June 19, 2021

Uhuru hauna Mipaka

A-Z uamuzi wa TCRA kwa vyombo vya habari

Joseph Mapunda, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Maudhui TCRA

Spread the love

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa uamuzi katika malalamiko tisa ya watoa huduma ya utangazaji kwa makosa mbalimbali ya ukiukaji wa kanini za utangazaji wa redio na televisheni na maudhui ya mitandaoni. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar es Salaam … (endelea)

Watoa huduma hao ni Carry Mastory Media Ltd, Triple A FM, CG FM, Wasafi Media Online TV, Clouds FM, Radio One, Radio Free Africa, Kiss FM na Abood FM.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joseph Mapunda ametoa uamuzi huo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020 katika Ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam.

https://youtu.be/fLhD__xfOXo

Soma taarifa yote ya kamati;

error: Content is protected !!