Thursday , 23 March 2023

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Kanisa Katoliki Geita lililonajisiwa lafungwa kwa muda

  KANISA Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita, limefungwa kuanzia jana Jumatatu hadi tarahe 18 Machi 2023, kwa ajili ya kusubiri...

Habari Mchanganyiko

GGML yang’ara tuzo za ATE, Majaliwa aahidi makubwa

JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu kwa kuwapatia mafunzo kazini zimeendelea kuonekana baada ya...

Habari Mchanganyiko

Kampuni za kibiashara kuwania tuzo SDGs, Shayo asema hakuna atakayebaki nyuma

Shirika la UN Global Compact Network Tanzania limezindua mchakato wa kutafuta mshindi wa tuzo zitakazokuwa zinatolewa kila mwaka kwa makampuni ya kibiashara yaliyoonesha...

Habari Mchanganyiko

Huawei yajiunga na mpango wa UNESCO wa kusoma na kuandika

  KAMPUNI ya Huawei imejiunga na UNESCO Global Alliance for Literacy (GAL) kama sehemu ya maandalizi ya kampuni hiyo kuongoza Kongamano la Simu...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwinyi aishukuru AfDB kwa kuunga mkono maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi , ameishukuru Benki ya Maendeleleo ya Africa (AfDB) kwa kuunga...

Habari Mchanganyiko

IRUWASA yafunga mita za maji 6,700 za malipo ya kabla

  MAMLAKA ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) imefanikiwa kufunga dira za maji 6700 za malipo ya kabla...

Habari Mchanganyiko

ACT yataka TAKUKURU iingilie kati gharama ukarabati MV-Magogoni

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), kutafakari upya kuhusu bei ya ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni, kikidai...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa ahimiza Watanzania kuwekeza kwenye chikichi

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewahimiza wakazi wa Kigoma na watanzania kuwekeza katika zao la mchikichi na kusisitiza ndio fursa ya kukuza uchumi...

Habari Mchanganyiko

NMB yapata ufadhili bilioni 572 kutoka Ulaya

BENKI ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya ya Ulaya (EU)...

Habari Mchanganyiko

NGO’s zalia na masharti fedha za wafadhili

CHANGAMOTO ya upatikanaji wa fedha za wafadhili imetajwa kukwamisha shughuli za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) na asasi za kiraia zinazotetea haki za...

Habari Mchanganyiko

Mwanamfalme Dubai asaini mkataba na Tanzania kusambaza mbolea nchini

OFISI ya Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, Mwanafamilia ya Kifalme ya Dubai kutoka Falme za Kiarabu, imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) na Serikali...

Habari Mchanganyiko

Mashirika yanayotetea wanawake yatakiwa kujipanga ushiriki mchakato katiba mpya

  MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uongozi umezitaka asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake na watoto kuungana pamoja katika kuwasilisha ajenda za...

Habari Mchanganyiko

Mwanajeshi aliyemsukuma Trafiki kwa gari kizimbani

  ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), MT 89487 CPL, Hamis Ramadhan, anayedaiwa kumsukuma askari wa usalama barabarani kwa kutumia gari lake,...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia atengua wawili, Mchechu wa NHC awa Msajili wa Hazina

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto na Mkurugenzi Mtendaji wa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aboresha zaidi sekta ya mifugo

SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuboresha zaidi sekta ya mifugo kupitia njia mbalimbali. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Maleko awataka wanawake kupaza sauti ulawiti watoto wa kiume

  MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Maleko, amewataka wanawake nchini kupaza sauti katika kupinga vitendo vya kikatili na ulawiti kwa...

Habari Mchanganyiko

Wateja NHIF kutambuliwa kwa sura, alama za vidole

  KATIKA kurahisisha utambuzi wa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika vituo vya kutolea huduma na kudhibiti vitendo...

Habari Mchanganyiko

Wamachinga Songwe wataka ujenzi soko la Majengo kuharakishwa

  WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (Wamachinga) wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa soko la kisasa linalojengwa kata ya Majengo Halmashauri ya Mji Tunduma mkoani Songwe...

Habari Mchanganyiko

LSF yatoa ruzuku Sh. 3.1 bilioni uimarishaji haki nchini

SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF), limetoa ruzuku ya kiasi cha Sh. 3.1 bilioni kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji haki nchini hususan kwa...

Habari Mchanganyiko

Shura ya Maimamu yakosoa ukamataji walioachiwa huru na Mahakama

  WAKATI Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kuchunguza taaisisi za haki jinai ikiendelea kukusanya maoni ya wadau, Shura ya Maimamu Tanzania...

Habari Mchanganyiko

GGML yang’ara tuzo za PRST, yanyakua tuzo 2

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendelea kufanya vyema kwenye nyanja mbalimbali zinazogusa jamii na serikali kwa ujumla baada ya Meneja Uhusiano...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 7 za TARURA kuwanufaisha wananchi Berega

SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) inatarajiwa kutumia zaidi ya Sh bilioni saba katika ujenzi wa daraja jipya la Berega...

Habari Mchanganyiko

TMA yatangaza mwelekeo wa mvua za masika

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania  (TMA), imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika mwaka huu takribani mikoa 11, inatarajia kunyesha...

Habari Mchanganyiko

UMEBIMA ya NMB kuiteka Dar siku 21, DC atoa ujumbe

BENKI ya NMB imezindua Kampeni ya siku 21 katika Kanda ya Dar es Salaam ya kutoa elimu na kuhamasisha jamii kutumia Huduma za...

