Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Biashara Vodacom kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom Afrika 
Biashara

Vodacom kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom Afrika 

Spread the love

 

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Plc imepata tuzo ya kuwa  kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mkurugenzi wa Miundombinu na Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc, Andrew Lupembe (kushoto) na Mkurugenzi wa TEHAMA, Athumani Mlinga (kulia) wakipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya Usalama Mtandaoni wa Vodacom Tanzania PLC, Joel Kazyoba (kulia) akipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya Usalama Mtandaoni wa Vodacom Tanzania PLC, Joel Kazyoba (wa pili kulia) akipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam. Wakifurahia tukio hilo kwa pamoja kushoto ni Mkurugenzi wa Miundombinu na Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Bw. Andrew Lupembe na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA, Athumani Mlinga.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya...

Biashara

Promosheni ya bil 1 kutoka Meridianbet kasino, cheza na ushinde zawadi kubwa

Spread the love  INGIA katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Equity Bank yaendelea kusotea mabilioni ya fedha mahakama rufani

Spread the loveBENKI za Equity ya Tanzania na Kenya, zimeendelea kupambana mahakamani...

error: Content is protected !!