ASILIMIA 94 ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri Tanzania, jijini Dodoma wamepitisha Bajeti Kuu ya serikali ya Sh. 36.3 Trilioni kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unatarajia kuzindua mpango mkakati wa Asasi za Kiraia (Azaki), wa utekelezaji Mpango wa...
By Regina MkondeJune 22, 2021BAJETI ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka 2021/22 ya Sh.36.3 Trilioni, imepitishwa na Bunge huku wabunge 23 wakishindwa kuikubali au kuikataa ‘abstain.’...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021WAZIRI wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kilichosababisha klabu ya Simba kukumbana na kadhia ya kipigo cha mabao 4-0,...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amefafanua jinsi kodi ya lini ya simu itakavyolipwa na watumiaji huku akiwaomba...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021KUKITHIRI kwa malalamiko yanaelekezwa kwa Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), yamemchefua Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
By Yusuph KatimbaJune 22, 2021Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021MNIJUZE wakazi wa Zanzibar, taswira halisi ya Balozi Seif Ali Idi, Makamu wa Pili Mstaafu visiwani humo ilivyo kwa sasa, je ni...
By Yusuph KatimbaJune 22, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), kimeiomba Serikali ya Tanzania, kuwachukulia hatua watu waliohusika katika tukio la mauaji ya...
By Regina MkondeJune 22, 2021Bajeti 2021/22 kupitishwa? Spika Ndugai atoa onyoMJADALA wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka 2021/22 ya Sh.36.3 Trilioni, unahitimishwa leo Jumanne, tarehe...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021WATU watano wamefariki dunia, katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo basi dogo la abiria ‘Costa’ iliyotokea eneo la Nanenane mkoani Morogoro jana...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili Tanganyika, wa kumfuta uwakili, Mwanaharakati...
By Regina MkondeJune 21, 2021MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amesema, Katiba ya sasa ya Tanzania haitoi mwelekeo wa Taifa unakwenda wapi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Tabora, limedai mauaji ya mtoto Nyanzobhe Mwandu (4), yaliyotokea tarehe 16 Juni 2021, yalipangwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa China, Xi Jinping. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewakabidhi majukumu matano wakuu wa wilaya za mkoa huo, walioteuliwa na Rais Samia...
By Regina MkondeJune 21, 2021SIKU mbili baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Kherry James amesema ‘sintokuwa mtawala bali mtumishi wa...
By Regina MkondeJune 21, 2021MBUNGE wa Bukoba Vijijini mkoani Kagera (CCM), Jason Rweikiza, amevutana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako kuhusu zuio...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021ABIY Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia anayetetea nafasi hiyo, ambapo wananchi wa taifa hilo, wanapiga kura kuchagua waziri mkuu mpya leo tarehe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limethibitisha kuwa msimu ujao wa mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, awachukulie hatua Wakurugenzi wa Halmashauri (DED), wanaoshindwa kupeleka asilimia 40 ya...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, awaapisha Balozi Batlida Buriani kuwa Mku wa Mkoa wa Tabora (RC) na Zuwena Omari Jiri kuwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021Ni kama huko ndani ya klabu ya Yanga, kumekuwa na hali yasintofahamu mara baada ya kuwepo kwa taarifa za kuomba kuondoka nahodha wa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, jana tarehe 19 Juni 2021, iliuchambua uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Tanzania, chini...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) 139 katika mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaJune 20, 2021WAANDISHI wa habari wanne kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ni miongoni mwa Wakuu wa Wilaya (DC) 139, walioteuliwa na Rais wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJune 20, 2021MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God (EAGT), Nason Manyere, amewashauri Watanzania kujiunga na bima ya afya, ili kuepukana na mzigo...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeagiza mkutano wa dharura wa chama hicho uitishwe tarehe 27 Novemba 2021, kwa ajili ya kujaza...
By Regina MkondeJune 20, 2021KATA tano katika Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, zinakabiliwa na changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara za mitaa, hali...
By Hamisi MgutaJune 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJune 19, 2021NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Mwaikabe Waitara, amewataka wakandarasi wazawa nchini kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa kuomba na...
By Mwandishi WetuJune 19, 2021MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amekishukuru chama chake cha ACT-Wazalendo kwa kumpendekeza kwenye nafasi hiyo huku akiwaahidi...
By Kelvin MwaipunguJune 19, 2021SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha Sh. 21.8 bilioni, kutoka benki ya makabwela – National Microfinance Bank (NMB) – ikiwa ni sehemu...
By Masalu ErastoJune 19, 2021MKUU wa mkoa wa Morogoro, Martin Shigela amewata maofisa ugani kutumia taaluma yao kivitendo kwa kuweka mashamba darasa na kuwapa elimu wakulima...
By Christina HauleJune 18, 2021BAADHI ya wabunge kutoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vya upinzani, wameishauri Serikali ifungue akaunti maalumu ya benki, kwa ajili...
By Regina MkondeJune 18, 2021MARA baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kumfungia mlinda mlango wake Metacha Mnata, kwa kosa la utovu wa nidhamu, mchezaji huyo...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021KOCHA msaidizi wa klabu ya Simba, Seleman Matola amejinasibu kikosi chake kuwa tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 18, 2021WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) akisema, hajaridhishwa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, imetoa salamu za rambirambi, kufuatia kifo cha Kenneth Kaunda, Rais wa kwanza...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro na wenzake wawili, wamesomewa mashtaka mawili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa kampuni za Wilmar International ya Singapore, Kuok Khoon Hong....
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia shtaka la uhujumu uchumi raia sita wa China, wanaofanya kazi katika Kampuni ya Meli...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021MKURUGENZI mpya wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu, ametangaza neema kwa mahabusu, wafungwa na watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na mashtaka ya jinai...
By Hamisi MgutaJune 18, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, amemtuhumu Spika wa Bunge la...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, watumishi 1,496 wanakaimu nafasi za uongozi katika taasisi mbalimbali zikiwemo halmashauri za wilaya na sekretarieti za mikoa. Anaripoti...
By Masalu ErastoJune 18, 2021SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kufanya maboresho ya mitaala ya elimu ya msingi, vyuo vya kati na ufundi stadi pamoja na vyuo...
By Regina MkondeJune 18, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro na wenzake watano, wamefikishwa katika Mahakama mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021Nasreddine Nabi kocha mkuu wa kikosi cha Yanga , amefunguka mipango yake ya usajili kuelekea msimu ujao wa mashindano huku akikili kuhitaji mlinzi...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021