Sunday , 5 May 2024
Home Kitengo Michezo Leo ni Alhamisi ya Ligi ya UEFA Conference
Michezo

Leo ni Alhamisi ya Ligi ya UEFA Conference

Spread the love

ALHAMISI ya leo itakua ya neema kwa wateja wa Meridianbetkwani michezo ya Uefa Conference league itakwendakupigwa ambayo itakuwezesha wewe mteja lupiga mkwanjawa kutosha kupitia michezo hiyo.

Meridianbet wanaendelea na utaratibu wao wa kumwaga ODDS KUBWA katika michezo ambayo inapigwa katika siku husika, Ikiwemo katika michezo ya leo Alhamisi michuano ya UefaConference League.

Klabu ya Ajax leo itashuka dimbani wakiwa katika dimba lao la Johan Cruyff wakiwakaribisha klabu ya Bodo Glimt kutokanchini Norway katika mchezo mkali wa michuano ya UefaConference League.

Klabu ya Real Betis ya nchini Hispania leo itakua nyumbanikuikaribisha klabu ya Dinamo Zagreb kutoka nchini Croatia, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani kwanivilabu vyote vina ubora mkubwa.

Mchezo mwingine mkali ambao unatarajiwa kupigwa leokwenye michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora, Ambapo klabu ya Maccabi Haifa kutoka nchini Israel itawakaribisha klabu ya KA Gent kutoka nchini Ubelgiji.

Klabu ya Olympiacos ya nchini Ugiriki nao watakua nyumbanileo kuikaribisha klabu ya Ferencvaros kutoka nchini  Hungury, Mchezo huu utakua moja ya michezo mikali katika ambayoitamuwezesha mteja wa Meridianbet kupiga mkwanja leo.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vileTurbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet naubashiri sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love Ijumaa ya leo ambapo mechi mbalimbali zinaendelea Duniani Meridianbet...

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

error: Content is protected !!