Tuesday , 21 May 2024

Month: February 2024

Habari za SiasaTangulizi

Samia amlilia Rais Namibia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Hage Gottfried Geingob kilichotokea leo Jumapili...

Habari Mchanganyiko

Polisi wachunguza kifo mkuu wa kituo aliyedaiwa kuuawa na polisi

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limetangaza kuendelea kufanya uchunguzl wa tuklo la mauaji ya Mkuu wa kituo kidogo cha Polisi Chiungutwa Wilaya ya...

KimataifaTangulizi

Rais wa Namibia amefariki dunia

HAGE Gengob, Rais wa Namibia, amefariki dunia wakati akipokea matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Makamu wa...

Michezo

Utamu wa maokoto upo hapa ndani ya Meridianbet

JUMAMOSI ya maokoto imefika ambapo leo hii ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea ambapo wewe una nafasi ya kujipigia maokoto hayo kwa kubashiri mechi hizo...

Habari za Siasa

Samia awaita wawekezaji, ‘sekta hii ina faifa kubwa”

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaita wawekezaji wa sekta binafsi kuja kushirikiana na serikali katika sekta ya uchimbaji gesi asilia. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Wabunge CCM wafunguka miswada uchaguzi kupitishwa bungeni

BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kukubali marekebisho ya sheria za uchaguzi imeonesha...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema kuwasilisha muswada binafsi bungeni kudai katiba mpya

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani, amesema anakusudia kuwasilisha bungeni muswada binafsi wa kudai ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya. Khenani amenuia...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Mwinyi alazwa hospitali

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaripoti...

Biashara

Safari na Meridianbet kasino kutimiza ushindi wako

  MERIDIANBET Inakuletea mchezo kasino mtandaoni wa kushangaza ambao utakushangaza kwa jinsi. Unakaribishwa kukutana na Vikings ambao watakupatia bonasi za kasino mtandaoni za kushangaza. Ni...

Kimataifa

Mlipuko wa gesi wauawa 2, wajeruhi 222

MLIPUKO wa gesi umeuwa watu wawili huku wengine 222 wakijeruhiwa, jijini Nairobi, nchini Kenya. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa mitandao ya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka mikopo ya halmashauri irejeshwe kuwaepusha wanawake na kausha damu

MBUNGE Viti Maalum mkoani Tanga (CCM), Mwantum Zodo, ameiomba Serikali irejeshe mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum hususan wanawake, ili kuepusha na...

Habari za Siasa

Mbunge aichongea wizara ya maji kwa Samia, Spika atoa maagizo

MBUNGE wa Momba (CCM), Condester Sichalwe, ameichongea Wizara ya Maji kwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akidai imeshindwa kutekeleza agizo lake la kutatua...

Habari Mchanganyiko

Ulanga wapigwa msasa kuhusu elimu ya sheria

KATIKA kuadhimisha wiki ya sheria nchini, Mahakama ya Wilaya Ulanga imetoa elimu ya sheria kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Simai amjibu Rais Mwinyi “Nilisema ukweli”

NI ‘majibizano’! Ndivyo uanavyoweza kutafsiri kile kinachoendelea kati ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi amgusa Simai, “atakayejiuzulu aseme ukweli”

RAIS Dk. Hussein Mwinyi ameapisha mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni huku akiasa kwa anayeamua kujiuzulu “aseme ukweli.” Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar…(endelea). “Kujiuzulu si...

Biashara

Mfahamu shujaa wa Roma ndani ya Meridianbet kasino 

    KAMA umekuwa unapendelea mambo na historia za kale, basi kuna jambo lako pale Meridianbet kasino ya mtandaoni. Mara hii unakaribishwa kwenye...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwigulu: Ushirikiano mzuri umestawisha sekta ya madini Tz

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Serikali na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu, mkewe mbaroni kwa kumficha mtoto (8)

JESHI la polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Baraka Mwashihuya mkazi wa kitongoji cha Tazara – Mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi...

AfyaTangulizi

Wanawake walalamikia ukubwa kondomu za kike, waomba zipunguzwe

Wataalamu wa afya wilayani Ileje mkoani Songwe wameagizwa kuanza kutoa elimu ya matumizi sahihi ya kondomu za kike ambazo zimelalamikiwa na  baadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yabanwa mgawo wa umeme, yaomba uvumilivu hadi Feb. 16

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaomba Watanzania waendelee kuvumilia makali ya mgawo umeme hadi tarehe 16 Februari mwaka huu ambapo majaribio ya...

error: Content is protected !!