December 1, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mgogoro waibuka KKKT, Askofu Shoo ahusishwa

Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la KKKT

Spread the love

 

MGOGORO umeibuka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya wakimshutumu Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu Fredrick Shoo kwa uamuzi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea).

Undani wa mgogoro huo, fuatilia video hii.

Aidha, jipatie Gazeti la Raia Mwema la leo Jumatano la tarehe 24 Novemba 2021 kujua alichokijibu Askofu Shoo.

error: Content is protected !!