Tuesday , 21 May 2024

Month: September 2022

Habari Mchanganyiko

Watoa huduma za afya ‘wanaolala’ wikiendi kikaangoni

WIZARA ya Afya imeanzisha kamati za kusimamia uadilifu ili kupunguza malalamiko ya wateja kwenye Hospitali ya Taifa, Hospitali Maalumu, hospitali za rufaa, za...

Habari Mchanganyiko

Mwongozo wafungwa Zanzibar kutoa malalamiko waja

CHUO cha Mafunzo Zanzibar, pamoja na wadau mbalimbali ikiwemo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kimekamilisha mchakato wa kupokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Padri kizimbani tuhuma udhalilishaji watoto kingono

PADRI wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Sostenes Bahati Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

Habari Mchanganyiko

Mgodi mkubwa wa dhahabu kuanzishwa Sengerema

MKUU wa mkoa wa Mwanza, Adam Malima, amesema Serikali imeingia kwenye makubaliano na kampuni ya OA Coal ambayo itajenga mgodi wa pili kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bibi wa miaka 85, ahofiwa kudhulumiwa ardhi yake 

BIBI wa miaka 85 Tumu Haji Mbonde, anahofia kuporwa ardhi yake ya hekari tano iliyoko kijiji cha Mgomba Kaskazini, wilayani Ikwiriri mkoa wa...

Habari Mchanganyiko

NMB yashinda tena Tuzo ya Benki Bora wateja binafsi Tanzania

  Kwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi wa kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana na ubora wa...

ElimuHabari

Serikali yaipongeza St Anne Marie kwa kutochuja wanafunzi, Yaahidi kuendelea kuongoza Dar/kitaifa

  SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Jinsi Mbatia alivyozuiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari

IKIWA ni siku moja tangu kupinduliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, leo amekutana na zengwe jingine baada ya kuzuiwa kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia atimuliwa, Selasini Makamu Mwenyekiti mpya NCCR Mageuzi

MKUTANO Mkuu wa dharura wa Chama cha NCCR -Mageuzi uliofanyika leo tarehe 24 Septemba, 2022 umemtimua aliyekuwa mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia...

Habari za SiasaTangulizi

Othman, ujenzi wa Chama imara silaha kuu ya kushinda uchaguzi 2025

  MAKAMU Mwenyekiti Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Massoud Othman amewataka wanachama kuimarisha chama chao ili kuwa imara zaidi hatimae kuibuka na ushindi katika...

Habari za SiasaTangulizi

Selasini, wenzie wakaidi amri ya Mahakama, wafanya mkutano

  LICHA ya Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam kuweka amri ya zuio la muda la kutofanyika kwa mikutano ya Chama cha...

Kimataifa

Rais Benki ya Dunia agoma kujiuzulu

  RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....

Habari Mchanganyiko

167 mbaroni kwa tuhuma za kuvunja nyumba, kuiba

  JESHI la Polisi nchini, limewakamata watu 167 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kuvunja nyumba za raia, kujeruhi na kuiba mali. Anaripoti Regina Mkonde,...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mkutano wa SCO ni suluhu la ubinafsi na kukidhi haja ya unganiko hilo?

  INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yamwomba Rais Samia kuingilia kati mgogoro wao

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametakiwa kuingilia kati mgogoro wa kiongozi uliobuka ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Tulia ataka kibano waajiri wasiopeleka michango mifuko hifadhi jamii

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Serikali iweke utaratibu mzuri wa kusimamia mifuko ya hifadhi ya jamii, ili iwabane waajiri wasiowasilisha michango...

Habari za Siasa

Majaliwa aahirisha Bunge, miswada minne na maazimio mawili yapitishwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameahirisha shughuli za Bunge hadi tarehe 1 Novemba 2022,zitakaporejea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Majaliwa ameahirisha...

Habari za Siasa

Tanzania yaijibu UN kuhusu mradi bomba la mafuta

SERIKALI ya Tanzania, imeendelea kusisitiza kuwa, ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), litakalosafirisha nishati hiyo kutoka Hoima nchini Uganda,...

Habari za Siasa

Miswada sheria bima afya kwa wote, ulinzi taarifa binafsi yatinga bungeni

SERIKALI ya Tanzania imewasilisha na kusoma mara ya kwanza miswada ya sheria mbalimbali, ikiwemo Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote na Sheria...

Habari za Siasa

Sheria ya Uwekezaji ya 1997 kufutwa

SERIKALI ya Tanzania imewasilisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji, uliosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni wenye malengo mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uwekezaji...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu:Mashauri ya kodi ya Trilioni 360/- yalifutwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mashauri ya kikodi ya Sh 360 trilioni yalifutwa kufuatia makubaliano ya Serikali na kampuni...

Michezo

NMB yadhamini milioni 25 michuano ya Golf- Lugalo

BENKI ya NMB imetoa udhamini wa Sh. milioni 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2022), kama...

Habari Mchanganyiko

Wadhamini NMB Marathon watambulishwa rasmi

WIKI moja kabla ya kufanyika ya mbio za hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini...

HabariMichezo

Michezo mwezi Oktoba, Simba ni jasho na damu

  IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...

