Tuesday , 7 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Wassira: Ni aibu bandari Dar kudorora
Habari za SiasaTangulizi

Wassira: Ni aibu bandari Dar kudorora

Spread the love

MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema itakuwa ni aibu kwa Serikali iwapo itashindwa kuchukua hatua ya kuboresha ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Akizungumza leo tarehe 29 Julai 2023 katika viwanja vya Kawe jijini Dar es Salaam Wasira amesema wanazungumzia zaidi uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam kwa sababu imekuwa na ufanisi mdogo.

“Bandari ya Dar es Salaam inahudumia tani milioni 18 kwa mwaka, reli ya kati ikikamilika itakuwa na uhitaji tani milioni 25, reli ya Tazara ikiboreshwa pia itabeba tani milioni tano kwa mwaka. Jumla ni tani milioni 30 kwa mwaka lakini bandari hii nahudumia milioni 18 chini ya nusu ya mahitaji,” amesema Wasira.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifa

Israel yatia shubiri Gaza wakisherehekea Hamas kusitisha mapigano

Spread the loveWAKATI kundi la Hamas huko Gaza likitangaza kuridhia pendekezo lao...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wanaotaka kujifunza ZEC kwao kukoje?

Spread the loveMKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Biteko, Nape wanadanganya?

Spread the loveKWA mila na desturi zetu za Kiafrika mkubwa huwa hakosei,...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Miamka 60 ya Muungano: Tunakwama wapi?

Spread the loveRAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hasssan, Ijumaa iliyopita, aliongoza mamilioni...

error: Content is protected !!