Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Habari Kimataifa Ukosefu wa ajira kwa vijana wa China ni tishio kiasi gani kwa serikali
Kimataifa

Ukosefu wa ajira kwa vijana wa China ni tishio kiasi gani kwa serikali

Spread the love

 

WAKATI takwimu zikionesha kuwa kijana mmoja kati ya watano ndio anayepata ajira nchini China inaelezwa kuwa kiwango cha ukaidi cha vijana wasio na ajira nchini humo kinaweza kuichagiza serikali kuchukua hatua, Imeripotiwa na Bloomberg … (endelea).

Kufikia sasa, Beijing imekuwa ikitoa ahadi tupu ikiwa kuna wasiwasi wa uchumi kushuka kwa kasi.

Wachambuzi wanaeleza kuwa haya yanajili baada ya miezi saba ya kutoka kwenye janga la Covid 19.

Pamoja na hayo yote kuchomoza Chama cha Kikomonisti kinaonekana kuzingatia zaidi utulivu wa kijamii.

Mwaka 2008 wakati wa mgogoro wa kifedha duniani, China ilitekeleza mpango wa kutenga Yuan trilioni 4 (dola bilioni 558) ili kuunda malipo kwa wafanyakazi wahamiaji milioni 20 ambao walikuwa wameachishwa kazi.

Hasara za kazi na mizozo ya mishahara ilisababisha ongezeko kubwa la maandamano makubwa, haswa kwenye ukanda wa utengenezaji wa mashariki.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Wadukuzi wa Kichana waiba barua pepe 60,000 za Serikali ya Marekani

Spread the loveWADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani...

Kimataifa

Mahakama yamkuta na hatia Donald Trump

Spread the love  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

Spread the love  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

Spread the love  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni...

error: Content is protected !!