May 20, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Samia amteua mwenyekiti bodi CMSA

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. John Kedi Mduma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema uteuzi wa Dk. Mduma umeanza leo Jumamosi, tarehe 24 Aprili 2021.

Amesema, Dk. Mduma ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi cha kwanza kumalizika.

error: Content is protected !!