BAADA ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa Umoja Chama Waganga wa Tiba Asilia, Wakunga (UWAWATA “T”) kukutana na kufanya mageuzi kwa kuondoa uongozi...
By Danson KaijageMarch 27, 2018AFISA kilimo wa mkoa wa Dodoma, Benard Abraham amewataka wakulima kuwasiliana na maofisa ugani pale wanapoona mimea yao au mazao inashambuliwa na wadudu....
By Danson KaijageMarch 27, 2018KAMPUNI ya mafuta ya Moil, inadaiwa kuwa imeanza kuondoa biashara zake za uuzaji wa mafuta nchini na kuzihamishia katika nchi za Uganda na...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2018NDEGE ya shirika la ndege la taifa (ATC), iliyokuwa imetokea Dar es Salaam kuja Dodoma leo Jumatano, imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2018IMEBAINIKA kuwa hadi sasa kuna kampuni 11 ambazo zinadaiwa kujihusisha na utengenezaji pombe kali zisizokuwa na viwango ambazo zimekuwa zikisambazwa sokoni kinyume na...
By Danson KaijageMarch 21, 2018JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa madai ya kuchochea maandamano ya...
By Danson KaijageMarch 21, 2018MKEMIA Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele ameagiza kuwa kila mtu atakayeuziwa au kununua kemikali lazima aoneshe cheti cha usajili kwa kuwa sheria...
By Danson KaijageMarch 20, 2018WAKAZI wa kata ya Kizota Manispaa ya Dodoma ambao kwa hivi sasa wapo kwenye zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa, wameomba muda...
By Danson KaijageMarch 20, 2018JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeridhia kujiuzuru kwa Mwenyekiti wake Theophil Makunga aliyeomba kujiuzulu. Anaripoti Angel Willium … (endelea). Makunga aliomba kujiuzulu jana...
By Bupe MwakitelekoMarch 17, 2018JUHUDI za Taasisi ya Namaingo Business Agents (NBA), imezindua mradi Shamba Mji Msolwa wilayani Mkuranga, Pwani ikiwa ni mwendelezo wa kuinua uchumi wa...
By Faki SosiMarch 12, 2018MWENYEKITI wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Reginald Mengi, amewaomba vijana kuchangamkia fursa za kibiashara zinazojitokeza wasipotoshwe na msemo wa hali ngumu, wakati...
By Bupe MwakitelekoMarch 5, 2018BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Pindi Chana imeiomba sekta binafsi kujitokeza ili kushiriki maadimisho ya biashara hapa nchini yatakayofanyika Aprili 26 mwaka huu...
By Bupe MwakitelekoFebruary 26, 2018MWANDISHI wa gazeti la Uhuru, Mariam Mziwanda amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea usiku huu maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilifuta picha mnato (video), zilizochukuliwa na waandishi wa habari zikionesha askari wakiwaadhibu vikali waandamanaji...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2018WAFANYABIASHARA wametakiwa kufuata utaratibu na kutumia mizani iliyohakikiwa na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ili waweze kuuza bidhaa kihalali na kuepuka kuwapunja wateja...
By Christina HauleFebruary 14, 2018MMOJA kati ya waathirika wa vitendo vya ubakaji ni motto wa umri wa miaka 13 (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kubakwa na kijana anayeitwa Baraka...
By Faki SosiFebruary 8, 2018IMANI sugu za ushirikiana mkoani Iringa ni mojawapo ya chanzo cha imani potofu zinazochochea vitendo viovu vya ubakaji, ulawiti na udhalilishaji wa watoto...
By Faki SosiFebruary 7, 2018LICHA ya juhudi za serikali na watetezi wa haki za watoto kuendeleza harakati za kulinda hadhi na afya za watoto nchini Tanzania, matukio...
By Faki SosiJanuary 25, 2018JESHI la polisi mkoani Dodoma, limemkamata Onesmo Machibya (44), maarufu kwa jina la Nabii Tito, kwa madai ya kinachoitwa, “kueneza chuki ya kidini...
By Danson KaijageJanuary 23, 2018Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekanusha taarifa kuhusu kukamata wanyoa viduku, wavaa vimini zinazoendelea kusambaa. Anaripoti Hamis Mguta …...
By Hamisi MgutaJanuary 17, 2018MAPIGANO ya kugombea ardhi ya kilimo na kufuga yanayohusisha silaha za jadi pamoja na bunduki yanatarajia kuendelea kutokea muda wowote katika kijiji cha...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2018AMMY Lukule ambaye ni mhasibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya amefanya mauji kwa familia yake kutokana na wivu wa mapenzi, Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaJanuary 5, 2018WAKULIMA wa bonde la mpunga la Mgongola lililopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro wameiomba serikali kuwapatia hatimiliki za mashamba yao ili waweze kuyaendeleza bila...
By Christina HauleJanuary 4, 2018BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifunga na kuziweka chini ya ufilisi benki tano nchini kutokana na kuwa na upungufu wa mtaji kinyume na...
