Wednesday , 22 May 2024

Month: September 2022

Kimataifa

Rais Xi hana mpango wa kufanya ziara Saudi Arabia

WAKATI vyombo vya habari vikiripoti kuwa nchi ya Saudi Arabia ipo kwenye maandalizi ya kumpokea Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Mkuu kuzindua kampasi ya CBE Mbeya Oktoba 8

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yafuta tozo za miamala ya kielektroniki

BAADA ya kilio cha zaidi ya mwaka mmoja kutoka kwa Watanzania na wadau mbalimbali, hatimaye Serikali imefuta tozo kwenye miamala ya kielektroniki uamuazi...

Habari Mchanganyiko

Benki NBC yakabidhi matenki ya maji sekondari Mbeya

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC)  imekabidhi msaada wa matenki ya maji manne ya ujazo wa lita 40,000 yenye thamani ya zaidi ya...

Habari Mchanganyiko

Benki ya NBC yakutana na wateja wake wakubwa wa Arusha

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa (Corporates) wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Panya road watikisa Bunge

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameiagiza serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti uhalifu unaoendelea kufanywa na vijana katika mikoa ya Dar...

Kimataifa

Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru waapishwa na Ruto

  HATIMAYE majaji sita ambao walikuwa wameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) nchini Kenya mwaka 2019 na majina yao kukataliwa na...

Elimu

Serikali yabanwa bungeni wanafunzi walioacha shule

  SERIKALI imeagiza maofisa elimu katika halmashauri zote nchini kusimamia na kutekeleza ipasavyo muongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi walioacha au kukatishwa masomo kwa...

Afya

Watoto milioni 14.6 wapatiwa chanjo ya polio

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...

Tangulizi

Mpina apinga uanzishwaji mahabusu za watuhumiwa dawa za kulevya

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amepinga uanzishwaji wa mahabusu za watuhumiwa wa dawa za kulevya pamoja na masharti ya kumuweka mtu...

Habari za Siasa

Spika Tulia ataka mauaji wivu wa mapenzi yasiripotiwe

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameshauri mauaji yanayosababishwa na watu wanaojichukulia sheria mkononi kutokana na sababu sambalimbali ikiwemo imani...

Habari Mchanganyiko

Maji chini ya ardhi ndio tegemeo – Mwinyi

  WAKATI mataifa kadhaa yanatumia raslimalifedha kubadilisha maji ya chumvi ili kupata maji ya matumizi ya nyumbani, Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aipongeza NMB, aipa maagizo

SERIKALI inaridhishwa na jinsi Benki ya NMB inavyozihudumia tawala za mikoa na serikali za mitaa pamoja na taifa kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Makala & UchambuziTangulizi

Kosa la Mwigulu ni nini?

  KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka kuwa...

Habari Mchanganyiko

Meena: Hukumu kwa vyombo vya habari zisiwe za kukomoa

  MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Nevile Meena, ameishauri Serikali ikamilishe mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia...

Habari za Siasa

Askofu Mwamalanga: Mawaziri wanatumia kamba vibaya

KAMATI ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu Dini nchini imemshauri Rais Samia...

Habari Mchanganyiko

Watu 116 mbaroni tuhuma za uvunjaji nyumba Dar

  WATU 116 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuvunja nyumba na uporaji wa mali...

Afya

Dk. Mpango ataka udhibiti dawa za kuhifadhi samaki

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...

Habari Mchanganyiko

Askofu mwingine Anglikana afariki dunia, Dk. Mwinyi amlilia

  ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, John Ackland Ramadhani amefariki dunia jana tarehe 12 Septemba, 2022 katika Hospitali ya Taifa...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto aanza na bandari Mombasa, mbolea, majaji

  SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...

Michezo

Sakata la idadi ya wachezaji wa kigeni laibuka bungeni

  SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amuahidi Ruto ushirikiano, awapongeza Wakenya kwa ukomavu kidemokrasia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuahidi Rais mpya wa Tano wa Kenya, Dk. William Ruto kufanya kazi kwa kushirikiana kwa karibu katika...

Habari za SiasaTangulizi

Haya hapa mambo matatu waliyoteta Rais Samia, Dk. Ruto

SAA chache kabla ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameteta na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye...

Tangulizi

LIVE: Ruto aapishwa rasmi kuwa Rais wa Tano Kenya

NI rasmi sasa Dk. William Samoei Ruto ndiye Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya, baada ya kuapishwa leo Jumanne tarehe 13 Septemba,...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ataka shule zitumie madereva wanawake kudhibiti ukatili

KUFUATIA wimbi la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi katika vyombo vya usafiri, Mbunge wa Hai (CCM), Saashisha Mafuwe, ameishauri Serikali iweke...

Habari Mchanganyiko

Serikali yabanwa bungeni mfumuko bei za vyakula

BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali bungeni, kuhusu mikakati yake ya kudhibiti mfumuko wa bei nchini hususa za vyakula. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Maswali...

