RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya, kufufua mabaraza ya biashara katika maeneo yao. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Hamisi MgutaJune 26, 2021KATIBA na baadhi ya sheria kandamizi, zimetajwa kukwamisha kiu ya haki katika uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJune 26, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitamkabidhi ilani za chama hicho kuanzia Uchaguzi Mkuu wa 1995 hadi 2020 pindi ombo lao la kukutana...
By Regina MkondeJune 26, 2021FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...
By Regina MkondeJune 26, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema, serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na ule wa Mchuchuma na Liganga. Anaripti...
By Yusuph KatimbaJune 26, 2021TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...
By Regina MkondeJune 25, 2021GOLI pekee ya mshambuliaji wa kimataifa kutoka Ghana wa Yanga ya Dar es Salaam, Yacouba Sogne, limeipeleka fainali ya michuano ya Azam...
By Kelvin MwaipunguJune 25, 2021MSHAMBULIAJI kinda wa Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) Kelvin John amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu na klabu ya KRC...
By Kelvin MwaipunguJune 25, 2021SHEIKH Farid Had, mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam visiwani Zanzibar (JUMIK) alipokuwa gerezani Zanzibar, ameeleza alitolewa...
By Yusuph KatimbaJune 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Regina MkondeJune 25, 2021BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...
By Masalu ErastoJune 25, 2021HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeJune 25, 2021TANZANIA na Shirika la Afya Duniani (WHO), wanatarajia kukaa meza moja ili kuangalia namna ya kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021MFANYABIASHARA ama mtoa huduma ambaye atabainika kuwepa kulipa kodi, akikamatwa atalazimika kulipa asilimia 100 ya kodi aliyotakiwa kulipa kama adhabu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021JUMLA ya watu 126 nchini Uganda wameripotiwa kufariki dunia ndani ya siku nne zilizopita kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJune 25, 2021SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi...
By Hamisi MgutaJune 24, 2021SERIKALI imeombwa kupitia upya mchakato wa ugawaji mali za iliyokuwa Jiji la Dar es Salaam, baada ya kuvunjwa na aliyekuwa Rais wa...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya mfumo wa kielektroniki, wa kufuatilia usambazaji wa dawa katika hospitali, vituo vya afya na...
By Regina MkondeJune 24, 2021MSANII wa HipHop nchini Tanzania, Webiro Wakazi Wassira maarufu ‘Wakazi,’ amesema ni muhimu kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Anaripoti Matilda Peter…(endelea). Amesema, anatamani...
By Hamisi MgutaJune 24, 2021Kuelekea mchezo wa kesho wa nusu fainali ya michuano ya kombe la FA (Azam Federation Cup) kati ya Yanga dhidi ya Biashara...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemuondoa kifungoni Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fedrick Mwakalebela, mara...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021JERRY Slaa, Mbunge wa Ukonga, jijini Dar es Salaam (CCM), amesema serikali imeingizwa mkenge katika pendekezo lake la kufuta adhabu ya asilimia...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla, amewataka wananchi mkoani humo kuchukua tahadhari ya maambukuzi ya corona (COVID-19), kwa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrais na Maendeleo (Chadema), yupo nchini Kenya kwa maandalizi ya uzinduzi wa kitabu chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutanguliza uzalendo wa kweli, ili kuisaidia Serikali na wananchi wa...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021MOHAMMED Said Issa, ameteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, kugombea Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 Julai...
By Regina MkondeJune 24, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi amemteuwa Arafat Ally Haji ambaye ni mjumbe wa kamati...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021MOJA ya nchi yenye mfumo bora katika elimu ni Indonesia. Kila mwaka hutenga zaidi ya asilimia 21 katika elimu peke yake. Anaandika Yusuph...
By Yusuph KatimbaJune 24, 2021NCHI Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), zimekubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi katika Jimbo la Cabo Delgado, Msumbiji. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 24, 2021MARA baada ya kukamilika hatua ya makundi ya michuano ya Euro 2020, hatimaye michezo ya 16 bora itaanza kupigwa siku ya Jumamosi,...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021KATIKA kuadhimisha kilele cha wiki ya utumishi wa Umma, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa shuka 431 katika vituo...
By Danson KaijageJune 24, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimishi ya kilele cha dawa za kulevya duniani tarehe 26 Juni...
By Danson KaijageJune 24, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe, amestaajabishwa na hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kushangilia Bajeti Kuu...
By Mwandishi WetuJune 24, 2021HASHIMU Rungwe, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) mwaka 2020, ameshauri Rais Samia Suluhu Hassan aifanyie...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021DAKTARI Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, ameshindwa kutoa malelezo kuhusu namna ya kulitoa Shirika la Ndege la Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021KUANZIA Jumatatu, tarehe 28 Juni hadi 11 Julai 2021, Bunge la Uganda litasitisha shughuli yake kutokana na hofu ya kuenea kwa virusi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021KATIBU Mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge, amevunja uongozi wa baraza hilo, kwenye majimbo...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, yupo Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021MAOFISA wandamizi katika jeshi la polisi na taasisi nyingine za umma nchini Tanzania, wanatuhumiwa kusaidia mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021TARATIBU za mazishi ya Rais mstaafu wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth David Kaunda zimeanza rasmi leo Jumatano, tarehe 23 Julai 2021...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), imeeleza, hakuna mgonjwa yeyote wa corona visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya (DC) wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo, umetangazwa jana Jumanne,...
By Mwandishi WetuJune 23, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua Sheha Mpemba Faki, kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo wa Konde, visiwani Zanzibar, unaotarajiwa kufanyika tarehe 18...
By Danson KaijageJune 22, 2021MARA baada ya kuteuliwa kuwa mabalozi wa kuamasisha ulipaji kodi na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, mwanandika Mbwana Samatta, mchambuzi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH)- Upanga na Mlonganzila, Mkoa wa Dar es Salaam, imeweka sharti kwa wananchi, wafanyakazi na wanafunzi wanaokuwa...
By Faki SosiJune 22, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kusuka upya uongozi wa umoja wake wa vijana (UVCCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 22, 2021Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utakaopigwa hii leo kati ya Simba dhidi ya Mbeya City, utakuwa na umuhimu kwa kila timu,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC), Antony Mtaka amewataka wakuu wa wilaya (DC), kufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kuachana na...
By Danson KaijageJune 22, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema, mwenendo wa utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita, katika kutenga fedha za miradi ya maendeleo,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021