Habari za Siasa

Bunge lapitisha muswada sheria za fedha

BUNGE la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali za fedha wa 2022, wenye lengo la kurekebisha sheria zinazosimamia kodi na mrabaha,...

Michezo

Umemsikia Mayele, hana wasiwasi na Al Hilal

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

Habari Mchanganyiko

Kigogo UTPC ateta na THRDC

MKURUGENZI mpya wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Keneth Weston, amefanya mazungumzo na Mtandao wa Watetezi wa Haki za...

Habari za SiasaTangulizi

Hawa hapa wabunge Afrika Mashariki, Spika Tulia awapa maagizo

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wabunge tisa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kusimamia maslahi ya Tanzania pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Wavunaji mkaa watakiwa kufuata sheria, kanuni na taratibu

SERIKALI imewataka wananchi wanaofanya biashara ya mkaa kufuata sheria, kanuni na taratibu kwa kuwa kumekuwepo na wimbi la uvunaji wa mazao ya misitu,...

Habari za SiasaTangulizi

Msukuma awavunja mbavu wabunge akiuliza swali kwa kimombo

MBUNGE wa Geita Mjini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, ameibua vicheko bungeni, huku baadhi ya wabunge wakimtunza fedha, kufuatia hatua yake ya kumuuliza swali Mhandisi...

Habari Mchanganyiko

Akamatwa akisafirisha kilo 158 za mirungi Arusha

JESHI la Polisi mkoani Arusha limemkamata, Benson Emmanuel (28), akisafirisha  shehena ya madawa ya kulevya aina ya mirungu yenye uzito wa kilo 158.5...

Habari za Siasa

Ado Shaibu ‘ateka’ Bunge uchaguzi EALA

KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, ‘ameteka’ uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kufuatia hotuba yake na...

Habari za Siasa

Dk. Mkumbo aibana Serikali kulipa fidia wanaopisha mradi wa mwendokasi

MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameitaka Serikali iwaruhusu wananchi 90 wa Ubungo Kiswani, waendelee na shughuli zao kama kawaida, baada ya kuchelewa...

Habari za Siasa

Mbunge: Polisi Liwale hawana jengo kwa miaka 47

MBUNGE wa Liwale, Zubeir Kuchauka (CCM), amesema Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, haina jengo la Kituo cha Polisi kwa muda miaka 47, badala...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina aibana Serikali bungeni fedha za makinikia, Spika atoa agizo

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibana Serikali bungeni, kuhusu hatma ya kesi 1,097 za malimbikizo ya kodi yenye thamani ya Sh. 360 trilioni...

Afya

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Shaka: Muungano ni ngao ya Taifa

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesema chama chochote cha cha siasa chenye shauku ya kuvunja Muungano au viongozi wake wakipania kuligawa Taifa huo si ushujaa...

Habari Mchanganyiko

Vikawe wamuangukia Aweso utata mradi wa maji

BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Vikawe Shule, Kata ya Pangani, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wamemuomba Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuingilia...

Burudika

Man Mo; Mkali aliyetajwa na Hayati Magufuli mkutanoni

KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...

Makala & Uchambuzi

Madiwani Moshi wadaiwa kuunda mtandao wa kula rushwa, kuruhusu ujenzi holela

NI KASHFA! Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kilichojiri mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi mjini ambapo madiwani wa Kata nne za manispaa hiyo, wamedaiwa...

Habari Mchanganyiko

Chama cha Mawakili wa Umma mbioni kuanzishwa

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Eliezer Feleshi, amesema mwaka huu wataanzisha chama cha mawakili wa umma Tanzania (public bar association) ili kukuza kiwango na...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachukua tahadhari mlipuko wa Ebola Uganda

KUFUATIA mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchi jirani ya Uganda, Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu wananchi wake kwa kueleza kuwa hakuna kisa hata...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia, Nyusi wakubaliana kuongeza ushirikiano usalama, ulinzi

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Msumbiji, Filipe Nyusi wamekubaliana kushirikiana katika eneo la ulinzi na usalama ili kuondokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi CCM Rukwa watwangana makonde

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Rainer Lukala, anadaiwa kumtwanga ngumi Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM)...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wailipua LATRA kwa kushindwa kusimamia Ubber, Bolt

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo, Jasson Rweikiza amesema baadhi ya kanuni za sheria ndogo zilizotungwa na kutumiwa Mamlaka ya Udhibiti...

Habari za SiasaTangulizi

Zungu; Baada ya kupendekeza tozo miamala, ageukia intaneti

BAADA ya kufanikiwa kuishawishi Serikali kwa hoja yake ya kutaka kuwepo kwa tozo za miamala ili kuongeza mapato, Naibu Spika na Mbunge wa...

Burudika

Netta, Mr Eazi waangusha kolabo kali ‘Playground Politica’

MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...

Habari Mchanganyiko

GGML, RC Geita wazindua mpango wa upandaji miti

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Halmashauri ya Mji wa Geita...

Michezo

Majaliwa mgeni rasmi mbio za NMB Marathon 2022

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za NMB Marathon 2022 yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi katika viwanja vya...

Habari Mchanganyiko

Msigwa: Mchakato marekebisho ya sheria unakwenda vizuri

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari nchini, unaendelea na kwamba umefikia...

error: Content is protected !!