, 2020 kufuatia kifo...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020JESHI la Polisi Tanzania, limetoa taarifa za uchunguzi wa awali wa tukio linalodaiwa kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, itawafikisha mahakamani watumishi nane wakiwemo saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kwa...
By Regina MkondeJune 12, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amelipongeza Bunge la nchi hiyo, kwa kupitisha azimio itakayozuia mtu au mamlaka kuhamisha Makao Makuu ya nchi yaliyopo...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, ina mpango wa kujenga magereza kila wilaya, ili kumaliza tatizo la mrundikano wa mahabusu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania, Dk. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na...
By Mwandishi WetuJune 10, 2020MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent Maiga baada ya...
By Faki SosiJune 9, 2020WAKATI maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 yakiendelea nchini Tanzania, Shirika lisilo la Kiserikali la Tanzania Youth Coalition (TYC) limetaka kufanyika kwa majadiliano...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020RUKIA Kassim Ahmed, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), ameitaka Serikali ya Tanzania kuwazuia wanaume wasiotahiriwa kuoa, ili kuwakinga wanawake dhidi...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020VARDAN MKHITARYAN (47), raia wa Armenia na mwenzake, wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa kosa kuisababishia hasara Serikali...
By Faki SosiJune 8, 2020DK. Christon Nkya, aliyekuwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Rombo mkoani Kilimanjaro na mfamasia wa zamani wa halmashauri hiyo, Remig Massawe, wamefikishwa mahakamani...
By Mwandishi WetuJune 6, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha...
By Regina MkondeJune 5, 2020ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) nchini Tanzania, Laurean Bwanakunu na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam...
By Faki SosiJune 5, 2020JAFET Emmanuel, Mkazi wa Kilimahewa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa kosa la...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema, ndani ya siku 14 zijazo, litarejesha safari za treni za mizigo na abiria kati ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itawafikisha mahakamani aliyekuwa mtendaji mkuu wa Bohari...
By Regina MkondeJune 5, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeupokea kwa mikono miwili mwaliko uliitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020WAFANYAKAZI wanne wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa marekebisho...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020ALLY Mohamed Mtiga, mwenyekiti wa kamati ya mazingira mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio wilayani Temeke, Dar es Salaam, anashikiliwa na Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020MKUU wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Tom Apson ameongoza mazishi ya Chris Mfinanga, aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa yaliyofanyika kwenya...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawafikisha watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) katika Mahakama ya...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kwa tuhuma mbalimbali...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER), Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020PAPA Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema, dunia haiwezi kupuuza ubaguzi wa rangi na kutengwa kwa watu. Inaripoti Mitandao ya kimataifa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020RICHARD Zablon, muuguzi katika Zahanati ya Chamwino, jijini Dodoma, leo tarehe 3 Juni 2020 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo, kwa...
By Danson KaijageJune 3, 2020NELSON Ndalu (67) anatuhumiwa kukopesha wananchi kwa riba kubwa na kisha kuwafilisi kwa kutaifisha mali zao kinyume cha sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kutambua wajibu wao wa kutoa huduma iliyobora na inayokidhi matarajio ya wateja ambao...
By Hamisi MgutaJune 2, 2020MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameziagiza daladala jijini humo, kutowaacha wanafunzi vituoni kwa kigezo cha kubeba abiria...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Kaimu mkurugenzi wa Lojistiki wa...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020MAHAKAMA ya Rufaa ya Afrika Mashariki (EAC), imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Jamhuri dhidi ya gazeti la kila wiki la MSETO, kupinga gazeti...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020LICHA ya ripoti ya maambukizi ya virisi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kupungua nchini, ugonjwa huo haujaisha nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Regina MkondeJune 1, 2020SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuziunganisha Benki ya TPB na TIB Corparate kuanzia leo tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi, Dodoma … (endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020MAANDAMANO, vurugu na uharibifu katika kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani mwaka 1968, chini ya mwanaharakati Martin Luther King Jr, sasa yanashuhudiwa tena. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020IGP Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini amesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jeshi hilo halitaki matatizo na mtu yeyote....
By Mwandishi WetuJune 1, 2020WIZARA ya Maji nchini Tanzania, imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), kwa kushughulikia matatizo ya maji kwa...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza ukosefu wa maji kwa saa 24 kwa wakazi wa maeneo ya...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) nchini Tanzania, imetaja changamoto nane zinazopelekea matumizi mabaya ya fedha za...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020IDRIS Sultan, msanii wa vichekesho na mwenzake Innocent Maiga, wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za makosa ya mtandaoni. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...
By Faki SosiMay 27, 2020JESHI la Polisi jijini Dodoma limeeleza, kuwa dereva wa gari namba T.237 DSJ aina ya Subaru (IT), aliyewapa lifti watu wawili waliokuwa wakienda...
By Danson KaijageMay 26, 2020MBUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Asha Abdallah Juma ameitaka Serikali ya Tanzania kueleza jinsi ilivyojipanga katika udhibiti wa ufanyaje...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020USHAWISHI wa Vyama vya Upinzani nchini Israel, umefanikiwa kumpandisha kizimbani Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa taifa hilo kwa tuhuma za ufisadi, udanganyifu na...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, inakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za CCTV ili kubaini matendo maovu yanayofanyika ndani ya magerezani....
By Mwandishi WetuMay 26, 2020