Tuesday , 21 May 2024

Month: February 2024

Habari Mchanganyiko

Serikali yasaka wawekezaji uzalishaji sukari

  SERIKALI imeanza utekelezaji mikakati ya kutafuta wawekezaji kwenye sekta ya uzalishaji sukari ili kukabiliana na upungufu wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Mgawo wa umeme kuisha Machi, Bunge laongezea muda

  MGAWO wa umeme nchini unatarajiwa kumalizika Machi 2024, baada ya mtambo namba tisa wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mzee Mwinyi aendelea na matibabu chini ya uangalizi wa madaktari

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, anaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari, huku familia ikiwaomba Watanzania wamuombee...

Michezo

Leo ni Alhamisi ya Ligi ya UEFA Conference

ALHAMISI ya leo itakua ya neema kwa wateja wa Meridianbetkwani michezo ya Uefa Conference league itakwendakupigwa ambayo itakuwezesha wewe mteja lupiga mkwanjawa kutosha kupitia...

Biashara

Chronicles of Olympus 2 Zeus, sloti yenye historia ya Ugiriki

  MBELE yako ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana...

Michezo

Alhamisi nyingine hii hapa kwa ajili ya Ligi ya EUROPA 

  BAADA za kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa siku hizi mbili, leo hii ni siku ya EUROPA LEAGUE hatua ya 16 bora...

Habari za Siasa

Mamia waupokea mwili wa Lowassa kimyakimya nyumbani kwake

  HATIMAYE Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili nyumbani kwake Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kutoka jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awakaribisha Dk. Slaa, Mwabukusi Chadema

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, amemkaribisha aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa, arejee...

BiasharaHabari za Siasa

Serikali yavutiwa na mpango wa Vodacom wa ‘Code like a Girl’

  SERIKALI imevutiwa na mpango wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania wa ‘Code like a Girl’ na kuahidi kujenga chuo maalum kitachofundisha...

Habari za Siasa

Mwili wa Lowassa wawasili Arusha, vilio vyatawala

  MWILI wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili mkoani Arusha, kwa ajili ya kupelekwa nyumbani kwake Monduli, ili...

Habari za Siasa

Malaigwanan waomba Lowassa azikwe kimila

  VIONGOZI wa kimila wa jamii ya Wamasai (Malaigwanan), wameomba aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, azikwe kimila kwa kuwa enzi za...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sina doa na Lowassa

  MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye alikuwa kinara kumtuhumu kwa ufisadi aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana doa...

Habari Mchanganyiko

Bashungwa acharuka barabara kuharibika kabla ya muda

WAZIRI  wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kutafuta ufumbuzi kuhusu suala la kuharibika kwa barabara kabla ya muda uliopangwa...

Michezo

Jumatano ya kupigwa mkwanja kwenye usiku Ulaya 

  LIGI ya mabingwa ulaya itaendelea leo katika viwanja mbalimbali barani ulaya ambapo itakujia na ODDS KUBWA kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa...

Biashara

Cake & Ice Cream kasino mtandaoni ushindi x2500

  HAKUNA mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki,...

Habari za Siasa

Chadema yawaita CCM kwenye maandamano

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wanachama wa vyama vya siasa hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM), kushiriki maandamano waliyoyaandaa kupinga ugumu wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Askofu Malasusa awataka viongozi wa kisiasa kumrudia Mungu

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amewataka viongozi wa kisiasa kufanya ibada kulingana na imani zao ili...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaiamuru Serikali kuwalipa mamilioni wakazi Loliondo kwa kutaifisha mifugo yao

SERIKALI imeamriwa kuwalipa kiasi cha Sh. 169.2 milioni, baadhi ya wakazi wa Loliondo  mkoani Arusha, kama fidia ya kutaifisha mifugo yao kinyume cha...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaamuru nyumba ya Mbowe ipigwe mnada

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Chegeni adai ajali za kisiasa zimefupisha maisha ya Lowassa

Mbunge wa zamani wa Busega na rafiki wa karibu aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, Dk. Raphael Chegeni (CCM) amesema huenda mwanasiasa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujumbe wa Kwaresma: TEC walia na malezi katika familia, viongozi wasiowaadilifu

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kumuenzi Lowassa kwa maandamano

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ataongoza maandamano ya amani ya kudai katiba mpya, ili kumuenzi aliyekuwa mgombea...

Michezo

Shinda na Meridianbet leo mechi hizi za UEFA

LEO hii ligi za Mabingwa barani Ulaya yani UEFA inarejea kwa kasi za kimbunga hatua za 16 bora huku ODDS za michezo hiyo...

Habari za Siasa

Dk. Mpango aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa Lowassa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaongoza viongozi na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri...

Biashara

20 Imperial Crown ushindi kiganjani kwako 

  HATIMAYE Meridianbet Kasino Mtandaoni imekuja na mchezo mwingine wa matunda ambao kiukweli kama ukianza kucheza huwezi kujutia muda wako, mchezo huu wa...

