BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa tarehe 21 Agosti 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde visiwani Zanizbar.
Katika shule kumi bora kitaifa kwenye matokeo hayo, nane zinamilikiwa na Serikali na mbili binafasi huku iliyoongozwa ya Kisimiri imesalia kwenye nafasi yake kama ilivyokuwa mwaka 2019.
Endelea kufuatilia MwanaHALISI Online, MwanaHALISI TV na mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa na habari mbalimbali
Leave a comment