Habari Mchanganyiko

Jaffar Haniu atembelea vituo vya redio Rungwe

MKUU wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaondoa ukomo uhai wa vitambulisho vya Taifa

SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuondoa ukomo wa uhai wa vitambulisho vya taifa vilivyo na tarehe ya kuisha muda wake wa matumizi ili kuondoa...

Habari Mchanganyiko

DPP awafutia mashtaka ya ugaidi Masheikhe 36

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia mashtaka waislamu waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya ugaidi ikiwemo Masheikh, katika mahakama mbalimbali nchini....

Habari Mchanganyiko

Serikali yataka unafuu riba mikopo ya nyumba

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, ametoa wito kwa benki na taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya...

Habari Mchanganyiko

TMA wakutana na sekta mbalimbali kujipanga na msimu wa Masika

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na msimu wa masika unaotarajiwa kuqnza mwezi Machi...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawasilisha mapendekezo 500 tume ya Rais Samia, yalilia katiba mpya

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewasilisha mapendekezo yake 500 katika Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ili...

HabariHabari Mchanganyiko

Serikali yaweka mapingamizi kesi ya Diaspora kudai uraia pacha

SERIKALI imeweka mapingamizi ya awali katika kesi ya kikatiba Na. 18/2022, iliyofunguliwa na watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kwenye Mahakama Kuu, Masjala...

Habari Mchanganyiko

LSF yajinoa kampeni msaada wa kisheria ya Mama Samia

SHIRIKA la Huduma za Kisheria (LSF), limeanza kujipanga namna ya utekelezaji wa Nguo Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...

Habari Mchanganyiko

TMA yatoa ufafanuzi ya Kimbunga Freddy

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi juu ya taarifa za uwepo wa kimbunga “Freddy” zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii...

Habari Mchanganyiko

Mnyanyika wa NMB atwaa tuzo ya Afisa Uhusiano Bora 2022

BENKI ya NMB imeendelea kufanya vyema kwenye nyanja mbalimbali baada ya Kaimu Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mahusiano wake, Vicent Mnyanyika kuibuka...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kimaro aomba radhi, asamehewa

ALIYEKUWA Mchungaji wa KKKT Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliona Kimaro, leo Jumapili amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu asimamishwe kutoa huduma kwa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aweka bilioni 6.2 za ujenzi wa mabwawa nchini

SERIKALI inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha kila sekta nchini ambapo imepanga kujenga mabwawa ya kunyweshea mifugo kote nchini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

TEF yataja tamu, chungu muswada sheria ya habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema limeunda kamati ndogo ya watu sita, kwa ajili ya kuchambua Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa achefukwa baba aliyemlawiti mwanaye, aagiza kukamatwa, MaRC, RPC kikaangoni

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika...

Habari Mchanganyiko

Muongozo kuzuia ukatili wa kijinsi maeneo ya umma wazinduliwa rasmi

  SERIKALI imezindua mwongozo wa uanzishaji na uendeshaji wa dawati la kutokomeza ukatili wa kijinsia katika maeneo ya umma ili kuwasaidia wananchi kwenye...

Habari Mchanganyiko

Wawili kizimbani kwa kukwepa kodi ya bilioni 6.

  WANANDUGU wawili, Sibtain Murji 43 na Zameen Murji 47 wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...

Habari Mchanganyiko

Taharuki yaibuka Dodoma, Singida ikikumbwa na tetemeko la ardhi

TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), imetoa taarifa kwa umma kuhusu kutokea kwa tetemeko la ardhi Wilayani Manyoni mpakani mwa...

Habari Mchanganyiko

NMB yapeleka elimu ya bima mkoa kwa mkoa

WANANCHI wametakiwa kujiunga na Bima mbalimbali ili kukabiliana na majanga ikiwemo ya moto ikiwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali  inayoongozwa na...

Habari Mchanganyiko

TFS yatoa fursa ya ajira 400 kwa wakazi wa Ileje

  WAKALA wa Uhifadhi wa Misitu Tanzania (TFS), imefanikiwa kutoa ajira kwa watu 400 kwenye shamba la miti la Iyondo Mswima wilaya Ileje...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akemea utumikishaji watoto migodini, ampa maagizo DC Songwe

KUTOKANA na kuibuka madai ya vitendo vya ukatili na utumikishwaji wa watoto chini ya miaka 18 maeneo ya machimbo migodini, Waziri Mkuu Kassim...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Angola zasaini hati za makubaliano

SERIKALI za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Angola zimesaini hati mbili za makubaliano (MoU) kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja...

Habari Mchanganyiko

Nape:Serikali haitaingilia biashara za vyombo vya habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Serikali haitaingilia biashara za vyombo vya habari, ili wamiliki wake waendeshe...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutojitumbukiza kwenye mikopo bila malengo

WATANZANIA  wameshauriwa kutopenda kujitumbukiza kwenye masuala ya mikopo kama hawajajipanga kwa kujua wanachotakiwa kukifanya. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Rai hiyo imetolewa...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya WRRB yaweka wazi mafanikio yake kwa mwaka 2021/22

MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangya Bangu amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo kumeonesha kuwepo kwa...

Habari Mchanganyiko

Kampeni msaada wa kisheria ya Rais Samia yazinduliwa, kugusa maeneo matano

  KAMPENI ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Rais Samia Suluhu Hassan, itafanyika katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

TBA yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

  PAMOJA na Wakala wa Majengo Tanzania TBA kuweza kufanya kazi kwa mafanikio makubwa lakini bado inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa watumishi....

error: Content is protected !!