Michezo

Olori aachia EP ya kwanza chini ya Davido

STAA wa muziki nchini Nigeria, Logos Olori ametoa albamu yake fupi (EP) akiwa chini ya lebo ya mwanamuziki nyota nchini humo, Davido. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Askofu aonya jamii kutokwepa kuwahudumia walemavu

Wito umetolewa kwa jamii ya Watanzania kutokwepa wajibu wa kuwahudumia watu wanaoishi na ulemavu sambamba na kuhakikisha kuwa kundi hilo linapata mahitaji mbalimbali...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Lowassa yafunguka, yamtaja Rais Samia

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, imesema kiongozi huyo mstaafu alipigania uhai wake kabla ya mauti kumkuta. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: Tumejifunza kwa Lowassa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema yapo baadhi ya masuala kimejifunza kutoka kwa aliyekuwa kada wake na waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Lowassa ameacha alama

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema Lowassa alikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ameacha alama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba aeleza alivyomtuliza Lowassa baada ya kukatwa CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Edward Lowassa alikuwa kiongozi mwenye hekima na mvumilivu na kwamba hata alipokejeliwa na kuchafuliwa hakurudisha...

Elimu

Takukuru wambana Mwalimu mkuu, atema bungo

Mwalimu Mkuu wa shule msingi Hanihani, kata ya Igunga wilayani Igunga mkoani Tabora, Joseph Luyega aliyekuwa anatuhumiwa na baadhi wa wazazi wanaosomesha watoto...

Habari za SiasaTangulizi

Mamia wajitokeza kumuaga Lowassa Karimjee

MAMIA ya watu wamejitokeza katika Viwanja vya Karimejee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaitega CCM kuhusu Lowassa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumuenzi Hayati Edward Lowassa, kwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji katiba...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika ataja sababu kumpinga Lowassa Chadema

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema sababu ya kupinga chama chake kumsimamisha Hayati Edward Lowassa kugombea urais...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx Gas yatimiza ombi la Dk. Mwinyi, yagawa mitungi 1,000 Z’bar

KAMPUNI ya gesi ya Orxy imetekeleza maombi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kupeleka mitungi ya gesi...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete akwepa kuzungumzia alivyomuengua Lowassa 2015

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa swahiba mkubwa wa Hayati Edward Lowassa kiasi cha kupewa jina la ‘Boys II Men,’ amekwepa kuzungumzia namna...

Habari za Siasa

Rais Samia akutana na Papa Francis

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu tarehe 12 Februari 2024 amekutana na Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika mji wa...

Biashara

Fuata nyayo za utajiri ukicheza kasino ya Cobra Queen 

  Meridianbet Kasino Mtandaoni utapata fursa ya kufurahia mchezo uliochochewa na mandhari maarufu zaidi. Unaweza kufikiri ni nini? Bila shaka, ni kuhusu Misri...

Habari za Siasa

Zitto: Tumeridhishwa marekebisho sheria za uchaguzi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeonesha kuridhishwa na marekebisho yaliyofanyika katika sheria za uchaguzi, kikisema masuala sita kati ya 10 yaliyopendekeza katika mchakato huo, yalijumuishwa...

Habari za Siasa

Zitto ataja mambo 3 mwiba kwa Taifa

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Serikali kama haitatatua changamoto sugu zinazowakabili wananchi hususan ugumu wa maisha, migogoro ya ardhi na ukosefu wa ajira kwa...

Habari za Siasa

Mbunge ataka kibano wanaume wanaotelekeza watoto

SERIKALI imetakiwa kuweka mkazo katika utekelezaji sheria zinazowaadhibu wanaume wanaotelekeza familia zao hasa watoto waliozaliwa mapacha kuanzia watatu, ili kuhakikisha wanawake hawabebi mzigo...

Habari za Siasa

Mbunge aonya ongezeko la utasa kwa mabinti kisa matumizi ya P2

MBUNGE Viti Maalum, Dk. Thea Ntara ameitaka Serikali kutoa elimu kwa mabinti juu ya athari za matumizi holela ya dawa za dharura za...

Biashara

NMB Pesa Day yatikisa, Weka na Ushinde yazinduliwa

MAELFU ya wananchi wa wilaya ya Temeke, hususani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake, wamefurika vilivyo katika Tamasha la Kuhamasisha Ufunguaji wa Akaunti...

Biashara

Jumatatu ya maokoto na Meridianbet imefika

  BAADA ya kushuhudia mechi mbalimbali wikendi hii zikipigwa, leo hii pia kuna timu zitakuwa viwanjani kusaka pointi 3 muhimu kuanzia kule Uingereza...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuongoza mazishi ya Lowassa Februari 17

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli...

Michezo

Nigeria vs Ivory Coast kueleweka leo

UTAMU wa Fainali ya AFCON kule nchini Ivory Coast ni leo ambapo katika Dimba la Alassane Ouattara Kombe litakuwa likiwaniwa kati za Nigeria...

Habari Mchanganyiko

Bodi mpya NEEC yapewa ujumbe mzito

NAIBU Waziri  wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga amewataka wajumbe wa Bodi ya Saba ya Baraza la...

Habari za Siasa

Babu Duni amlilia Lowassa, akumbuka walivyoshinda uchaguzi 2015

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji ‘Babu Duni’ ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 alikuwa Mgombea Mwenza wa Hayati Edward,...

error: Content is protected !!