July 7, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Raia Ethiopia kumrejesha Abiy uwaziri mkuu?

ABIY Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia

Spread the love

 

ABIY Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia anayetetea nafasi hiyo, ambapo wananchi wa taifa hilo, wanapiga kura kuchagua waziri mkuu mpya leo tarehe 21 Juni 2021. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Abiy ameongoza taifa hilo katika miaka mitatu iliyopita ambapo amepata  sifa kemkem kutokana na utlizu wake na umakini katika kuunganisha Waethiopia, anapwa nafasi kubwa ya kutwaa madaraka hayo kwa mara ya pili.

Ethiopita imeinga kwenye uchagauzi huo wakati huu ambapo bado kuna mapigano na sintofahamu katika Jimbo la Tigrey. Abiy anapambana na wagombea wenzake wawili.

Taarifa zaidi zinambeba Abiy kwamba, kwa kiwango kikubwa alifanikiwa kupunguza hali ya wasiwasi Ethiopia, lakini pia kuuunganisha watu waliokuwa wakiasimiana kwa muda mrefu.

error: Content is protected !!