Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Mfalme Charles III ahutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza
KimataifaTangulizi

Mfalme Charles III ahutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza

Spread the love

Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Alitoa hotuba yake katika ukumbi wa Westiminster uliopo jijini London mbele ya umma wa watu 1,000 ukijumuisha wabunge na wageni wao baada ya wabunge kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mama yake aliyekuwa malkia wa Uingereza, Elizabeth.

Mfalme Charles na mkewe Camilla, Malkia wa Consort wanasafiri kwenda Edinburg leo tarehe 12 Septemba, 2022 ambapo mfalme atajiunga na ndugu zake kuendelea na shughuli nyingine za mazishi ambapo jeneza lenye mwili wa mama yake utapelekwa kwenye kasri la Holyroodhouse makazi maalumu ya ufalme wa Uingereza ya Scotland kwenda kanisa la mtakatifu Giles.

Mwili wa malkia Elizabeth utawekwa katika kanisa ambapo umma utaruhusiwa kutoa heshima za mwisho.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Spread the loveRais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia...

Habari za SiasaTangulizi

Wizara Katiba na Sheria yaliomba Bunge Sh. 441.2 bilioni

Spread the love  WIZARA ya Katiba na Sheria imeliomba Bunge liidhinishe bajeti...

error: Content is protected !!