SIKU 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, zimerudisha matumaini kwa Watanzania pamoja na kutibu waliokuwa na majeraha, hasa waliokutana na changamoto ya kesi za kubambikizwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).
Hiyo ni kauli ya Onesmo Ole Ngurumwa, Mratibu Mkazi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) alipozungumza na Mwanahalisi TV kuhusu siku 100 za uongozi wa rais huyo.
Jumapili tarehe 27 Juni 2021, Rais Samia anafikisha siku 100 za kuiongoza Tanzania, ni baada ya kuingia madarakani tarehe 19 Machi 2021, kufuatia kifo cha mtangulizi wake Hayati John Magufuli.
Fuatana na mahojiano haya kwa kubonyeza link haypo chini…
Leave a comment