May 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Kelvin John atua Genk

Kelvin John

Spread the love

 

MSHAMBULIAJI kinda wa Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) Kelvin John amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu na klabu ya KRC Genk, inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea).

Usajili wa mchezaji huyo umethibitishwa kupitia ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii Instagram wa klabu hiyo, ambapo atadumu hapo mpaka 2024.

Mchezaji huyo ambaye hapo awali alikuwa kwenye shule ya Mpira ya Leceister City ya nchini Uingereza kabla ya kutimiza umri wa miaka 18.

error: Content is protected !!