Habari Mchanganyiko

Wabunge walilia haki ya faragha kwa wafungwa

SERIKALI ya Tanzania imeombwa kuweka mazingira yatakayowezesha wafungwa na mahabusu kupata haki ya faragha na wenzao wao, ili kutokomeza tabia ya baadhi yao...

Habari za Siasa

Mbunge viti maalumu CCM aapishwa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson leo tarehe 13 Septemba, 2022 amemuapisha Tamima Haji Abass kuwa mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aungana na viongozi 20 kuapishwa kwa Dk. Ruto

MACHO yote leo tarehe 13 Septemba, 2022 yanaelekezwa katika uwanja wa Kimataifa wa Moi, Kasarani Nairobi ambapo ndipo Dk. William Ruto ataapishwa kuwa...

KimataifaTangulizi

Mfalme Charles III ahutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza

Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Alitoa hotuba...

KimataifaTangulizi

Ruto, Kenyatta wakutana mara ya kwanza baada ya uchaguzi

RAIS mteule William Ruto leo Jumatatu tarehe 12 Septemba, 2022, amekutana na rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Rais Jijini Nairobi....

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijaji awataka vijana, wanawake kutoa mapendekezo itifaki ya biashara

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake na vijana kutumia Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo...

Habari Mchanganyiko

Wito nchi za Afrika kuondoa vikwazo visivyo vya kiushuru

ILI kuongeza wigo wa biashara miongoni mwa nchi za Afrika, wito umetolewa kwa nchi hizo kuondoa vikwazo visivyo vya kiushuru (NTB’s). Anaripoti Jonas...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yataka CAG kufanya ukaguzi maalumu fedha za tozo

CHAMA cha ACT Wazalendo, kimeitaka Serikali kupitia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kufanya ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za tozo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wagombea CUF bunge la EALA wachezeana rafu

WAGOMBEA Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia Chama cha Wananchi CUF wamedaiwa kuchezeana rafu baada ya baadhi yao kujipenyeza kwenye makundi ya wabunge na...

Habari Mchanganyiko

Maarifa ya asili yasaidia uhifadhi wa misitu

MAARIFA ya asili katika uhifadhi wa misitu, vyanzo vya maji na mazingira yamesaidia jamii ya wafugaji kata ya Enguserosambu wilayani Longido mkoani Arusha...

Habari za Siasa

Lipumba ateua viongozi wapya CUF

MWENYEKITI wa Chama Cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba  amemteua Rashid Sudi Khamis, kuwa Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa...

Habari Mchanganyiko

Samia ataka msukumo sayansi, teknolojia kwa vijana 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna haja ya vijana wa Afrika kuweka msukumo zaidi katika matumizi ya...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wanawake GGML wawafunda kitaaluma wanafunzi wa kike Geita

KATIKA jitihada za kuhakikisha jamii inanufaika kutokana na shughuli za uchimbaji dhahabu nchini, wafanyakazi wanawake wa Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

NMB yatoa mamilioni kudhamini  mkutano mkuu ALAT

BENKI ya NMB imechangia kiasi cha Sh120 milioni kufanikisha maandalizi na kufanyika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT)...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tanzania inajitosheleza kwa chakula

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi uwepo wa chakula cha kutosha licha ya mavuno hafifu katika msimu uliopita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheria ya bima ya afya kwa wote mbioni

SHERIA ya Bima ya Afya kwa wote inatarajia kupitishwa katika Bunge linaloanza mwezi huu wa Septemba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yameezwa leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

WAWATA wamlilia Samia njaa, bima ya afya

WAWATA wamlilia Samia njaa, bima ya afya MWENYEKITI wa Wanawake Wakatoliki Taifa (WAWATA), Evelyne Ntenga ameiomba Serikali kuweka mikakati madhubutu itakayowezesha upatikanaji wa...

ElimuHabari

Serikali yampongeza Dk. Rweikiza kuwekeza kwenye elimu

  SERIKALI imempongeza Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza kwa kuwekeza kwenye elimu na kusaidia jitihada za serikali kuboresha sekta hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Makada CCM 8 wapitishwa kuwania ubunge EALA

WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana wamewachagua wagombea nane kati ya 26 watakaokwenda kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe...

Kimataifa

Sangoma aliyetabiri kifo cha Malkia Elizabeth aibua mjadala

  WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...

MichezoTangulizi

Yanga, Simba wang’ara kimataifa

WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...

Kimataifa

harles III athibitishwa kuwa mfalme Uingereza

  BARAZA la Kukabidhi Mamlaka la Uingereza, limetangaza rasmi mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II, Charles Philip Arthur George, kuwa mfalme wa...

Michezo

Geita Gold FC. matumaini kibao wakiwavaa Wasudan

MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...

Habari Mchanganyiko

RC Mara ashangazwa maisha duni ya wachimbaji madini

  SERIKALI Mkoani Mara imeshangazwa na kitendo cha Wachimbaji wadogo wa madini ya Dhahabu wa Mgodi wa Ilasanilo uliopo Wilayani Butiama Mkoani Mara,...

error: Content is protected !!