NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa Watanzania, wananchi wa mkoa wa Geita, mikoa jirani na wachimbaji wadogo kwa ujumla kutembelea banda la maonesho la Tume ya Madini ili kupata elimu ya namna wanavyoweza kunufaika kwenye Sekta ya Madini sambamba na kupata majibu ya kero zao. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea).
Mbibo ametoa wito hu oleo tarehe 28 Septemba, 2022 alipotembelea banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita.
Maonyesho hayo ya tano ya kitaifa ya teknolojia ya madini kwa mwaka huu yamebeba kauli mbiu ya “Madini na fursa za uchumi ajira kwa maendeleo endelevu”.
Leave a comment