Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Michezo Nigeria vs Ivory Coast kueleweka leo
Michezo

Nigeria vs Ivory Coast kueleweka leo

Spread the love


UTAMU wa Fainali ya AFCON kule nchini Ivory Coast ni leo ambapo katika Dimba la Alassane Ouattara Kombe litakuwa likiwaniwa kati za Nigeria dhidi za Ivory Coast saa 5:00 usiku, ambapo kila kitu ikilitolea macho taji hilo.

Imekuwa ni michuano ya kushangaza sana hasa baada ya wale ambao walitarajiwa kufika mbali wakatolewa kwa kushangazwa akiwemo Egypt ambae ni bingwa mara 7 wa michuano hii, Ghana ambaye alisumbua Kombe la Dunia, Morocco ambao alikuwa ni mshindi wa 4 Kombe la Dunia lilipoita, Senegal ambae alikuwa ni bingwa mtetezi wa Kombe hili la AFCON, Algeria na wengine wengi.

Ikumbukwe kuwa Nigeria ambao kwasasa wapo chini ya kocha mkuu Jose Peseiro ni washindi wa Kombe hili mara tatu ambalo walilichukua mwaka 1980, 1994 na mwaka 2013, huku Ivory Coast chini ya kocha mkuu kwasasa Emerse Fae wao wakichukua kombe hili mara mbili pekee Mwaka 1992, na 2015.

Ndugu mteja ukiendelea kuchanganua nani wa kumpa ushindi kwenye Fainali meridinabet wanakwambai cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine kibao sasa. Ingia na ucheze.

Na sasa ndugu mteja wa Meridianbet tunaenda kuangalia ni kwa namna gani timu hizi mbili Nigeria au kwa jina jingine THE SUPER EAGLES na Ivory Coast kwa jina lingine THE ELEPHANTS walivyofika kwenye hatua hiyo ya Fainali ya AFCON msimu huu kuanzia hatua ya makundi.

HATUA YA MAKUNDI

Kwanza kabisa timu hizi zilikuwa kwenye kundi 1 kwenye michuano hii ya AFCON ambalo lilikuwa ni Kundi A, ambalo lilikuwa na timu nne ikiwemo Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Ivory Coast pamoja na Nigeria wenyewe.

Kwenye kundi hilo Nigeria alishika nafasi ya pili baada ya kupata pointi 7 akishinda mechi 2 na kutoa sare 1, huku The Elephants wao wakishinda mechi 1 na kupoteza mechi mbili na kupita kwenye 16 bora kama “BEST LOOSER”

Lakini walivyokutana wao kwa wao Nigeria alishinda mechi hiyo dakika ya 55 baada ya kupata mkwaju wa penati ambao ulifungwa na captain wao Troost-Ekong na kuiptaia timu yao alama 3.

HATUA YA 16 BORA

Ndani ya 16 bora sasa mambo yalikuwa ni moto zaidi ambapo kila timu ilihitaji kushind ambapo Nigeria yeye alipangwa kukipiga dhidi ya Cameroon ambao nao walikuwa ni moja ya timu walipigiwa upatu wa kushinda taji hili lenye thamani kubwa Afrika.

Lakini The Super Eagles walionyesha ukubwa wao kwa kumchapa Camroon kwa mabao 2-0 dakika 90 za mchezo huku mabao hayo yakifungwa na Ademola Lookman mchezaji ambaye anakipiga kule Atalanta ya Italia.

Wakati kwa upande wa Ivory Coast mwenyeji wa michuano hii hatua hiyo alipangwa na na bingwa mtetezi wa michuano hii Senegal ya Sadio Mane ambapo takribani watu wengie walimpa nafasi kubwa Msegali kuondoka na ushindi. Lakini mechi ikawa tofauti na matarajio ya watu baada ya kuishna 0-0 dakika 90 za mchezo na hatimyae kwenda matuta.

The Elephants hatimaye walitinga hatua ya Robo Fainali baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 5-4 na kushangaza walio wengi na kusema kweli mpira ni dakika 90 na filimbi ya mwisho ndiyo itaamua nani ni nani.

HATUA YA ROBO FAINALI

Kwenye hatua hii mechi zilikuwa kali sana kutokana na timu ambazo zilikuwa zimetinga kwenye hatua hii ya Robo Fainali kwani Nigeria yeye safari hii alikutana na Angola ambaye alimchapa bao 1-0 ndani ya dakika 90 za mchezo.

Ivory Coast yeye alikipiga dhidi ya Mali ambao walionekana kuwa wabishi sana kutokana na kikosi ambacho walikuwa nacho. Lakini vijana wa Fae walikuwa wabishi baada ya kushinda kwenye muda wa ziada kwa 2-1 licha ya kuwa na kadi nyekundu 1.

HATUA YA NUSU FAINALI

Nigeria yeye alishinda kwa mikwaju ya penati 4-2 hatua za Nusu Fainali baada ya kwenda dakika 90 kwa bao 1-1 dhidi yaSouth Africa pongezi zikienda kwa Golikipa wao Nwabi ambaye aliokoa penati tatu. Huku Ivory Coast wao wameingia Fainali baada ya kuichapa DR Congo kwa bao 1-0 dakika 90 za mchezo bao ambalo lilifungwa na Sebastian Haller.

Baada ya kushuhudia mechi mbalimbali za AFCON 2023 sasa tamati ni leo tarehe 11 Februari saa 5:00 usiku katika Dimba la Alassane Outtara ambapo Nigeria atazichapa dhidi ya Ivory Coast huku timu zote zikiwa na hamu ya kuchukua Kombe hili 2023.

Nigeria wachezaji wa kuchungwa ni pamoja na Victor Osimhen, Ademola Lookman, Simon, Iwobi na wengine wengi. Huku kwa upande wa Ivory Coast wachezaji wa kuchungwa ni pamoja naFranck Kessie, Sebastian Haller, Sangare na wengine wengi. Je unadhani nani ataibuka kidedea wa kuchukua Kombe hili la AFCON? Osimhen ataibeba Nigeria mabegani? Mechi hii ina ODDS 2.69 kwa 2.79. Suka mkeka wako sasa na meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love Ijumaa ya leo ambapo mechi mbalimbali zinaendelea Duniani Meridianbet...

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

error: Content is protected !!