By Hamisi MgutaJanuary 4, 2018MAMLAKA ya mawasiliono nchini TCRA imetoa hukumu kwa televisheni nne kwa tuhuma za uchochezi na kukiuka kanunuzi za utangazaji, Anaripoti Faki Sosi….(endelea) Mamlaka hiyo...
By Faki SosiJanuary 2, 2018BAADA ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania...
By Hamisi MgutaDecember 30, 2017ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Alhaji Salum Salehe Londa, amelipa deni la pango ya nyumba, analodaiwa na kiwanda cha Nguo cha Urafiki,...
By Hamisi MgutaDecember 21, 2017SHIRIKA la Posta Tanzania, limezindua nembo mpya ya shirika hilo baada ya ile ya zamani kukaa zaidi ya miaka 24 hadi kufika leo,...
By Masalu ErastoDecember 21, 2017MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema hatoongeza muda wa kuiongoza taasisi hiyo baada ya mkataba wake kukamilika Mei, 2019,...
By Hamisi MgutaDecember 20, 2017BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa abiria waendao mikoani kipindi hiki cha sikukuu...
By Bupe MwakitelekoDecember 19, 2017MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali...
By Faki SosiDecember 18, 2017HUKUMU ya kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu...
By Hamisi MgutaDecember 13, 2017WAFANYAKAZI wastaafu zaidi ya 100 wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kuanzia mwaka 2012 hadi 2017 wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kitendo...
By Christina HauleDecember 12, 2017RAIS John Magufuli anatarajiwa kuwa ngeni rasimi katika mkutano Mkuu wa kwanza wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Desemba 14 mwaka huu., anaandika...
By Danson KaijageDecember 12, 2017TUME iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa kuchunguza mgogoro wa ardhi uliodumu zaidi ya miaka 26 katika vijiji vinavyopakana na hifadhi ya taifa...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na wadau wengine wameunda kamati ndogo ya uchunguzi na kuituma Kibiti kuthibitsha...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017KIAMA cha madalali wa kupangisha nyumba na wamiliki wa nyumba za kupangisha kinakuja baada ya serikali kukusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni wa...
By Masalu ErastoDecember 9, 2017WATU waliovalia mavazi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamevamia kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga, mkoani Pwani na kuwashambulia wananchi...
By Mwandishi MaalumDecember 1, 2017NASYEKZI Lilash, mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Arash, Tarafa ya Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro, Mkoani Arusha, amelazimika kumwachisha ziwa mtoto wake wa...
By Masalu ErastoNovember 30, 2017BAADA ya kuathirika kiuchumi kutokana na operesheni ondoa mifugo, katika vijiji vinavyopatakana na hifadhi ya Serengeti, Loliondo, wilayani Ngorongoro, sasa watoto walazimika kufanya...
By Masalu ErastoNovember 28, 2017WAZIRI wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Tehama katika wizara hiyo, ifikapo 2018, mradi wa mfumo unganishi...
By Bupe MwakitelekoNovember 27, 2017TINGATINGA limeanza kubomoa majengo ya Wizara ya Maji yaliyopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam kufuatia amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2017BAADHI ya ng’ombe katika kijiji cha Arash Loliondo, Ngorongoro, mkoani Arusha, wameshindwa kupata soko kutokana na kuwa na majeraha ya risasi huku wengine wakiendelea...
By Masalu ErastoNovember 26, 2017FAMILIA ya watu 19 imeeleza namna inavyolala chini ya mti baada ya nyumba yao kubomolewa katika operesheni ya kuwaondoa wafugaji iliyofanyika Loliondo, Ngorongoro,...
By Masalu ErastoNovember 25, 2017KWA mara nyingine mnada wa kuuza nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi umeshindwa kufanikiwa baada ya wateja wengi kutofikia bei inayotakiwa, anaandika Mwandishi Wetu....
By Mwandishi WetuNovember 24, 2017MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umepinga kauli ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa...
By Faki SosiNovember 22, 2017IMEELEZWA pamoja na Shirika la Posta kumilikiwa na serikali kwa asilimia 100, ni asilimia 20 tu ya taasisi za serikali ndio zinatumia huduma...
By Masalu ErastoNovember 18, 2017WAZIRI wa Fedha na Mipango Dr Phillip Mpango amewataka viongozi ngazi ya Taifa hadi kijiji kutoa ushirikiano kwa watafiti watakapokuwa wanafanya kazi zao...
By Hamisi MgutaNovember 18, 2017MPANGO wa Kuboresha Elimu Tanzania kwa shule za msingi (EQUIPT TANZANIA) kwa kuanzia vituo vya utayari umechangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kuongezeka mashuleni,...
By Danson KaijageNovember 18, 2017WAZAZI na walezi wilayani Bahi mkoani Dodoma wametakiwa kuwekeza elimu kwa watoto wao wanaohitimu shule ya msingi na sekondari, kwa kuwaendeleza kimasomo zaidi...
By Danson KaijageNovember 18, 2017